Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
BASIC SOCIAL NEEDS NI WAJIBU WASERIKARI,TAASISI ZA DINI ZIKIFANYA HUDUMA KAMA HOSPITALI,NI WAZI NI UTUME,LAKINI LENGO LAO SI KUPATA FAIDA.KWA HIYO SERIKARI KUTOA RUZUKU NI SAWA,KWA VILE HOSPITALI HIZI ZINATIBU WATU WOTE,PAMOJA NA MKE WAKO MAMA YAKO MZAZI,NA BABA YAKO PIA KAMA WAPO KARIBU NA MAZINGIRA KARIBU NA HOSPITALI HIZI,MFANO KAMAwanabodi wenzangu.
Kwanini serekali na makanisa yanapinga Kipengele cha dini ktk sensa ?
Hivi kweli linaweza likaigawa Taifa?
nasikia kila mwaka serekali inatoa fedha kwa ajili ya dini ya kikiristo kuendesha miradi yao kama Hospitali, shule na Hoduma za maji kwa ajili ya waumini wakiristo waliopo tz.
Mfano hai wa hili ni ule mkataba wa mwaka 1992 ujulikanao kama; Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU).
Sisi tuliotia saini katika MKATABA HUU WA MARIDHIANO; ambao ni Makanisa chini ya Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) (ambao hapa watajulikana kama Makanisa) kwa upande mmoja na Serikali ya Muungano wa Tanzania (ambayo katika mkataba huu itajulikana kama Serikali) kwa ajili ya Serikali na Makanisa katika kuendeleza sekta ya huduma za jamii, kwa lengo la kupata fedha, kuratibu, kuwezesha, kuboresha, kupanua na kukarabati huduma hizi kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa Tanzania.
Jee hii nayo sio ubaguzi na kuligawa taifa?Kweli kanisa litakubali kutumia pesa kwa ajili ya maendeleo ya waislam?
Endapo waislam watasema hii inatosha na inatosha na serekali istishe fedha za umma kugaiwa dini moja. jee amani itakuwepo?
Au umoja na mshikamano huwa kwa dini moja kumzidi dini nyegine kwa matumizi ya fedha za serekali yetu?
sasa kama serekali itoa pesa kwa ajili ya kanisa kwenye mashule yao. hizi peesa za bajeti ya Wizara ya Elimu na wizra ya afya inafanyiwa nini? Hivi kweli kanisa litakuwa na moyo kutoa pesa wanazopewa na serekali kutoa hoduma za kwa jamii ya kiislam? Mifano midogo tu hapa tunaiona linapokuja swala la msingi makanisa yanapinga. yatakubali kutoa fedha kwa ajili ya maendeleo. AU TUNAPIGWA CHANGA LA MACHO?
- HOSPITALI YA MISSION YA NDANDA MTWARA NA YA MISSION YA NYANGAO ZINAFANYA KAZI YA KUHUDUMIA WATU WOTE BILA UBAGUZI.
- OSPITALI YA pERAMIHO YA MISSION NI TEGEMEO KATIKA MKOA WA RUVUMA NA HATA WENGINE TOKA NJE YA MKOA HUO NAYO YATOA HUDUMA KWA WATU WOTE,HIVYO BASI IKIWA ZINAPATA RUZUKU YA SERIKARI BASI WAISLAM NAO WANANUFAIKA.
NAWASILISHA
UKANA SHILUNGO.