Kwanini wanawake/wasichana wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,939
517
Kuna ishu moja hapa kuhusu dada zetu uwa inanichanganya sana, wanawake na wasichana wanapenda sana kudanganywa danganywa kuliko ukimwambia ukweli na kama ukimwambia ukweli lazima atanuna wiki nzima.

Mfano uwe na msichana as girl friend then umwambie " leo hujapendeza kabisa yaani hizo nguo na viatu umechanganya mambo" walah kwa kauli hiyo atakuchukia mpaka basi, lakini ukimwambia "duh leo umependeza sana " mbona atakurukia kwa furaha, hata kama hajapendeza.

Pia mfano uwe na mwanamke mwenye sura mbaya mbaya kama mtu fulani humu JF then umwambie ukweli kuwa " dear una sura mbaya sana" sio siri atakuchukia kama sio kukupiga chini kabisa yeye anachotaka umwambie "honey your so cute" atakupenda hatari.

Wakuu kama kuna uelewa zaidi hapa atujuze
 
Yaan mkeo umwambie "dear una sura mbaya" ?? mpaka anakua mkeo ulikua hujaiona hiyo sura mbaya? kama hajapendeza tumia maneno ya busara kumwambia... mfano "darln umependeza ila ungevaa nguo nyeupe na tule tuviatu twako twa x-mas ungependeza zaid" lazima atajua kuna mshkel sehem..

all in all wewe endelee kuwadanganya siku na wewe ukidanganywa usijelalamika hapa
 
lukelo sakafu

Mfano wewe gf wako akikwambia we una kimbilimbi na kweli unacho si utanuna hlf wengine mtaenda mbali mpk kutukana matusi.
Hakuna anayetaka kuambiwa mambo mabaya, ila pia namna unayotumia kumwambia
 
Last edited by a moderator:
Hahaha leo umeua! Unasema ukimwambia ana sura mbaya... wanawake wanapenda sifa za kijinga hata kama hazimuhusu, wapo kama watoto.. Wanachotaka uwasifie tu.. Na ukitaka ukae kwa amani na mwanamke uwe unamsifia ujinga mara kwa mara
 
Haaaaaaaaaaa eti honey una sura mbaya..
Sa hadi ulivyokua nae so ulishaikubali hiyo sura mbaya yake
 
Mantiki ya post ni sahihi ila ameiwasilisha vibaya kwa kutoa mifano isito sahihi.. Unajua hata mwanaume anachukia ukiambiwa na mpenzi wake kua ana sura mbaya .. ila cha msingi girls wengi wanapenda good things kuliko wanaume, girls wanapenda fairly tale life ndio maana kwa asilimia kubwa wanaopenda zile tamthilia za kwenye television ni girls ..

Girls wengi wao ila sio wote hua hawapendi boy ambaye ana maisha normal hasa mabinti ambao bado hawajakomaa kuanzia miaka 26 kushuka chini hawa hua wanataka mwanaume ambae ana something unique atakachotumia hicho kumpendea huyo mwanaume ndio maana wengi wao wapo radhi kua na bad boys kwakua labda ana gari au ana uwezo kifedha au handsome sana na ana six pack abs atakama boy huyo atakua hayupo fair kwa huyo girl ila huyo msichana atabanana humo humo anaona ndio fahari kuliko kua na mwanaume ambae ana maisha ya kawaida watakao kua close na kufight maisha kwa pamoja ...

Ndio maana boys hua wanatumia hizi fairly tale za wanawake ili kuwaumiza, girls wanapenda sana big boys the heroes ukimpata msichana below 28 years Alie mature ambae wewe na yeye mnakua mnajipush each other kwa mafanikio basi ujue Una bahati sana ..

Girls wengi wana realize mambo ikishakua too late kwao ..
 
Wanawake wameumbwa kupendwa. Upendo unajumuisha faraja hivyo basi hata unapowadanganya wanahisi faraja.:mimba:
 
Umenena kikubwa aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom