Kwanini wanaume wengi wakikaribia kuoa huanza kuota vitambi, kunenepeana na kuharibika shepu?

ki ukweli mind inarelax na kuanza kuridhika coz huwa tunaanza sahau vicheche taratiiiibu
 
kweli jamani, jana kuna kavulana tulikuwa tukiishi nako zamani, kakaja ofisini kuniletea kadi ya mchango wake wa harusi, yaani kidogo nimsahau kwa jinzi alivyo nenepa
 
nimeoa kitambo sana, nina watoto wanne, lakini sina kitambi. nikiona kinataka kutokeza tu huwa nafanya kampeni ya kukifuta kabisa. tumbo langu ni flat na mwili wa mazoezi kidogo, naomba Mungu kikombe cha kitambi kiniepuka kabisa kwa Jina la Yesu.
 
Back
Top Bottom