Kwanini wanaume wengi huwaogopa wanawake wenye sifa hizi?

Kama mwanamme utafikia hatua ya kumwogopa mwanamke...basi huna sababu ya kuitwa mwanaume kwani utakuwa umejivua uanaume automatic kwa sababu sio sifa ya mwanaume kumuogopa mwanamke bali kumuheshimu na kumuongoza vyema....maana mwanaume ni kiongozi..........
 
hata mi nilikuwa suelewi kwanini naogopwa sana, kumbe sababu ni hizo sifa zangu ulizozitaja hapo juu.
Lakini kwanini tuogopwe na midume?

Mwanaume anayekuogopa ni inferior na hakufai.Mwanaume jasiri atakufata tu no matter
 
Nafikiri ungesema kwann "hawadumu na wanawake wenye sifa hizi" kuliko kuwaogopa.
Nimesema hivo nikiwa na maana kwamba hao wenye hizo sifa wana watu wao(wanaume) ambao wanawashughulikia kisawasawa..hivyo mpaka hapo hawaogopeki,isipokuwa kudumu nao Mara nyingi ndio shida.
Trust me nafasi tu ya kuwapata kwa muda kadhaa ili wawe vocalised ndio tatizo..
Mfano manzi mkali na Pesa zake na magari,wenye access ya kumpata kirahisi ni wale watakaokutana nae job,sehemu za starehe za hadhi yake au kwenye business meeting.
Lakini suala la kusema wanaogopwa nalipinga kabisa..
As long wanaitwa wanawake,hakuna mwanaume anaeweza waogopa,unless unazungumzia wavulana.
Upo sawa sana mwamba sina la kuongoza
 
Manyanyaso ya kina dada ni balaa. Akheri ya mwanaume. Pesa ni vizuri awe nayo mwanaume na shule na vyote ila wanawake wabaki na urembo wao tu. Hii ndiyo kanuni. Angalia wanawake wote wenye sifa hizo hapo juu wameachika au kutokuolewa kabisa matokeo yake wako gender equality na hakuna maendeleo yoyote wanayofanya kwa jamii ikaonekana zaidi ya kuvaa gold na tanzanite na kwenda maclub makubwa na kutaka umaarufu eti mamaa fulani. Ovyo sana. Wanaume ehe wanaume. NAOMBA kuwakilisha

Kaka Mwanaumee hatetereki,akitetereka ujue huyo ni fake...
 
mwanaume anapenda kuwa juu hata kama ni vitu vyakijinga., na kama ni mjinga anataka aoe mjinga zaidi yake, masikini anataka masikini zaidi yake, hata usipompanda kichwani mwanaume ulomzidi jambo fulani mkipishana kauli tu kawaida hajiamini ni kwasababu ya hii elimu yako? au vihela.

kwanza mwanaume ulomzidi akikuoa huta enjoy mapenzi
 
Back
Top Bottom