Kwanini wanaume wengi huwaogopa wanawake wenye sifa hizi?

bado si thani kama hizo ni sifa za kuogopwa....

...................Umeona eh AD..........natamani ningekuwa na hizo sifa afu nimtafute mmoja wa hawa ambaye ni mbishi nimprovie wwrong hahahahahahaha (Naomba hii post ipite invisibly) watanmeza mzima hawa) LOL

...................Umeona eh AD..........natamani ningekuwa na hizo sira afu nimtafute mmoja wa hawa ambaye ni mbishi nimprovie wwrong hahahahahahaha (Naomba hii post ipite invisibly) watanmeza mzima hawa) LOL

hahahahahahah lol
wenyewe ni waogo tu wa kitu kingine
labda kukataliwa (sijui)
lakini hivyo hapo juu ni
visingizio tu...

Huyo kakosea nikwamba wanawakwepa sio kuwaogopa lakini sio wote. kama unajiamini unazo hizo sifa nijuze nikuhakikishie kuwa siokuogopwa
hata mi nilikuwa suelewi kwanini naogopwa sana, kumbe sababu ni hizo sifa zangu ulizozitaja hapo juu.
Lakini kwanini tuogopwe na midume?

1. Wasomi
2. Wenye uchumi mkubwa-
3. Warembo kupitiliza- They know their worth
4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume)-

Humphnicky
Ni Kwasababu zifuatazo:
• Wasomi na wenye uchumi mkubwa -These women are independent, got their own money and/or can support themselves, kwa hiyo wale wanaume who bring nothing to the table but "ohh nina gari, nina nyumba, nina blah, blah......" fall under a "useless" category to them
• Warembo kupitiliza- THey know their worth, and have plenty fish to choose from. THis ofcourse eliminates the desperation that others/ women with less alternatives usually have. Why waste time kung'ang'ana na mwanaume anayekusumbua when you have 6 more others waiting in line for you?
• Walio na umri mkumba- Mostly culture stereotypes,.................. i.e watu aka "weak" men kuogopa kuwa gumzo kwa wana ndugu. Another thing is the fact that such women are less "push overs" compared to others................. ie they are able and are not afraid to stand their ground, habari za kuburuzwa na mama mkwe/wifi rarely!!!

Hasante sana mj1, naamini kuwa unajitambua, na kuwa wanawake kama ww cku iz hawazaliwi zaliwi!, kwa mara ya pili ubarikiwe pa1 na huyo mwenzako!

hata mi nilikuwa suelewi kwanini naogopwa sana, kumbe sababu ni hizo sifa zangu ulizozitaja hapo juu.

Lakini kwanini tuogopwe na midume?

siogop yeyote hapo,zaidi ya hiyo ya MWISHO,Kama unayo utaogopwa

1. Wasomi
2. Wenye uchumi mkubwa
3. Warembo kupitiliza
4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume)

Hiyo no3 huwa ndo shida sana kwani mtu hujiona yeye ndo kila kitu hapa duniani,ila hizo nyingine huwa sio ishu saaaana.

Hivi jamani principle za kutongozana siku hizi unauliza vidato, shilingi ngapi unazo kwenye akauntii yako au? Ki ukweli hayo mliyotaja naona kama wanaume mmekuwa washamba kupita maelezo.

Endeleeni na ujinga huo huo!

Duh, hizi thread zitatukosesha kuolewa, mie sidhani kama kuna tatizo, hapo ni kuwa mwelewa tu, ila mwanamke unaweza kumzidi mumeo kwa kila kitu, ukampa heshima zote, ila yeye ndio akawa hajiamini mbele yako, hapo ndio shughuli inapokuwa pevu

tongozo mara nyingi huambatana na mbwembwe za uwongo sasa demu akiwa na sifa hizo kumkabili inatakiwa ujipange!!!!iila mwanaume ukiwa mauzo mia,unaenda dunia inavyoenda,kisu kipo hao ndo type sasa!hao ndo wanawake wa kukimbilia kuliko kutafuta matatizo!demu hana elimu,hana kisu,kijuso wa nini sasa!

1. Wasomi

2. Wenye uchumi mkubwa

3. Warembo kupitiliza

4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume)

Mi siogopi m2 hata kidogo unabisha niletee uone

Back
Top Bottom