Kwanini wake za watu hawapendi kutumia Condom?

hiyo ni research ya muda mrefu ndgu zangu...tena ukifanya neye ukatumia zana hatapenda mrudie tena illa ukienda kavukavu atakung'ang'ania huyo paka mwenyewe uchanganyikiwe...

Mkuu inaonekana una uzoefu na hakika ya unachokisema.swali,umetembea nao wangapi?
 
Washkaji wako wa Nguruka wanakusalimu sana!!!

HIV infection rate at Nguruka stands at 7 out of 10 people...........Nenda pale Nguruka Health Center ukaangalie HIV Test results za PITC, PMTCT, VCT utaona mambo yenyewe!!! Mtego wa Noti...........waambie watu wa kwenu waache kuchapana hovyo hovyo
 
Last edited by a moderator:

Ngurukanipp pande za wapi Bigirita? Kigoma
Nini?
 
Last edited by a moderator:
mtoa mada u have tangible point and its true, sema hapa kila kitu hupondwa bila kufikilia kuwa aliyokutana nayo khamis ni tofauti alokutana nayo john katika haya maisha.
 
Always truth stands no matter what...anachosema jamaa ni kweli kabsaaa ila anashindwa kuweka data...kwa upande wangu 3 out of 3 married women i fu#$%%cked around used no protection. Hii kitaalamu inamaanisha 100% ya sample yangu haitumii ndomu.
 
Wanaonekana ndio sijakataa ila kuhusu kutotumia condom sijaelewa coz wat i knw hili jambo hufanyika kwa kificho.
kwa hiyo we hujawahi ku-do na mke w mtu?...believe me or not...hawapendi zana...once upon a tyme zana iliniishia nikdhani atasema basi lkn ndionikaona anarukia muhogo tena kwa shangw na nderemo...ina maanisha nini iyo?...na siyo huyo tu...wengine nawagomea...
 
ni kigoma, jimbo la kafulila..hizo data zake bigirita siyo zenyewe
hahahaa........Hizi ni zenyewe kabisa mkuu Mtego wa Noti.......au nikumegee kidogo uone??
wale jamaa zako hawana simile kabisa...wanarukiana kama kuku! unakuta household yote iko infected...baba, mama, watoto na mtoto wa ndugu anaeishi hapo.

Lakini ndio sehemu pekee kwa Kigoma ambapo HIV prevalence ipo juu.........Kwingine hapatishi, Kigoma ni moja ya mikoa iliyo na HIV prevalence ndogo zaidi Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Uwe unawapelekea labda sehemu wanazokwendaga huwa hamna condom, lol!
 
Nafikiri Mkuu Mtego wa Noti unatakiwa kubadili title na uzi wako, useme kwa nini wanaume wengi hawapendi kutimia Kondom?
Then, ueleze kwa uzoefu wako, wanawake wasio na ndoa uliotembea nao asilimia ngapi haipendi kondomu na wanawake wenye ndoa uliotembea nao, asilimia ngapi haipendi kondom.

Hapa lazima utupe maana ya kutopenda kutumia kondom, je wanasema usitumie, au wewe ndo hutumii na wao wananyamaza, au ...
 
Alichosema mtoa mada ni kweli bt sio kwa walio kwenye ndoa tu bali hata wasiokua kwenye ndoa. Mtu hata hamjuani lakini ukiulizia kavu kavu anakubali ndio maana tunapuputika watu hawajali afya zao kabisa
 
Huenda ikawa ni kweli, mwili wa binadamu ukiuzoesha jambo fulani kwa wakati fulani basi nao unafuata hivyo hivyo. Waliooa/olewa mara nyingi hawatumii mpira wanapoingiliana, kwahiyo miili yao umekwishazoea hivyo. Ukitaka kuamini jaribu haya: nenda haja kubwa kila siku saa 6 mchana kwa muda wa mwezi 1 halafu jaribu kuacha kwenda haja kubwa hiyo saa 6 lazima yakubane kinoma, nenda kulala kila siku saa 2 usiku na mwili utafuata hivyohivyo, kila ifikapo saa2 utajisikia tu usingizi. Hata wanaume waliooa nao hawapendi kutumia mpira.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom