Kwanini wanaume wengi huwaogopa wanawake wenye sifa hizi?

Sidhani kama wanaogopwa ila nadhani kuna wanaokuwa busy na kusomaaa anakuja kuolewa uzeeni ama asipate

Mreeembo kama yule aliyeimbwa 'georgina, habari gani uliko!' Akatingisha jiji zima na kuja kufariki na mdudu maskini

Uchumi mkuubwa mpaka kuwaanza ni noma, bora mkichuma pamoja manake wanaume wengi si wakiafrica ama wa kizungu wakigusa hapo utasema wameoa pesa

Umri mkubwa sio tatizo sana labda more thn 5yrs ?!

umesahau moja ya mwisho na kitu maji, aahhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kwa uzoefu wangu , wanawake wengi wenye sifa hizo ulizotoa ndio wanakuwa warahisi zaidi kuwapata sijui kwanini, lakini mimi sikuwahi kupata shida kuwapata wanawake wengi wa aina hiyo, labda kwa sababu hawakuwa wanafuatwa na wengi.
Yaani hawako wasumbufu ni waelewa sana!

Kweli vijana wa siku hizi mna mambo.Ukivutiwa na mtu unaanza kumchunguza kabila,kipato na elimu.Wanawake wenye elimu zaidi na kipato ni wazuri na watiifu kuna rafiki yangu kaka yake ni darasa la saba na akaoa mwanamke ambaye ni graduate huu ni mwaka wa tisa wako pamoja na mwanamke hana makeke.
Pili hili suala la kipato ni vitu visivyotabirika,leo mke anaweza kumzidi kipato mume lakini baadae mume akawa na kipato zaidi,kwa mtizamo wangu kipato na elimu visikufanye umuogope mwanamke.Ndani ya ndoa mwanaume ni kichwa cha nyumba hivyo si pesa wala elimu kitakachobadili hilo.

1. Wasomi
2. Wenye uchumi mkubwa
3. Warembo kupitiliza
4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume)
Thru my experience,mwanamke akikuzidi kwa hayo yote,,,au ata kama ni kwa elimu tu,basi naye atapenda kuwa kijogoo kama dume wa kaya!
Jamani wake zetu,mume ni mume na ndo baba wa nyumba na mke ni mke na ndo mama wa nyumba na siyo kinyume chake. Mipaka hiyo ni lazima iheshimiwe,no matter what a woman possesses!

Kweli vijana wa siku hizi mna mambo.Ukivutiwa na mtu unaanza kumchunguza kabila,kipato na elimu.Wanawake wenye elimu zaidi na kipato ni wazuri na watiifu kuna rafiki yangu kaka yake ni darasa la saba na akaoa mwanamke ambaye ni graduate huu ni mwaka wa tisa wako pamoja na mwanamke hana makeke.
Pili hili suala la kipato ni vitu visivyotabirika,leo mke anaweza kumzidi kipato mume lakini baadae mume akawa na kipato zaidi,kwa mtizamo wangu kipato na elimu visikufanye umuogope mwanamke.Ndani ya ndoa mwanaume ni kichwa cha nyumba hivyo si pesa wala elimu kitakachobadili hilo.
Na wewe huna elimu? kwani darasa la saba sio graduate?

Duh, hizi thread zitatukosesha kuolewa, mie sidhani kama kuna tatizo, hapo ni kuwa mwelewa tu, ila mwanamke unaweza kumzidi mumeo kwa kila kitu, ukampa heshima zote, ila yeye ndio akawa hajiamini mbele yako, hapo ndio shughuli inapokuwa pevu
Inaonekana dada mishiko unayo, ebu Mpm Boss wewe ndio ugonjwa wake nadhani unaweza ndio ukawa umepata mume hapo.

hata mi nilikuwa suelewi kwanini naogopwa sana, kumbe sababu ni hizo sifa zangu ulizozitaja hapo juu.

Lakini kwanini tuogopwe na midume?

Kwangu hata umiliki ndege au uwe na Bank hapa lazima ukae tu, nitakua kiongoz wako no matter what.

Tumia vizuri mche uliopewa na Mungu,mwanamke ni mwanamke tu hata akiwa na nini hawezi kumbebesha mimba mwanaume,mpe dozi nene uone kama hatakueshimu ukiwa goi goi lazim akudharau.

mkuu hapo umenena, nn uhakika akipa ile kitu ipasavyo lazima a salute tu na mapesa yake. Tena mwanaume mjanja ndo anafaidi pesa ya mwanamke mana ukishamkoleza tu pesa zake hazitakua na thaman tena kwake thaman yote itahamia kwangu.

Hapo kwenye red nimeweka jibu zangu za haraka haraka ila kila mwanaume anakua na sababu zake.
1. Wasomi: They tend to have a CONTRARY opinion to everything, even when it is obvious, just to have the last word, hasa kama ni wabaya wa sura
2. Wenye uchumi mkubwa: They are bossy na pia kwa jamii unaonekana ulimpenda kwa sababu ya hela zake which is not good for the ego
3. Warembo kupitiliza: Wana tongozwa sana, inaleta wivu. Pia wana expire as wanazeeka
4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume): Wanakua na mindset tofauti na hawavutii kama wale wadogo zao.

wengi wa wenye hizo sifa hujifanya/ona/tenda/ishi/ na kuwa na tabia za wanaume!!HAKUNA MWANAUME ANATAKA KUOA/KUWA KIMAPENZI NA MWANAUME MWENZIE!!

i got diploma later degree(ict) and ma girl is having bachelor degree(Acc).i don cee any poblema in our relationship.mapenz hayachagui umri,elim wala kipato.zaidi ya hpo ni tamaa2 za kidunia,na w2 wa namna hyo hawana routine ndefu ktk love.

PANGU PAKAVU,,,,,,,,,
Hapa kuna vitu vingi sana vinavyojenga mtazamo huu.

1.mtazamo wa jamii juu ya superiority complex ya mwanaume ktk kila jambo.hivyo hakuna mwanamume atakae kubali kuoa mwanamke ambaye amemzid kwa kila kitu

2.wanawake wenyewe wenye sifa tajwa hapo juu,wengi wameshindwa kutambua nafasi zao kama wanawake kwa mujibu wa mtazamo wa jamii za kiafrika hasa TZ kwamba mwanamke anatakiwa awe mtii kwa mumewe.hivyo wanawake wengi wamefanya wanaume wakose imani nao na hivyo kuwakimbia,sio kuwaogopa kuwaoa.

3.Mifano hai inayojitokeza kwenye jamii.sitaki kuwataja watu kwa majina lakini upo mfano wa mwanamuzik mmoja wa bongofleva aliyeangukia pua kwa mama mmoja maarufu mwenye sifa zote hapo juu.hali hii inatengeneza woga kwa wanaume wengi.

OA MWENYE SIFA HIZO UONE CHA MTEMA KUNI.wanawake msipobadilika na kuzijua nafas zenu mtabaki kupigwa butua butua tu kama mpira wa watoto.

Jamani, kwa ufupi ni kwamba, kuwatokea wanawake wa hayo makundi possibility ya rejection ni kubwa. Hakuna binadamu yeyote anapenda kuwa rejected. Rejection is very embarrassing. Ndo maana wanawake ni waoga sana wa kuitokea minjemba, he he.

Hakuna anae waogopa ila tu mara nyingi wanakimbiwa ila wapaswa kujua c wote tunawakimbia mara nyingi wanakuwa na ukosefu wa heshima ingwa c wote vilevile hii ili isitokeeee makubaliano lazima yawepo pia wengi wanakuwa na kutojiamini me kwa upande wangu sioni kama ipo sababu zaidi ya mtu kuwa na imani na mwenzi wako tu hakuna jingine la zaidi aise

Back
Top Bottom