kwanini wanaume hubadilika mke anapojifungua?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,887
Kisaikolojia inasemekana kuwa mtu akikosa kitu alichotarajia (frastruesheni) mbinu mojawapo atayo tumia ni kurudia tabia zake za zamani hata za kijinga! mfano mtoto akiwa pekee yake nyumbani huwa wazazi wanamkea sana na kumpa atensheni kubwa sasa akizaliwa mdogo waka utaona anaanza tabia za kulialia, kudeka, na tabia nyingine za kitoto ambazo aliacha kama vile kukojoa kitandani alimradi tu apate atensheni. mwanamke anapojifungua huhamishia atensheni na upendo wake kwenda kwa mtoto, mume anaanza kumuonea wivu mtoto ili kupata atensheni anaanzisha tabia za ajabu ajabu. solusheni: ni kulielewa hili jambo na kufesi ze rialite.(ukikosa neno la kiswahili chukua la kingereza liweke kwa kiswahili-Jakaya mrisho kikwete)
 
kwa maelezo uliyotoa ni kama vile mke ndio hubadilika, mabadiliko ya mke kuwa karibu zaidi ya mtoto kuliko mume ndio hupelekea hayo mabadiliko ya mume.
Kwahiyo hiyo saikolojia yako tukabiliane nayo vipi ili twende sawa?
 
wife ndo anahamisha mapenzi kwa mtoto akisahau kuwa mumewe naye ni mtoto anayehitaji attention:my proffesor once told me men dont grow beyond the age of five
 
Co hayo 2, baadh ya wanawake wakijifungua hushindwa kumaintain usmart/usafi wao,unakuta mwanamke ana2mia mda mwingi kumhudumia mwanae anajisahau yeye binafsi na wkt kabla alikua anameremeta!lol mwanaume akiona hivyo lazma abadilike nae
 
wife ndo anahamisha mapenzi kwa mtoto akisahau kuwa mumewe naye ni mtoto anayehitaji attention:my proffesor once told me men dont grow beyond the age of five

hapo kwenye blue...
proffesor wako alikuwa sahihi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

hahahahahah

"men don't grow beyond the age of five"

lohhh naenda kuiweka hii kama signature...
 
Mambo haya hutokea na kuwasumbua wanandoa wengi hasa wapya kwenye ndoa means wanapokua ndio wamepata mtoto wa kwanza,kwan wengi wanakua wagen na situation hii,ila badae wakielekezwa huelewa na kupata uzoefu hata wanapopata mtoto wa pili mama huwa anamudu kumaintain mapnz yake na mda kwa mtoto na mumewe!cha msingi ni wanandoa kuvumiliana na kuelekezana na kutafuta ushauri kwa wenye uzoefu wakati wa kipindi cha kupata mtoto wa kwanza!
 
Mkioana watoto.... yaweza kua kweli, but if you are mature you both change for the better....
 
Kisaikolojia inasemekana kuwa mtu akikosa kitu alichotarajia (frastruesheni) mbinu mojawapo atayo tumia ni kurudia tabia zake za zamani hata za kijinga! mfano mtoto akiwa pekee yake nyumbani huwa wazazi wanamkea sana na kumpa atensheni kubwa sasa akizaliwa mdogo waka utaona anaanza tabia za kulialia, kudeka, na tabia nyingine za kitoto ambazo aliacha kama vile kukojoa kitandani alimradi tu apate atensheni. mwanamke anapojifungua huhamishia atensheni na upendo wake kwenda kwa mtoto, mume anaanza kumuonea wivu mtoto ili kupata atensheni anaanzisha tabia za ajabu ajabu. solusheni: ni kulielewa hili jambo na kufesi ze rialite.(ukikosa neno la kiswahili chukua la kingereza liweke kwa kiswahili-Jakaya mrisho kikwete)

Suala la kupata mtoto ndani ya familia, binafsi siamini kuwa ni mwanaume pekee ndiye anayebadilika, ukweli ni kwamba wote (mwanaume na mwanamke) hubadilika kutoka na kuingia kwa mgeni huyo.
Kwa wadada (baadhi) anapojifungua mara nyingi mapenzi huamia kwa mtoto na kupungua kwa mume. Wakati huo huo baba hujikuta na furaha ya kupata mtoto and at the same time kujikuta mpweke kwani muda mwingi aliotakiwa kuwa na mkewe hutumika kumlea mtoto huyo mchanga hivyo automtically baba (baadhi) hubadilika na kuanza kuzurura.

Ushauri: Ni vzr kufahamu mapema kuwa ujio wa mtoto ndani ya familia ni baraka ila kuna changamoto zinazoambatana na huyo mgeni ambazo pande mbili husika (baba na mama) wanapaswa kuzifahamu vzr na kupambana nazo.

HP
 
kuna wadau kama husniyo wanasema mke ndio anaanza kubadilika, ni kweli! ila mke anabadilika kwa ajili ya komoni interesti (mtoto) lakini mume anabadilika kwa sababu za kiselifishi. hebu tuwe rialistiki unaweza ukawakea mume na mtoto kwa usawa.
 
Back
Top Bottom