Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
ukweli uko pale pale kuwa mwanamke akijua ana elimu kuliko mume wake manyanyaso lazima na atamtreat kama apendavo na hata wakigombana atamwambia hana akili au hawezi kugombana na mtu alie na elimu ndogo kumpita yeye.mfano ninayo mingi labda hamjaifahamu.ni asilimia sifuri nukta 4 ya wanawake waliosoma kuliko waume zao wasiojisikia ila wengi ni vichwa maji. KAMA UNAOA LEO HII TAFUTA MWNEYE ELIMU SAWA NA YAKO AU ALIE CHINI YAKO ILA KUOA ALIEKUPITA NI MATATIZO CHUNGU NZIMA DHARAU NYINGI,KEJELI NK.