Kwanini wanaume wa Tanzania huwa mnawaona wanawake "chotara" na wazungu wana thamani kuliko sisi?

NO comments hao wazungu mie nawaita shemeji tuu hata sijui namwanzaje me me love you oh
 
Binafsi wanawake wahindi, waarabu, siwapendi haswaa kifupi nina aleji nao.
At least mzungu naweza kudate nae.

But mostly napendelea sana ngozi nyeusi asikwambie mtu,
Wanawake wa kiafrika namkubali mno tena sana na najivunia kuwa mwafrika,

Wanawake wa kiafrika ni wazuri.
Kuhusu tabia, mwenendo, kutokana na wewe ulivyo mseti.
 
Si watanzania pekee mwenye muono wa namna hyo bali ni jamii nzima ya watu weusi wanawaona wanawake wenye ngozi nyeupe ni bora kuliko wenye ngozi nyeusi. Kwa mfano tu angalia wasanii au wanamichezo wenye asili ya weusi utakuta wengi wameoa watu weupe yani kifupi ni, wanawake weusi ni wakutafuta nao maisha wakati wanawake wa weupe na machotara ni wakutumia nao hyo ndo mentarity ya wanaume wengi weusi duniani na si Tanzania pekee

When he get on, he’ll leave your ass for a white girl . Kanye West . Ule wimbo wake wa Gold digger.
 
Ni baadhi yetu, mimi na wazungu walaa sinaga cha kuvutiwa, nimekuwa na ukaribu nao zaid ya 14yrs but sivutiwagi nao hata iweje
Mhhh mimi hii ishu sikubaliani nayo hata kidogo yani
Hivi kwanini wanaume wa "tz" mnajipendekezaga sana kwa wadada wa kihindi,,waharabu na walee wamombo?

Alafu sasa huwa mnachunwaaaaa na mwisho wa siku "papuchi" hampati

Haswaa waleee wadada wa tz-indian wale....wanajua kuwachuna kwelii,,alafu hawajui mapenzi sasa,,,

Bora mzungu ana afadhali, akipenda amependa haangalii mfukoo....lakini kwa utundu kitandani bado matukumbuka watoto wa kizaramo tu
View attachment 421819

Na wasanii wa mziki ndio kabisaaa...kila shooting ...queen mzungu...khaaaa
Ndio maana mikorogo imepanda bei, kila mwanamke anataka weupe saivi heheee haloooo
View attachment 421820View attachment 421821View attachment 421823View attachment 421824
 
Mm sipend tu kale kajiarufuu wanachokua nacho hao weupe wananuka vbayaa
 
Mkuu I'm serious nitakuja Tanga na kukutafuta. Natamani sana kuoa kabisa mtoto wa huko.
hahahaha mkuu njoo uchukue mke,lakini ujitahidi ununue na mguu wa kuku mana kuna watu watakua wanamkodolea,btw niko na shemeji yako hapa hataki nichati anataka anikande miguu+mgongo,baadae kidogo.
 
Nyie Wazungu Mnaowapapatikia Je?
Na 0712.... Mnawapa Bila Uoga. Alafu Usigeneralize Wanaume Wa Bongo. Wengine Hawapendi Wazungu Kila Mtu Na Machaguzi Yake. Ni Kwamba Umekosa Mwanamme Hadi Unaona Wazungu Ni Threat Kwako Kupata Bwana Au? Maana Unavyoongea Kama Mzungu Ni Direct Rival Kwako Kupata Bwana. Wazungu Wenyewe Wako Wangapi Bongo. Na Wanaume Wapo Wangapi?Kama Unamtaka Mtu Alafu Yeye Akampenda Mzungu Deal With It,Usije Hapa Na Mapovu Kuwa Wanaume Wote Wanapenda Wazungu Na Machotara,Au Ulitaka Utokee Kwenye Video Ya Diamond Wakaekwa Wazungu Inakuuma? Such A Poor Argument.
 
Kusema kweli mwanamke wa kiafrika (black) ni mtamu sana, papuchini ana kijoto flani ivi amazing, tena ukute papuchi haijapitiwa na malori ya mizigo.. duuuh:p:p:p...
Mwanamke mweupe asilimia kubwa sio watam aisee... yani kitu baridiii kama jokofu sema tu wana mvuto wa sura na muonekano tuu ila kwa bed ni fyongoooooo... ndo mana hawaolewi sanaa..
Asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa na kudumu kweny ndoa au mahusiano ni weusi, tena hata sio wazuri yani.
Kwa upande wangu kipindi bado sijaonja hawa watu weupe nilikuwa napagawa nao sana... Lakin karibia wote niliopitia sijapata raha kama kwa ma black!
Black ni tamu kwa kweli:D:D:D:D:D:D
You have spoken
 
Back
Top Bottom