Kwanini wanaume tuu??

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,652
1,237
Ndugu wana JF wenzangu kunajambo linanisumbua sana kwa muda mrefu,kuna hiki kitu kinachoitwa kuchezeana kwenye mapenzi,ni muda mrefu nimekuwanikisikia wanawake wengi wakilalamika kuwa hivi wanapendwa kweli au wanachezewa(potezewa muda) tu na wapenzi wao.Hivi ni kweli kuwa wanaume hawachezewi na wanawake?je,ni wanaume tuu ndio huwachezea wanawake?Sasa kuna rafikia yangu mmoja ambaye anampenzi wake ambaye kiukweli anampenda sana,mpaka huwa anasisitiza hilo kwangu,lakini tatizo ni kwamba huyo dada ameolewa kinyemela kabla ya mfungo wa RAMADHAN,hakutaka kumwambia huyu jamaa yangu,na bado huyu dada anamng'ang'ania jamaa yangu wakati yeye tayari ana mume,lakini jamaa yangu hajui kuwa huyu dada ameshaolewa.Sasa hapa ndugu wana JF huku sio kuchezewa kwa mwanaume?
Je,niwanawake tuu ndio huchezewa???
 
sasa hapa unataka ushauri, maoni au nini? maana kama huyo ni jamaa yako wa kweli na wewe unajua kuwa huyo mtu wake kesha olewa kwa nini umwambii
kwa kifupi wewe na huyo dada mnamchezea huyo rafiki yako.
 
Swala ni kwamba jamaa anajua lakini anachokitaka ni kuupata ukweli toka kwa huyu mpenzi wake,na huyu dada bado hajamuambia lakini ukimuuliza kuhusu mume wake anasema anampenda huyu jamaa yangu kuliko mume wake!!!!
 
Hakuna kuchezewa, kuna kujibweteza ukachezewa.In other words "anayechezewa" regardless of gender, amejilegeza na kuachia achezewe.

Otherwise watu wanasanzua deal mapema, put a ring on it au something similar.
 
Hebu nijibie haya maswali kwanza maana naona haileti maana:

1. Heee, hivi huyo rafiki yako yupo maeneo hayo hayo aliyopo huyo umwitae mpenzi wake au wapo nchi tofauti??

2. Iweje aolewe bila mlengwa kujua au na mlengwa anako anakomega?

nasema hivyo kwa sababu harusi zina maandalizi, huenda huyo rafiki yako hakuwa serious in relationship ndiyo maana katendwa. Angeweza jua habari za mpenziwe hata kabla ya kuolewa.

Ushauri kwa wengine.
Kama kweli wewe unampenda mwenzio, basi jaribu kujua anakoishi, familia yake n.k. msikutane barabarani tuuuuuuu, gest n.k, kama haupo serious basi endela na short time, na usishnage kusikia mwezi kaolewa na bado ataendela kuku-serve short time.

Huenda huyo rafiki yako ni ATM na alikoolewa binti ni matulizo ya roho.

Wewe mchajikobe ndo nyoka zaidi, unajua nini kinaendelea na humwelezi rafiki yako, nawe umemegewa na demu nini?? mnapalilia Ukosefu wa Kinga Mwilini.
 
Sio mwanamke ndio anachezewa, sema sisi wanawake ndio zetu kusema tunachezewa. Mimi huwa naona kama watu hakuna malengo ya kuwa mke na mume hapo ni wote mnachezeana tu kwa kumegana.
 
wote wanachezeana!! Jamaa yako anamfinya mke wa mtu na demu anacheat kwa mmewe!!
jamaa kashaambiwa na watu sasa anang'ang'ania nini?
 
sasa hapa unataka ushauri, maoni au nini? maana kama huyo ni jamaa yako wa kweli na wewe unajua kuwa huyo mtu wake kesha olewa kwa nini umwambii
kwa kifupi wewe na huyo dada mnamchezea huyo rafiki yako.
Safiii!! kituko
Baelezee bajamaa na bandugu bajuwe wanamchezea jamaa.
 
mchajikobe mwambie jamaa yako atimue,hiyo siyo poa kwani huyo dem hamtakii mema na pia hana uaminifu kabisaaaaaaaaaa.
Kama alikua anampenda iweje aolewe na kinyemelaaa,....???
Aaaaaaghaaaaaa,ntamtemea mate mie,...
 
Back
Top Bottom