Kwanini wanawake wanaiunga mkono CHADEMA kwa woga?

Mi nafikiri hapa sasa ndo wakati wa lile baraza la kina mama chadema waamke sasa kuhamasisha wanawake wenzao mfano ni wakina mama wa Ccm jinsi walivyo utaona hata chaguzi ya kina mama ya Ccm inavyokuwa na nguvu! So hapa wale viongozi wa chadema wa kina Mama uamke sasa!
 
cdm wamejaza vijana na kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba hawa vijana wa cdm ni wasumbufu sana kwa hawa dada zetu.

Mkuu Makupa, kwenye mikutano ya chama chenye magamba huwa wanamfuata Mheshimiwa Malima ili wamsafishe si umesikia walivyomfanyizia kwenye hoteli ya Nashela Morogoro? :A S 13:
 
Mkuu kama ukifuatilia post zangu zote nimesema chama kinaweza kuuza na kupata double profit na si kugawa. Mfano sasa wanavyouza CD, skafu n.k hawagawi kwa nini isiwezekane kwenye sale za akina mama. Najua hapo litakuja suala la vipato sawa ndiyo maisha yetu wengine wanacho wengine hawana.

Yaelekea Tanzania unaisikia kwenye taarifa ya habari za ITV lkn hujaitembea. Hao wanaojaa kwa ajili ya khanga za CCM ni watu duni kiasi hawana hela ya kununua incase CDM wataamua kuuza khanga.

Kujaa kwao si kuja kusikiliza sera, bali ni kugombea khanga na ubwabwa. Kitu pekee wanachosikiliza ni Taarab a TOT.
 
Mkuu Feedback

1. Solution yako ingekuwa Viable kama Sababu ya Wamama kufika Kwenye Mikutano ya CCM ni Sababu ya Kuwa na Khanga na sare "WALIZOZINUNUA". La hasha Kule CCM WANAPEWA khanga za Dezo. Sasa Ukitaka CDM wao "WAZIUZE" sijui kama Utakuwa unasolve au Unaharibu

Mkuu Tatizo Hapa ni NJAA ya SIKU moja Mkuu.

Yaani Wale Wanaopewa Khanga na Tshirt Bure na CCM ndio unapendekeza wahamasishwe kuhudhuria Mikutano ya CDM kwa Khanga ya 2000?
 
Wakuu, tusiongopeane hapa badala yake tuwe wakweli toka moyoni.
Ukweli ni kwamba sikuzote mtaji wa ccm ni wakinamama wa uswazi au
sehemu yoyote yenye uswahili uswahili fulani hivi'na huko ndiko ccm
huwa wanagawa vitu vya bure vikiwemo khanga,tishirts nk.kisha utaona
nyomi ya kinamama kufa mtu....ukweli ni kwamba baadhi ya familia za uswazi
zinaangalia leo tu na si kesho....sasa tukianza kujiongopea hapa eti ooooh tusi
waige ccm basi CDM isahau kupata saport kutoka kwa wamama. Hivi nyie mme
wahi kuona ccm wanagawa kanga Masaki,Posta,Mikocheni,Ostebay na Mbezi?
hamjiulizi ni kwanini? kwavile wanajua kuwa wakinamama wa maeneo hayo wamesoma
na kuelimika na pia hawana shida ndogo ndogo. So ccm wanakimbilia uswazi kwa jamii
inayoangalia mlo wa leo na vazi la leo tu....na mwisho wanashinda. Jamani mazuri tuige?
 
Wana CDM tukimaliza Kujadiliana hapa twendeni kwenye Mapokezi ya Lipumba naona Kijiwe chao Kimedorora naona akina Topical Wanafuatilia Mada Muhimu hapa.

Karibu sana Topica and Feel at Home.
 
Karibu sana achana na wanawake wa kwenye bar..bana
 
Meneja wenu mbowe pia yumo? anzia kule billicanas

Bilicanas Nimeshamaliza Sweetie! By The Umesusa Mapokezi ya Mwenyekiti wetu wa Kudumu Lipumba? Nakuona Uko Kwenye Jukwaa la CDM vipi Pointi zao zimekukurupisha kwenye Msafara maana wewe hupendwi kupitwa na Vitu Vizuri. Karibu Katika Mjadala wetu
 
Mkuu Feedback

1. Solution yako ingekuwa Viable kama Sababu ya Wamama kufika Kwenye Mikutano ya CCM ni Sababu ya Kuwa na Khanga na sare "WALIZOZINUNUA". La hasha Kule CCM WANAPEWA khanga za Dezo. Sasa Ukitaka CDM wao "WAZIUZE" sijui kama Utakuwa unasolve au Unaharibu

Mkuu Tatizo Hapa ni NJAA ya SIKU moja Mkuu.

Yaani Wale Wanaopewa Khanga na Tshirt Bure na CCM ndio unapendekeza wahamasishwe kuhudhuria Mikutano ya CDM kwa Khanga ya 2000?
Mkuu labda mimi nilikuwa nachangia kitu nisichokijua, mimi nadhani tunachangia kwa nini wanawake hawahudhurii mikutano ya CDM na si ku-solve matatizo ya wanawake. Mimi nilijikita kueleza jinsi ya kusaidia uhamasishaji na si jinsi ya kusolve matatizo yao ya siku zote maana kama ni hivyo wana matatizo mengi sana.
 
Yaelekea Tanzania unaisikia kwenye taarifa ya habari za ITV lkn hujaitembea. Hao wanaojaa kwa ajili ya khanga za CCM ni watu duni kiasi hawana hela ya kununua incase CDM wataamua kuuza khanga.

Kujaa kwao si kuja kusikiliza sera, bali ni kugombea khanga na ubwabwa. Kitu pekee wanachosikiliza ni Taarab a TOT.
Mkuu,potelea ya karibu kama siyo ya mbali....tunachodisscus hapa ni vipi CDM watawashika wanawake kwenye mikutano
ya kampeni na shughuli zingine. Tunataka mikutano ya CDM tuone kule mbele kumepambwa na wamama nyomi ya kufa mtu na si blah blah za kujifanya sizitaki mbichi hizi huku wanaangamia. Ita mziki,gawa khanga,shughuli iendelee
 
Mkuu Jamaa ana poit ya Msingi sana na si Lazima Akubaliane na Wewe.
 
Wakuu, tusiongopeane hapa badala yake tuwe wakweli toka moyoni.
Ukweli ni kwamba sikuzote mtaji wa ccm ni wakinamama wa uswazi au
sehemu yoyote yenye uswahili uswahili fulani hivi'na huko ndiko ccm
huwa wanagawa vitu vya bure vikiwemo khanga,tishirts nk.kisha utaona
nyomi ya kinamama kufa mtu....ukweli ni kwamba baadhi ya familia za uswazi
zinaangalia leo tu na si kesho....sasa tukianza kujiongopea hapa eti ooooh tusi
waige ccm basi CDM isahau kupata saport kutoka kwa wamama. Hivi nyie mme
wahi kuona ccm wanagawa kanga Masaki,Posta,Mikocheni,Ostebay na Mbezi?
hamjiulizi ni kwanini? kwavile wanajua kuwa wakinamama wa maeneo hayo wamesoma
na kuelimika
na pia hawana shida ndogo ndogo. So ccm wanakimbilia uswazi kwa jamii
inayoangalia mlo wa leo na vazi la leo tu....na mwisho wanashinda. Jamani mazuri tuige?
Mkuu tuko pamoja ila sikubaliani na wewe kuwa wanawake wa masaki posta mikocheni wameelimika.
 
Bilicanas Nimeshamaliza Sweetie! By The Umesusa Mapokezi ya Mwenyekiti wetu wa Kudumu Lipumba? Nakuona Uko Kwenye Jukwaa la CDM vipi Pointi zao zimekukurupisha kwenye Msafara maana wewe hupendwi kupitwa na Vitu Vizuri. Karibu Katika Mjadala wetu

RIP chadema..huko billicanas ndio wanaongoza kwa kale maradhi ya kudumu ya taifa..a.k.a HIV

Ni vizuri ukawashaishi kuacha zinaa kuliko kuja kwenye mikutano yenu..

ohh nimesahau sweetie kumbe nyie haya mambo mnayaita ufisadi binafsi kama vile kuchukua mke wa mtu..ruksa sawa..endelea..bibie
 
Nauliza tena...kwanini CCM haigawi khanga na tishirts maeneo ya Masaki na Osterbay? na Badala yake
wanagawa area za Mwananyamala,Ilala na Tandale? na mwisho wa siku wanapata kura nyingi kutoka
huko huko uswazi? naombeni jibu
 
Back
Top Bottom