Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

mm nawashauri wanandoa wajenge tabia ya kukaa na kululuhisho mambo yao kisha wapate amani mioyoni mwao, hicho kitarejesha nguvu za kiume wanazotaka kutoka kwa waume zao. Je GT si humu humu wako wanawake wengi walikuja na mada za kulalamikia waume zao kuwa tangu walipowaoa wanatoa dozi kubwa ya kima cha chini 4 hadi 7 kwa siku je nguvu hizo zilitoka wapi na wajiulize je hizo nguvu kwanini zimeondoka?
 
kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.

enzi zetu tulikuwa tunaitwa mkashari yaani dume kwelikweli mwanamke akikupata mwanaume mkashari anawaona wanume wote mafala ndio maana hata kasi ya kutangatanga kwa akimamama zamani ilikuwa ndogo.

Pia siku hizi wanawake wanatembea mno uchi kila saa wanaume tunatembea tukizini hivyo tukifika kitandani hakuna jipya chini ya jua yote umeshayapata toka mchana
 
Mi huwa nasema kuwa , laiti ingetokea hawa wanawake wanawashuhudia waume/mabwana zao

jinsi wanavyojishughulisha faragha wakiwa na nyumba ndogo,

yumkini wasingeamini kama kweli hao ni waume/mabwana zao..........

mechi za ugenini hizi,.....we acha tu

''ufundi wote na ujuzi unamwagwa huko''

Sio mechi tu, hata magoli ya ugenini yana aggregate! Moja linahesabiwa mawili!
 
Back
Top Bottom