Kwanini wanaume tunalipishwa mahariiiiiiiiiiiiii......???? " kwa wababa tu"

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Huwa najiuliza lakini sipati jibu, Hebu Wadau nisaidieni.
Kwanini tunalipa mahari tunapotaka kuoa?????
Je wewe kabila lako wanatoza shilingi ngapi kama mahari kwa mwanamke BK na kwa mwanamke ambae tayari alikwishaolewa na ana watoto/mtoto?

Kwenu Wadau, Nawasilisha.............!!!!
 
sie kwetu ni kama wabheja kwa wazazi ukubwa wa mahari unategemea rangi ya mwanamke
 
Huwa najiuliza lakini sipati jibu, Hebu Wadau nisaidieni.
Kwanini tunalipa mahari tunapotaka kuoa?????
Je wewe kabila lako wanatoza shilingi ngapi kama mahari kwa mwanamke BK na kwa mwanamke ambae tayari alikwishaolewa na ana watoto/mtoto?

Kwenu Wadau, Nawasilisha.............!!!!

Hivi ni vitu vilivyojikita ndani sana ya social settings zetu na kuvichomoa duh!! tabu kweli kweli maaa vinawafanya vijana wengi kuamua kutokuoa na kuchapa nje

Ila nadhani afadhali wanaweka hii "market distortion factor" maana sasa hivi tu ipo watu wanaoa na kuacha kila uchwao hivi ingekuwa tunajiopolea bure bure??....lol.....am off my friends
 
Wewe hebu acha maswali ya kitoto bana wewe mkubwa swali gani sasa hili kwanza hebu hebu umeoa???
 
Gbollin,

Kabla ya "Beijing" kuwa sera rasmi ya dunia...
kama huijui hii "Beijing" mtafute mama G. Mongela atakufahamisha vizuri.
Wanaume katika jamii nyingi, nafikiri sio kwa baadhi ya makundi ya wahindi, hawa familia ya mwanamke ndio inalipa mahari, ndio walikuwa wawindaji, watafutaji na wanawake walimilikiwa na kufanya kazi za nyumbani...
Kwa hiyo hizo za mahari zilianza hivyo,kwa sababu wanawake walikuwa hawana wanachomiliki, bali wao walimilikiwa.
Si unajua tena jamii zinavyopenda kuendeleza mila na desturi..kurithishana desturi hata kama ni mbovu na kuziendeleza?

kwa jamii nyengine, mahari ni ishara ya mahaba, mapenzi,, mwanamme huwa anaungama mapenzi,upendo wake kwa mke mtarajiwa na familia yake. ni zawadi ya kuunga udugu. kama kiwango ni wastani basi ni ishara tu, zawadi kwa mwanamke na sio bei ya manunuzi ya mke.
kwa hiyi mila na desturi ya mahari itaendela kwa muda mrefu tu, hadi pale watu watakaposhindwa kulipa mahari, wataanza kuchakachua...watu wa mijini wanaanza kuiga mila za ulaya,,mahari less ndoa! Ndoa za mahakamani na kwa mkuu wa mkoa au wilaya.
 
Huwa najiuliza lakini sipati jibu, Hebu Wadau nisaidieni.
Kwanini tunalipa mahari tunapotaka kuoa?????
Je wewe kabila lako wanatoza shilingi ngapi kama mahari kwa mwanamke BK na kwa mwanamke ambae tayari alikwishaolewa na ana watoto/mtoto?

Kwenu Wadau, Nawasilisha.............!!!!

Ngoja nika muulizii bibi mzaa bibi ..
 
Huwa najiuliza lakini sipati jibu, Hebu Wadau nisaidieni.
Kwanini tunalipa mahari tunapotaka kuoa?????
Je wewe kabila lako wanatoza shilingi ngapi kama mahari kwa mwanamke BK na kwa mwanamke ambae tayari alikwishaolewa na ana watoto/mtoto?

Kwenu Wadau, Nawasilisha.............!!!!

Hivi kweli kabisa GB ulitaka kuoa bila kulipa mahari au unauliza tu jamani! Nijuavyo mimi mahari ni kama zawadi kwa wazazi kwa kumlea binti toka kuzaliwa hadi hapo wewe ulipomuona na kuvutiwa naye na kuona anafaa kuwa mke, si unajua malezi ya mtoto wa kike yanavyohitaji umakini wa hali juu, ila tofauti ya zawadi hiyo au shukrani hiyo ni kwamba wazazi ndio wanajipangia.

Kwa kabila letu (ndaga fijo) sijui kama wanamambo ya kuangalia mambo ya BK au mtu kashazaa suala ni kwamba umefika bei basi lipa mahari.. mtanisaidia Wanyaki.. wenzangu. Na kwa nilioweza kujua mahari zao kwa kweli wanyaki wanatakaga kiwango cha ukweli but reasonable!
 
mmmhh kama waangalia rangi mmhh mie nimejitoa..
hahaha lol
sasa mie na hii rangi yangu si mahari itakuwa shilingi 10. hhzhzhzh lol

ndo hivyo ka kweli unataka mipesa anza kuchanganya jiki kwenye bath tub yako....usisahau kukatia katia na ma limao
 
Back
Top Bottom