Kwanini wanawake wa kibongo wanapenda kujibadilisha wawe weupe kama wazungu?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,939
517
Wakuu,

Hivi kwanini wanawake wa kiafrika wanapenda sana kujichubua wawe weupe kama wazungu? Je tatizo nini hapa? Hawajihamini,maendeleo au ulimbukeni?
 
Ni kutokujitambua. Na ukiangalia wengi wanaofanya hivyo ni baadhi ya watu fulani au kundi la watu fulani fulani kutoka jamii fulani.
Ngoja niishie hapo nisije nikachafua hali ya hewa.
 
ni wachache sana ukichukua kundi la wanawake wa kiafrika/Tanzania ila kinachofanya waonekane wengi ni kwa vile wanaojichubua ni wale maarufu.
 
Ni kutokujitambua. Na ukiangalia wengi wanaofanya hivyo ni baadhi ya watu fulani au kundi la watu fulani fulani kutoka jamii fulani.
Ngoja niishie hapo nisije nikachafua hali ya hewa.

Mashangingi, wacheza vigodoro na uswahilini +
 
wakuu hivi kwa nini wanawake wa kiafrika wanapenda sana kujichubua wawe weupe kama wazungu? je tatizo nini hapa? hawajihamini,maendeleo au ulimbukeni?

Mada zako zote kwanini unapenda kuweka NEWS ALERT?


WENGI WANAANGALIA SOKO LINASEMAJE?
 
Wasio upenda utu wao weusi ndio wanaofanya kazi ya kujichubua...ila anayejikubali na uafrika wake haezi fanya huo ushamba.
 
1430660676927.jpg
 
Ni kwa sababu wanaume wengi wanashobokea rangi nyeupe. UKiona mwanaume anazungumzia mwanamke mrembo au mkali basi ujue rangi nyeupe inahusika. Utasikia mtoto mngaavu, maji ya kunde, chotola, coloured, white au shombe shombe.
 
Mimi naipinga hoja yako mkuu@bibi.com ,ukicema ni uhitaji wawa teja wao inakuwa hailetii maana kwani kuna wamama na wadada wengine wapo ndani ya ndoa tayali utakuta wanajichubua shida nikutaka je hao tutasemaje!!!!
 
wakuu hivi kwa nini wanawake wa kiafrika wanapenda sana kujichubua wawe weupe kama wazungu? je tatizo nini hapa? hawajihamini,maendeleo au ulimbukeni?

Kwa sababu WANAUME wanaume wana mtazamo kuwa CHEUPE NDIO KIZURI. Kwa hiyo wanaume wakibadili mindset yao kuhusu uzuri basi na wanawake nao watabadilika. Its all about men's mind set na hii nadhani ipo duniani kote. Mfano, kwa wanaume wa kichina, mwanamke mzuri ni MWEMBAMBA , kwa hiyo wanawake wa kichina hufanya kila wawezalo wasinenepe ndio mana utaona wao wanatengeneza madawa ya kukuza hips na makalio(ashakum si matusi) lakini WAO WENYEWE HAWATUMII, wanaleta Afrika na kwengineko ambako mtizamo wa uzuri umejengeka kwa mwanamke kuwa na viungo vikubwa kama nilivyovitaja hapo juu.
 
Back
Top Bottom