Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

Status
Not open for further replies.
me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia sana kwa mtt wangu kufa.na menngine mengi kwakweli wanawake wa kabila hili ni waajabu sana.ss kabila letu ukisema unaoa mmachame unatengwa kabisa.washenzi sana watu wa kabila hili

Ulipewa mimba na bwanake au ni nini
 
Ninachowapenda zaiidi kwenye ngumi mpwa muhamad ali cha mtoto nakwambia wakikunja ngumi wanarusha unaona inakuja ngumi ikikaribia kunako vidole vinaachiwa unasikia kofi kama umepigwa umeme wa richmond tanesco unaweza ukahimili aisee wacha bana hapa mbezi beach kuna mmoja akiamuaa kumpa mkono mumewe yaani wamasai wanakimbia akipiga mzee wakikaribia kumsaidia wanakimbia kama wamerushiwa mawe ooh wacha bana wana akipaji
YEUWII MI NIAFANYAJE NDO HIVI PUNDE NIMETOKA KUOA MMACHAME! nafa
 
yani mnavyowasema wamachame ndivyo mnavyozidi kuwapandisha chati maana w2 wakifata wanakuta ni tofauti na wanavyowasema na wanavivutio vyote vinavyoitajika kuwa mke/ mume bora wamewapita woteee kwa vigezo na masharti kazi kwenu wala hawaitaji promo zenu
kwani we jinsia gani
 
Hivi navyosema hayo yote mnayosema ni kufurahisha umma au. Maana wakaka wanawasaka sana wadada wa kimachame. Utasikia eeh nimepata jembe ya mdada wa kimachame! Mkija huku mnajidai ooh wako hivi mara hivi! Acheni unafiki aisee. Pelekeni mabint zenu wajue haki zao
 
me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia sana kwa mtt wangu kufa.na menngine mengi kwakweli wanawake wa kabila hili ni waajabu sana.ss kabila letu ukisema unaoa mmachame unatengwa kabisa.washenzi sana watu wa kabila hili

acha ujinga wee,alichangiaje mwanao kufa?wanawake wa kimachame wako ivi, ni wachapa kazi sana, awpendi ujinga,na wako mjini kwa ajili ya kutafuta maendeleo na si umbea umbea,ukijichanganya itakula kwako,
 
Its fun and nice 2 b member of JF..
Yangu macho hapa..
Embu nijifunze kwenu kwanza..
Maana haya kwangu mapya...
Fungukeni..
 
Hivi navyosema hayo yote mnayosema ni kufurahisha umma au. Maana wakaka wanawasaka sana wadada wa kimachame. Utasikia eeh nimepata jembe ya mdada wa kimachame! Mkija huku mnajidai ooh wako hivi mara hivi! Acheni unafiki aisee. Pelekeni mabint zenu wajue haki zao

Mbona unakua mkali Elizaa? Au na wewe mpalestina?
 
Ninachowapenda zaiidi kwenye ngumi mpwa muhamad ali cha mtoto nakwambia wakikunja ngumi wanarusha unaona inakuja ngumi ikikaribia kunako vidole vinaachiwa unasikia kofi kama umepigwa umeme wa richmond tanesco unaweza ukahimili aisee wacha bana hapa mbezi beach kuna mmoja akiamuaa kumpa mkono mumewe yaani wamasai wanakimbia akipiga mzee wakikaribia kumsaidia wanakimbia kama wamerushiwa mawe ooh wacha bana wana akipaji

Tena wana roho ngumu balaa. wako wanaoshiriki kwenye ujambazi wa kutumia silaha these days! Wanapiga kazi utadhani John Rambo! Balaa
 
me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia sana kwa mtt wangu kufa.na menngine mengi kwakweli wanawake wa kabila hili ni waajabu sana.ss kabila letu ukisema unaoa mmachame unatengwa kabisa.washenzi sana watu wa kabila hili

Hivi JF kumbe haina uangalizi kabisa kabisa!! Mpaka jitu linapenyeza mada za hatari namna hii tena kwa watz wengi kwa mpigo. Unajua athari inayoweza kutokea kwa jamii fulani kutukanwa kubezwa kusimangwa tena hadharani namna hii. Au jf mmeamua kuigeuza kichaka cha wavuta bangi na vibaka. Huku. Huyo mod akiwaangalia na kuwachekea. Ki ukweli. Siku chache zilizopita kuna mtu aliniambia kuwa mwisho wa jf unakaribia nilihuzunika kwani nilijua wazi kuwa hilo lingetokea tu kwa shinikizo la ama viongozi wanaokosolewa humu ndani ama mtu asiye na mapenzi ya kweli nanchi hii lakini nahisi imani yangu kwa jf ikiyeyuka kwa kasi .
 
Mmh!jamani!mbona mnawaandama watu kwa sababu za kutunga?hizo ni kasumba ambazo watu wamejijengea kuhusu watu flani,ila mi naamini tabia ya mtu ni yake binafsi na sio ya kikundi cha watu!

weeeeeeeeeeeeeeeee! ishia hapo hapo
 
acha ujinga wee,alichangiaje mwanao kufa?wanawake wa kimachame wako ivi, ni wachapa kazi sana, awpendi ujinga,na wako mjini kwa ajili ya kutafuta maendeleo na si umbea umbea,ukijichanganya itakula kwako,

hapa umenena na kweli pesa wanajua kuitafuta kwa 'njia' yoyote ile ili mradi pesa iwepo mkononi
 
Ulipewa mimba na bwanake au ni nini

acha hasira mkuu. makabila mengi sana huongelewa humu. yapo makabila yaliyoambiwa ladies wao ni wachafu (mtwara), malaya (mbulu-wairaqi). Nashangaa inapokuja watu wanajadili uchaga humu ndani watu 'wanawaka' utadhani wanaenda kutahiriwa bila ganzi.

Acha watu wafunguke elimu iwe kubwa watu wasijewakaingia chaka bure kwa kwenda kuoa kusikooleka
 
Chaga ni kabila celebrity Bongo..nashangaa wahaya wako wapi mbona hawapewi promo. NAWAPENDA WACHAGA.YOU RUN THIS COUNTRY in every aspect.

very right. the only problem they do not want their negatives to be spoken out
 
Ila ni wazuri nakumbuka nilikua naenda sana kwanye bonanza soweto na kina manyanya,watoto weupeeeeee peeeeee

kwa hilo ni kweli mzee wanajua kufyatua viumbe. Kuna mmoja huku kiteto kachanganyia na mmbulu, aisee wacha kabisaaa-watu wanapishana utadhai chooni ktk tamasha la mziki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom