Kwanini wanaowapiga viongozi wa juu wa serikali wanakuwa na kichaa?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Tarehe kumi mwezi wa tatu mwaka 2009 rais mstaafu ali hassan mwinyi alipigwa kofi akiwa anahutubia baraza la maulid.
Aliyempiga akakamatwa na kufunguliwa mashtaka, baadaye ikaja kugundulika kuwa huyo aliyemzaba mheshimiwa kibao alikuwa na matatizo ya akili na akahamishiwa mirembe.
Wiki hii waziri mkuu wa italia kapigwa na sanamu ya kanisa na mtu ambaye pia ana matatizo ya akili,.
Je hawa viongozi wa juu wanawaudhi nini watu wenye matatizo ya akili? Au mwanzo unakuwa na akili timamu kabisa, ukimpiga tu mheshimiwa akili zinavurugika hapohapo?
Tuliangalieni swala hili kwa kina.
 
Back
Top Bottom