Kwanini Walimu wasiunde chama kingine zaidi ya CWT?

Sema Chilo

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
324
24
Kama tulivyotarajia chama cha walimu CWT kimesitisha mgomo wa walimu ambao ulikuwa uanze wiki ijayo, lakini kwa kustajabisha mgomo umesitishwa. Je nini hatima ya matatizo ya walimu? Je walimu hawana uwezo wa kukivunja hiki chama ambacho nahisi hakina tena maslahi kwa walimu japo kinakata 2% ya mshahara kila mwezi wa walimu.
 
Back
Top Bottom