Kwanini wanaume wacheshi huvutia sana jinsia ya kike?

Ni kweli... Wanapenda kurembwa na kupambwa.. Hiyo ni hulka hata Kama wanadanganywa. Kuna chuo kule DRC mkuu ukienda miezi mi tatu ukirudi hapo bongo hawapindui
hata wallet huhitaji tena watatoa wao
Fomu zinapatatikana wapi mkuu, nahitaji kwenda haraka, tehe tehe tehe.
 
uchesh ni kipaji mtu uzaliwa nacho,vya kujifunza huwa hata havina mvuto utajikuta unakwenda off point mkiwa mezani:mwaaah:
 
Mbona miye nasura ngumu na ht sichekeshi muda wote nimeng'ata mavi hlf cashless lkn nawagonga mbhaaya ......hiyo avatar yangu ndio picha yangu halisi!!
 
Ni waongo, wanadanganya sana, wanajua wanawake wanataka kusikia maneno gani and they take the opportunity.....
 
Hata wanawake wacheshi wanatuvutia sana sisi wanaume. Hii ni kwa sababu mara nyingi watu wacheshi hawaboreki kirahisi. coz ukimkosea anasema na hawaweki kinyongo...na niwarahisi kuomba msamaha wakikosea..
napenda sana mwanamke mcheshi!!!
 
Hahaha!Nimepost hii kitu kama mtego kuwavuta humu wanaopenda sense of humor,haya wakuu wenye hii silaha kazi kwenu,mmeshawaona?

Kama sio mcheshi na ukitaka mwanamke unampata basi ujue una cash ama time ya ku waste mkuu!Mwanamke akismile tu,ANAKUPA NAMBA YAKE!Beliv'dat!
Dah,dinner ya Afro,Husninyo,andaeni mbavu tu,msisahau na handkerchief za kujifutia machozi ya vicheko!
 
Ndenga umetoa point kali sana,wacheshi hawaweki kinyongo,kweli kabisaaaa nakubaliana na wewe!
 
Kwa kweli mwanaume mcheshi anavutia,yaani kuwe na wakati mnataniana,tena mnakuwa na vijimaneno vyenu vya hapa na pale inafurahisha sana na kuwafanya mrelax.Hata kama alikuudhi utajikuta unacheka then yanaisha.

Ila asipitilize tena ikawa yeye ndio zecomedy ndani ya nyumba,hapo atanikera.Yaani kwa nadra inakuwa na mvuto zaidi.Sio mwanaume anakuwa sirious muda wote hata ukihitaji malavidavi unafikiria namna ya kumuanza,na wengine eti wanatakaga na shikamoo toka kwa wake zoa,muda wote kalamba ndimu utafikiri mstahafu Mahita,akha!

Kuna wakati wa userious na wakati wa kurelax
 
wanavutia...........:whistle:...............hawachoshi:A S 100:..........ni watamu:mwaaah:
 
Girls warembo ni rahisi sana kuwateka unapofanya nao jokes,kuwa mcheshi,but inategemeana na aina ya girl unayefanya naye ucheshi mana kwa mwingine inaweza ikawa kero.
 
Back
Top Bottom