Kwanini wagombea wa CCM hawakubaliki?

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Nashindwa elewa kuna shida gani CCM? Mikutano ya kampeni ya Mwenyekiti lazima watu wachuliwe na malori na Mabasi na kupewa posho Kofia, Tshirt na Kanga ili watu wajaae hii ikiambatana na vikundi vya sanaa na maigizo kuleta watu. Kama haitoshi wabunge na madiwani lazima wanadiwe na Kikwete, Salma, Ridhiwani na Miraji kwanini? Kuna shida hapa

1.jpg

2.jpg

1+DR+WA+KIGAMBONI+AKITAMBULISHWA+NA+MAMA+SALMA.JPG

33z63r8.jpg
 
Hawana uwezo wa kujenga hoja na kutetea wanachoamini ktk CCM.Pili uwezo wao wa kufikiria ni mdogo kuliko wasikilizaji na hivyo wako spoon feeded.
 
Nashindwa elewa kuna shida gani CCM? Mikutano ya kampeni ya Mwenyekiti lazima watu wachuliwe na malori na Mabasi na kupewa posho Kofia, Tshirt na Kanga ili watu wajaae hii ikiambatana na vikundi vya sanaa na maigizo kuleta watu. Kama haitoshi wabunge na madiwani lazima wanadiwe na Kikwete, Salma, Ridhiwani na Miraji kwanini? Kuna shida hapa
ni wazi kuwa na wenyewe wanajua wazi kuwa mda wao wa kushika madaraka umekwisha...hawana ujasiri wa kusimama mbele za watu...na ndo maana hata kwenye midahalo wanaogopa!!
 
uwezi kudanganya watu milele ndicho kinachowasumbua ccm walizoea kudanganya na wana amini kwenye kudanganya na sasa wanaodanganywa wamejua kwamba walidanganywa na wanaendelea kudanganywa so wamekataa kudanganywa sasa.

mimi nilijua ipo siku watanzania watagundua uongo wa ccm na kuchukua hatua ila si kwa haraka hivi yani wamegundua mapema na wamechukua hatua lazima ccm wapagawe kwani walikuwa hawaja jiandaa kugundulika sasa
 
Nashindwa elewa kuna shida gani CCM? Mikutano ya kampeni ya Mwenyekiti lazima watu wachuliwe na malori na Mabasi na kupewa posho Kofia, Tshirt na Kanga ili watu wajaae hii ikiambatana na vikundi vya sanaa na maigizo kuleta watu. Kama haitoshi wabunge na madiwani lazima wanadiwe na Kikwete, Salma, Ridhiwani na Miraji kwanini? Kuna shida hapa

1.jpg

2.jpg

1+DR+WA+KIGAMBONI+AKITAMBULISHWA+NA+MAMA+SALMA.JPG

33z63r8.jpg
Kwa miaka 33 toka kuzaliwa CCM haijawahi tokea Chama cha Wakulima na Wafanyakazi kufanya kampeni kifamilia,haijawahi kutokea mabango ya kuomba kura mengi kama Mwaka huu,najiuliza gharama za matangazo hayo kila moja kama CCM Ingetumia kujenga zahanati,Nyumba za walimu,Barabara ,kupandisha Mishahara walimu,watumishi wa uma,kununua madawa nani leo angeikataa CCM,hata wagombea wake hawakubaliki kwani hawana la maana la kurudi na kuwaeleza wananchi,wakisema kila kata kuna shule mbona elimu inazidi kushuka,ufauru wawatoto unazidi kudidimia kila mwaka.Nadhani hapa CCM Wamesahau hawa wanaoleta vuguvugu sasa ni kizazi cha kuanzia 1972 mpaka leo hawapo tayari kudanganywa kama vifaranga vya kuku kuwa watanyonya kesho ili hali watoto wa vigogowanatanua na V8,Hummer na Majumba ya bei kubwa,
 
uSISAHAU KUKUMBATIA WAFANYABIASHARA NA MAFISADI NA KUMSAHAU KABISA MKULIMA! HALAFU JAMANI DODOMA HAKUENDEKI TUJUE MOJA!
 
Kwa kweli inatisha kuona baadhi ya watu pamoja na kukataliwa wanaendelea kugombea tu
 
hawana sera za kukidhi haja za watanzania. hivi kweli kuna watu wasiojua wizi na udanganyifu wa ccm? hata watoto wadogo siku wanajua janja ya nyani kula mahindi mabichi.

Namshukuru Mungu kwa kunipa ujasiri wa kutowapigia kura hao wana harakati wa kijani. Mie sasa hivi wacha nimuongezee namba Chadema. Potelea pote.
 
Back
Top Bottom