BY ABU MSABI
sababu za kufeli zipo aina mbili kuna za kisiasa na sababu halisi. mimi nitataja sababu halisi
1. kuporomoka kwa maadili "displine" za wanafunzi na waalimu
2. kuenea kwa filamu za kijinga za kibongo na za nchi nyingine ambazo zinawajenge vijaana kuona maisha ni rahisi kama wanavyoona wahusika wakiishi kwenye filamu
3. kupoteza muda mrefu kwenye hizi filamu na miepsode isiyotija
4. wanafunzi kujihusisha na mapenzi
5.kuongezeka kwa mayatima walio na baba na mama yaani wazazi wako hai lakini role yao ni zero katika malezi kazi yao ni kuwapa chakula tu, eti baba anakaa na mwanaye anatazama ze comedi
6.Serikali kutokujali
7.haraka za wasahihishaji wakihimizwa na Necta ili wawahi kumaliza katika kubana posho