Kwanini wanaume wengi huwaogopa wanawake wenye sifa hizi?

Sawa wakaka mmeongea tumewasikia na kuwaelewa. Sasa ninauliza hizi sifa zinazingatiwa wakati wa registration period tu au hata mkiwia shaolewa?? Supose umeoa mkeo wa elimu ya kawaida. akajiendeleza au akabahatika kupandishwa cheo akapata mshahara mkubwa zaidi ya kipato chako we mwanaume.............je vigezo na masharti vitaendelea kuzingatiwa au??
 
as long as ataendelea kuwa MWANAMKE kwangu,yes!!
 
hata mi nilikuwa suelewi kwanini naogopwa sana, kumbe sababu ni hizo sifa zangu ulizozitaja hapo juu.
Lakini kwanini tuogopwe na midume?

mimi mbona natafuta wenye sifa hizo siwapati???Nazjaz please.........................tutafutane.
 
Sifa ya umri mkubwa mh hata mimi siitaki ila hizo nyingine poa tu ili mradi ajitambue kuwa yeye ni mwanamke amheshimu mumewe na kupendwa na mumewe kama maandiko yasemavyo.
 
ni udhaifu tu wa baadhi ya wenzetu lakini kama unajiamini na kujikubali sidhani kama kuna wa kumuogopa
 
Mwanamke mwenye sifa hizi hujisahau kama ni mwanamke(hili ni kosa kubwa ktk mapanz.)
 
Sawa wakaka mmeongea tumewasikia na kuwaelewa. Sasa ninauliza hizi sifa zinazingatiwa wakati wa registration period tu au hata mkiwia shaolewa?? Supose umeoa mkeo wa elimu ya kawaida. akajiendeleza au akabahatika kupandishwa cheo akapata mshahara mkubwa zaidi ya kipato chako we mwanaume.............je vigezo na masharti vitaendelea kuzingatiwa au??
Bora hata umkute yupo juu kuliko akiweza kuadvance wakati mpo wote, hapo ndio kiburi cha mwanamke utakapo kijuwa. tatizo ni watu kutokujuwa mungu ndio tatizo, watu wakirudi kwa mungu kila mtu ataijuwa nafasi yake ndani ya Familia/mahusiano.
 
Labda ukute wewe mwanaume huna hivyo vitu vilivyotajwa ,Ila kwa upande wangu nimesoma,nina kipato kizuri Wala hata sihangaiki kuwatafuta wanakuja wenyewe warembo wasomi kwa kifupi kila sampuli.
 
yani kunakatatizo kidogo na wanawake wa style yako....chamsingi sio ukae hapo ushangae, tafuta tatizo rekebisha lasivyo utashangaa tu...i tel ya, hamna mwanaume anapenda kusumbuana na mtoto wa kike.....ukileta usumbufu ndo atakucheat au atabaki kula kitungi tu kuburudika na maisha yake
 
1. Wasomi
2. Wenye uchumi mkubwa
3. Warembo kupitiliza
4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume)

No 3. sababu ni kuwa beatifula woman is another man's plaything, huwa wanaringa kwa uzuri wao kwa kuwa na uhakika kuwa hata kama leo hii ukimuacha atapata replacement ya haraka

No 4. Wanawake wakubwa kushinda wanaume huwa hawatupi miemko saaana wanaume. na ndio maana tunashauriwa tuoe walio chini ya umri wetu. Damu changa ni safi sana, coz huwa hazirembi na zinaendana na modern techniques and styles. Watu wazima walio wengi huwa ni wavivu coz wanakua washapitia mambo mengi .Kwa mm huwa napenda zaidi nimzidi m/ke miaka mitano.

Nawasilisha
 
Tumia vizuri mche uliopewa na Mungu,mwanamke ni mwanamke tu hata akiwa na nini hawezi kumbebesha mimba mwanaume,mpe dozi nene uone kama hatakueshimu ukiwa goi goi lazim akudharau.
...Hili nalo Neno....heshima itakuja tu!!!
 
Naongezea.
5. Wanawake warefu kuwazidi
Teeeeeh teeeeeh teeeehh..mh! hii ya wadada warefu iko vizuri. Niliwahi kumtongoza mmoja ni mrefu kunizidi mimi takribani futi 1 nzima..huwezi kuamini siku nilimpomtokea nikampa neno hakunijibu ila kilichofata akaniuliza are you serious? Nikamwambia ndio nilichomfanyia ali-admit kuwa hajakutana nacho tatizo wivu mwingi nikashindwana nae nikasepa!
 
Sawa wakaka mmeongea tumewasikia na kuwaelewa. Sasa ninauliza hizi sifa zinazingatiwa wakati wa registration period tu au hata mkiwia shaolewa?? Supose umeoa mkeo wa elimu ya kawaida. akajiendeleza au akabahatika kupandishwa cheo akapata mshahara mkubwa zaidi ya kipato chako we mwanaume.............je vigezo na masharti vitaendelea kuzingatiwa au??
<br />
<br />
inabidi uwe makini maana yanaweza yakakuta yaliyomkuta bushoke
 
Ni ushamba tu unaowasumbua hawa madem zetu, maaana mbona nchi za wenzetu hawana noma .
Madem wa kibongo chenga tupu maana hawajazoea hizo sifa , na ndomana wakiwa nazo wanaanza ulimbukeni wa kiringa na kumjia mwanaume juu!

Mnatudhalilisha sana nyie !!

"WANAWAKE WAZURI WA SURA TZ WAPO KASKAZINI - WANAWAKE WANAOJUA MAPENZI WAPO KUSINI" Kazi kwako!!!
 
Back
Top Bottom