Kwanini walibadilisha rangi za ndege za ATC?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Wamejaribu rangi nyingi tofauti:

PAirbus_AirTanzania.jpg


Na kama hii:

1094193.jpg


Lakini kwa muda mrefu kulikuwa na rangi hizi ambazo bado binafsi sijaelewa kulikuwa na ulazima gani kuzibadilisha au zilikuwa na matatizo gani?

3752617653_f0e27fe328_z.jpg


My Take:
Kama sehemu ya kurudisha ATC mikononi mwa Watanzania ndege zetu zilrudishiwe rangi zake - hata kama tukianza na hako kamoja!!!
 
Mimi nauliza kwa nini tulianza na ndege kubwa sasa tuna ndege ndogo.
 
hivi hizi ni ndege tatu tofauti au ndege moja imebadilishwa rangi tofauti
 
hivi hizi ni ndege tatu tofauti au ndege moja imebadilishwa rangi tofauti

ndege tatu tofaut kwa nyakati 3 tofauti kila moja na rangi yake.... hata wakipaka njano mie poa tu as long as linafanya kazi sawa sawa kwa miaka at least 5 mfululizo bila scratches....
 
Simba walilalamika kuwa ATC haiwatendie haki, kwa kuwa ndege hazina rangi nyekundu.
Hili pia lilitokea kwenye jezi za timu ya taifa.
 
Twiga kwenye picha ya kwanza anaonekana anajikongoja kama amevunjwa miguu....pengine walitaka aonekane anakimbia.
Twiga kwenye picha ya tatu amekaa vizuri sana.
 
Mdau,
Kiukweli sioni tatizo kwa Ndege Kubadlishwa Rangi,sababu kila. Ndege imekuja nyakati zake Mfano ATCL walikuja na Rangi zao(picha ya Kati).na Kama Tumekubali kuanza upya si tatizo kwa Mwonekano + in businesswise renovation it matters...
Unless otherwise, uwe. Na interest zako za kutaka rangi za zamani..ivyo tutarudisha mpaka Noti za kale.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jibu ni kuwa hayo madege ya kukodi hawataki yachafuke na marangi ya nchi yenye viongozi wenye fikra duni mawazo hafifu na bila mwelekeo
 
ha ha ha ha jamani niacheni nicheke. lol! Hii nchi ina vituko sana.

You see, CCM walipochunwa ngozi uchaguzi mkuu 2010 alijitokeza 'mtaalam' wa masoko akawaandalia mkakati wa re-brand the party! (Unaotesha ufisadi lakini re-branding inaonekana ndio jibu)

Huku ATC a.k.a ATCL nako walimpeleka David Mattak, kampuni ilikuwa na vindege 2 ua 3 hivi na matatizo mengine lukuki. Bwana Mattaka as in the case of CCM akaona solution ya matatizo yooooote ya ATCL ni re-branding. Ndipo akaja na huyo twiga anaetembea kwenye mbuga za rangi ya blue. He was asked wakati anaondoka amefanya nini ATCL akasema - kaacha logo mpya!

Binafsi ninaweza kuishi na huko kwenye 'tail' lakini logo ya sasa ni dhihaka utadhani ni ya telecom.
 
Mwanakijiji
Uongozi wa ATC ni majaribio tu sishangazwi na jinsi wanavyojaribu rangi

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Ten% kaka, kwani siunajua cheki ya kupiga rangi lazima iithinishwe?hata wangepiga rangi nyeupe na bendera ingefaa au wangeweka twifa tu mkiani inatosha
 
Lakini rangi za awali rangi halisi ya ATC inavutia si siri.....nakumbuka rangi hizi enzi za udogo zilikuwa zinanifurahisha sana nikiona kwenye in-flight magazines ambazo nilikuwa nakutana nazo nyumbani kwa shangazi aliyekuwa anafanya ATC zama hizo......warudishe rangi za awali
 
1094193.jpg


Kwenye ndege hii hii nimependa design na rangi zilizopo, labda tu kama wakiirudisha wajaribu kubadili rangi ya kijani hapo juu imekaa kama ile kijani ya bendera ya Afrika kusini.
 
Du....! Vipo vitu vingi vya kujadili lakini sio hili la rangi kwa halina mantiki yeyote cha muhimu ni je hizo ndege zinafanya kazi vizuri na faida ipo? Mengine hayo ya rangi ni umbea tu.

THINK BIG
 
Du....! Vipo vitu vingi vya kujadili lakini sio hili la rangi kwa halina mantiki yeyote cha muhimu ni je hizo ndege zinafanya kazi vizuri na faida ipo? Mengine hayo ya rangi ni umbea tu.

THINK BIG

Subiri tunaleta nyingine mkuu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom