Mi ni injinia, kutokana na taaluma yangu siruhusiwi kuvaa vitu vya metali kam pete, cheni nk. pia sivai tai. Navaa boots, tshirt na over coat. Ndo maana sivai pete.
Na wanao vaa pete si ma @ss hole tu.
Wapi kwenye vitabu vya dini vimesema tuvae pete za ndoa.
Na nani aliye sema tuvae pete za ndoa nani? hebu nipeni faida ya kuvaa pete za ndoa.
Utamaduni wa wapi huo wa kizungu au waki arabu/ afrika?Its just a symbol of marriage (commitment to a certain person)! Ni utamaduni uliojengeka.. Sio mpaka iandikwe kwenye vitabu vya dini.
Mimi siku zote nasema nimeoa na sioni aibu kusema nimeoa, naona sifa kabisa...na warembo wananikubali tu nikiwataka :biggrin:Wanataka bado waonekane bachelors...wakamate warembo!
najua unanisema mimi, lakini umesahau kwamba vidole vyangu vina aleji na pete, nikivaa vinawasha na kuvimba, hata ukimuuliza mama yako atakwambia ukweli huo.Mie nijibu kwa upande wa wanawake. Ukiwa na pete ya ndoa unajipandisha grade, kitu ambacho wanaume waliooa hawajastukia manake wao interest yao ni kitoto vya chuo.
Afu wewe umeibukia wapi? Habari za jela?
Utamaduni wa wapi huo wa kizungu au waki arabu/ afrika?
Mbona baba/babu zetu walikuwa hawavai pete, nawalijulikana kama wameoa, kwani ukivaa pete ndo lazima uwe umeoa!
Mimi nawaona ma @ss hole tu...kwanza kuna mwanaume wengine wanavae pete ya dhahabu hapo ndo nacheka sana!
Mimi siku zote nasema nimeoa na sioni aibu kusema nimeoa, naona sifa kabisa...na warembo wananikubali tu nikiwataka :biggrin:
Wewe matatizo yako unafikiria sex sana, kupenda na sex ni vitu tofouti kabisa :biggrin:Haya bana we mkaree!! ila hao wanaokukubali while wanajua umeoa.. wanakutumia vizuri halafu ukishafulia wanarudi kwa wanaume zao wa ukweli simply cause wanajua hawana future yoyote na wewe..
Wewe matatizo yako unafikiria sex sana, kupenda na sex ni vitu tofouti kabisa :biggrin: