Ndugu sangu Wachagga acheni unyanyapaaji, nji hii ni ya wote acheni kuwabeza ndugu sangu wa Kishumundu.
zamani kishumundu ilikua ya kishamba hata wakazi wake walikua hawajui lami wala magari,na wakifika kwenye lami wanavua via2
Nasikia walisha wahi kuikimbia ile sanamu ya askari aliye shika bunduki.
Kuna mwingine aliwahi bahatika kufika Daresalama, na kuona meli. Aliporudi kwao akaadithia kuwa wakazi wa daresalama wameendelea sana mpaka wanajenga nyumba zenye kutembea baharin...!
Ndugu sangu Wachagga acheni unyanyapaaji, nji hii ni ya wote acheni kuwabeza ndugu sangu wa Kishumundu.
wamefanywaje tena jamani?
kishumundu huko kwa BOB MLAY eti ndo bob marley ndo maana wanapenda sana reggae!