Kwanini Wanaume wengi hupenda kupiga wanawake?

KIBONGOMKUTI

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
1,425
605
Nimekuwa najiuliza hili swali pia nimefanya jitihada za kusoma vitabu,tafiti,makala na baadhi ya movie. Kumekuwepo na harakati za kueneza ujumbe wa Haki na Usawa katika mahusiano. Kimtazamo wangu bado mama zetu, dada zetu,shangazi zetu na binti zetu wanadundwa. Nabaki mdomo wazi yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
 
Hivi hizo tafiti ulizosoma hazijajibu hilo swali? Je, umejuaje kama wanapenda? Je, haiwezekani kama wanalazimishwa kupiga?
 
By Mwanamayu "Hivi hizo tafiti ulizosoma hazijajibu hilo swali? Je, umejuaje kama wanapenda? Je, haiwezekani kama wanalazimishwa kupiga?

Kiukweli tafiti nyingi naona hazijajibu swali/mtazamo wangu kwa kina, lakini kama utaniruhusu kujibu swali lako kama haiwezekani wanalazimishwa kupiga. Nionavyo mtu yeyote akipigwa mara nyingu anapata maumivu pia hujisikia vibaya halikadhalika inaumiza Kisaikolojia. Kwani hakuna adhabu mbadala mpaka umpige muhusika, baadhi ya tafiti nilizosoma zinasema kuwa watu wenye kupenda kupiga wenzi wao ni WADHAIFU
 
Hii ni tabia ya mfumo dume,inapotokea mzozo kati ya mwanaume na mwanamke basi ujue kinachofuatia ni kichapo tatizo ni kwamba wanaume siyo wasemaji kama wanawake, na pia mwanaume anapobwatizana na mwanamke kinachomjia kichwani kwa haraka haraka ni kuona kama anadharaulika ndo maana mizozo inaishia kwenye kichapo, kawaida wanawake ni wepesi wa kutoa maneno makali ambayo mwanaume hawezi kuvumilia mazingira yale.na baadhi ya kina mamazetu pia wanaona kuwa sheria inawalinda hivyo wanakuwa wakorofi kupita kiasi
 
By Mwanamayu "Hivi hizo tafiti ulizosoma hazijajibu hilo swali? Je, umejuaje kama wanapenda? Je, haiwezekani kama wanalazimishwa kupiga?

Kiukweli tafiti nyingi naona hazijajibu swali/mtazamo wangu kwa kina, lakini kama utaniruhusu kujibu swali lako kama haiwezekani wanalazimishwa kupiga. Nionavyo mtu yeyote akipigwa mara nyingu anapata maumivu pia hujisikia vibaya halikadhalika inaumiza Kisaikolojia. Kwani hakuna adhabu mbadala mpaka umpige muhusika, baadhi ya tafiti nilizosoma zinasema kuwa watu wenye kupenda kupiga wenzi wao ni WADHAIFU

Sasa mbona unaji-contradict? sentesi ya kwanza unasema tafiti hazijatoa jibu lakini ile ya mwisho baadhi ya hizo tafiti zimetoa jibu kuwa wanaume hao ni dhaifu. Labda unauliza ni udhaifu gani huo au kama kuna sababu zaidi ya hiyo!!
 
By Makumvi "Hii ni tabia ya mfumo dume,inapotokea mzozo kati ya mwanaume na mwanamke basi ujue kinachofuatia ni kichapo tatizo ni kwamba wanaume siyo wasemaji kama wanawake, na pia mwanaume anapobwatizana na mwanamke kinachomjia kichwani kwa haraka haraka ni kuona kama anadharaulika ndo maana mizozo inaishia kwenye kichapo, kawaida wanawake ni wepesi wa kutoa maneno makali ambayo mwanaume hawezi kuvumilia mazingira yale.na baadhi ya kina mamazetu pia wanaona kuwa sheria inawalinda hivyo wanakuwa wakorofi kupita kiasi"

Nakubaliana nawe Makumvi kwa kiasi flani lakini tupige hatua moja mbele kwa kujiuliza kwani ni lazima kutembeza kichapo hata kama Gf/Mkeo anachonga sana?
 
Mwanamayu nashukuru kwa mchango wako kimsingi sijaji- contradict labda hizo tafiti ndo zinani-contradict kama ni udhaifu nina amini sote (ke na me) ni dhaifu iweje wengine tuamini na kufurahia kichapo zaidi kama njia ya kupoza udhaifu wetu?
 
Na pia tujiulize, Je hao wapigaji wanapiga wakiwa na akilizao timamu au labda kunakuwa na booster kichani kama vile kilevi na mambo kama hayo? mimi naanini mwanaume aliyestaarabika ni vigumu sana kuchukua hatua ya kupiga, wengi wanaopiga asilimia kubwa ni wale wanaokuwa na vichocheo vya kilevi. sasa hapo inategemea na aina ya ulevi atakaokuwa nao kwa wakati huo, pia mazingira magumu ya maisha nayo yanachangia umetoka kwenye ishu zako labda siku haikuwa nzuri kwa hesabu zimekataa halafu unakumbama na Gf/mkeo anakuzingua tena kwa nyodo.. pata picha hapo
 
Kiukweli wanaume huwa ni violent, abusers and using force is only solution they see for whatever reason. Wakumbuka tukiwa wadogo ukifanya kitu unaambiwa subiri utakiona cha mtema kuni akija babako toka kazini. Wanaoanzisha vita vyote vya dunia, iraq, kandahar and everywhere ni wanaume.


Wanajeshi wengi wanaume, kwahiyo hawa wenzetu wameumbwa na roho katili!
 
Kiukweli wanaume huwa ni violent, abusers and using force is only solution they see for whatever reason. Wakumbuka tukiwa wadogo ukifanya kitu unaambiwa subiri utakiona cha mtema kuni akija babako toka kazini. Wanaoanzisha vita vyote vya dunia, iraq, kandahar and everywhere ni wanaume.


Wanajeshi wengi wanaume, kwahiyo hawa wenzetu wameumbwa na roho katili!

Ukiwa na mentality kama hii, hautakaa umpende Mme wako..utaishia kuipenda pesa yake tu but not otherwise.
 
Unless kama mwanamume ni mlevi au mvuta bangi, hawezi tu kukurupuka na kumpiga dem.

Hii Beijing yao ndiyo ina wapotosha madem na mara nyingi wanam provoke mwanamume. Lakini kama unawajulia sisadhani kama utampiga. Anza tafiti yako mwenyewe. Tamwa walichemsha.
 
ni dhahiri wanawake hawapigwi tuu mradi mtu kajisikia(unless unavuta bangi au una mapungufu-mimi sizungumzii hao) msingi ni kwamba, mume kwa kawaida ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mwanamke, (hata ukikataa) unless hajakamilika-siko huko. so wananume hupenda vitu viwe perfect atleast, lakini wanawake wengi husahau hicho kitu(na vinginevyo vingi) na hiyo hutokana na wao kuwa na mambo mengi yasiyo ya msingi-kuoga dk30, kujiremba, kubadili nguo mara 3-4 kabla hajavaa kutoka n.k
so wananume hujikuta hana option
 
then by nature wananume wana nguvu kuliko wananwake, na mwanaume hujali zaidi kuheshimiwa kuliko kupendwa, so ukimheshimu utamsikiliza, zaidi utafanya anavyotaka yeye -no fight. ukijifanya unawafata tgnp na beijing sijui haki sawa, mwanaume atalazimisha umuheshimu/kwa sababu umechagua kutokumheshimu kwa hiyari na hivyo utapigwa hadi heshima ikurudie...ndugu.
 
By Toghocho "ni dhahiri wanawake hawapigwi tuu mradi mtu kajisikia(unless unavuta bangi au una mapungufu-mimi sizungumzii hao) msingi ni kwamba, mume kwa kawaida ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mwanamke, (hata ukikataa) unless hajakamilika-siko huko. so wananume hupenda vitu viwe perfect atleast, lakini wanawake wengi husahau hicho kitu(na vinginevyo vingi) na hiyo hutokana na wao kuwa na mambo mengi yasiyo ya msingi-kuoga dk30, kujiremba, kubadili nguo mara 3-4 kabla hajavaa kutoka n.k
so wananume hujikuta hana option

Hhahah mazee hapo kwenye red ndo umenichana mbavu, lakini kimtazamo Dem/wife akiwa katoka bomba huwa inaleta raha flani hi?
 
By MadameX "Kiukweli wanaume huwa ni violent, abusers and using force is only solution they see for whatever reason. Wakumbuka tukiwa wadogo ukifanya kitu unaambiwa subiri utakiona cha mtema kuni akija babako toka kazini. Wanaoanzisha vita vyote vya dunia, iraq, kandahar and everywhere ni wanaume.


Wanajeshi wengi wanaume, kwahiyo hawa wenzetu wameumbwa na roho katili!

Hapo kwenye red wanajeshi wengi wanaume wanazaliwa na kulelewa kama watoto wengine, nakubaliana nawe kuwa kazi ya Jeshi inahitaji ujasiri wa ziada lakini sio lazima uwe abuser, violent nk. Tukiangalia shilingi upande wa pili una maanisha hata wanawake wanajeshi nao ni KATILI?
 
Inategema na mazingara walio lelewa, kama baba yao alikuwa akimpiga mama yao na wao watarith utamaduni wa asili
:A S 112:

Mimi sikumbuki hata siku moja nimempiga mke wangu, na sikumbuki hata siku moja kuona baba yangu alimpiga mama yangu.
 
Back
Top Bottom