Kwanini Wanaume Wanajichubua?

hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?

aisee nawe upo deep! Unayajua hadi makarolaiti!
 
Kuna jamaa mmoja hapa oficni naye anajichubua tena sana tu! Huyo jamaa kasoma kwa level ya Masters degree, lakini bado kajichubua! Wadau wanasema eti wakati yupo masomoni huko Australia, alianza kale kamchezo ka kutoa TIGO!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 eti ndo maana anajichubua ili kuvutia wanaume wenzake wampende!!!!!!!!! Hivyo pengine hata hao mapendejee na wasanii wanatabia hizo za kutoa Tigo!
 
He!!! Kuna wanaume wanajichubua?????????????????

Loooooh!

:fear::fear:
 
Waasisi wa kujichubua ni wakongoman, kwa kweli wanatia kinyaa hadi wazee wanajikoroga , me hapa ofisi nzima ni kama defao na yondo sister. Kuna mikorogo ya chenyeji (omo, jiki, blue band, na parachichi na binzari au royco), halaf kuna wa (carolite, diprosone,ambi na dawmy)
 
Nilibahatika kuhudhuria ibada ya mazishi ya mfanyakazi mwenzetu mmoja.
mchungaji aliyekuwa akiongoza misa alikuwa amejichua sana kiasi kwamba kwenye maungio kati ya shavu na jicho kumebadilika rangi, kumekuwa kwekundu mno kama kapiwa na bomu la tomato sosi
Mkuu kimya!!!Heri ya pasaka!
 
Waasisi wa kujichubua ni wakongoman, kwa kweli wanatia kinyaa hadi wazee wanajikoroga , me hapa ofisi nzima ni kama defao na yondo sister. Kuna mikorogo ya chenyeji (omo, jiki, blue band, na parachichi na binzari au royco), halaf kuna wa (carolite, diprosone,ambi na dawmy)
Umesahau blichi,wotagadi...lolz
 
Garden shit!!!Damn it
Hata nyie mnao scrub it is a same boat how come a gentle man unasugua uso na maparachichi ili iweje uwe soft??foolish!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom