Kwanini Wanaume wengi hupenda kupiga wanawake?

wanaopiga wenza wao hawajiamini

wameathirika kisaikolojia

malezi mabovu waliyopata utotoni

ujinga

kugeza
 
Wanaume tuna wivu wa hali ya juu..tukimpiga mwanamke ndo huwa tunatuliza mioyo yetu badala ya kubaki nalo moyoni.
 
ni dhahiri wanawake hawapigwi tuu mradi mtu kajisikia(unless unavuta bangi au una mapungufu-mimi sizungumzii hao) msingi ni kwamba, mume kwa kawaida ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mwanamke, (hata ukikataa) unless hajakamilika-siko huko. so wananume hupenda vitu viwe perfect atleast, lakini wanawake wengi husahau hicho kitu(na vinginevyo vingi) na hiyo hutokana na wao kuwa na mambo mengi yasiyo ya msingi-kuoga dk30, kujiremba, kubadili nguo mara 3-4 kabla hajavaa kutoka n.k
so wananume hujikuta hana option

kwa kusema hivyo unamaana wanaume wako perfect na kila wanachokitaka ndivyo kifanyike?? binafsi naelewa mume ni kiongozi wa familia na ni mwanadam so hayuko perfect, kwa sehemu kubwa wanaume wapigaji ni tunda la malezi waliyokuzwa nayo pia hutumia kipigo kama cover ya kuficha udhaifu wao/ kushindwa kutimiza wajibu wao kama baba au mume. kwa upande wa wanawake wengi ni waongeaji but still hiyo si tiketi ya mwanaume kufanya physical attack!
 
Hapa wengine mtatuonea bure, wengine tusipopiga wake zetu wanaishia kwenda kutusemea kwao kuwa, siku hizi hatuwapendi sana, kwani hata kuwapiga hatuwapigi!.
 
Hapa wengine mtatuonea bure, wengine tusipopiga wake zetu wanaishia kwenda kutusemea kwao kuwa, siku hizi hatuwapendi sana, kwani hata kuwapiga hatuwapigi!.

Jaribu kuoa mwanamke bouncer, it will be you, utakuwa ukishtaki kwenu!
 
Back
Top Bottom