Kwanini waarabu weupe wanawabagua waarabu weusi?

Status
Not open for further replies.
Mwarabu na dini yake ni
mbaguzi tu.Si unajua na neno lao la kaffir. Ubaya sisi Waafrika
tunadandia dini zisizo za kwetu.Muislamu leo akisali lazima aangalie
uarabuni,moja kwa moja hii inaonyesha uarabuni ni superior ingawa kwao
ni jangwa hawana hata maji.Ndio maana mimi naamini afrika ndio
mbinguni.
Tuna kila kitu hapa.No need for arabic nonsense.

Hapo kwenye red, ebu fafanua zaidi.
 
Ndugu wacheni hizo fikra. hayo mambo ya kibaguzi upande wa kiarabu unatokana na baadhi ya waarabu wachache, kulingana na mapungufu yao, mimi ni mwarabu mweupe mtanzania na nimeoa mwanamke wa kiafrika, tumezaa watoto tunashukuru Mungu maisha yetu tunaishi vizuri na kwa maelewano. Mimi binafsi nilipokuwa Dubai, U.A.E. Katika masuala ya kibiashara, nimeona warabu weusi yaani kama waafrika raia wa huko wanathaminiwa na kusikilizwa zaidi. Na wanaume warabu weusi wameoa wanawake wa kiarabu weupe na, na wanawake warabu weusi wameolewa na wanaume warabu weupe, na wanashi vizuri. Jambo hilo la ubaguzi kwa upande wa waarabu kwa kweli sijaliona. Sijui kwa makabila mengine. Ukiangalia hata hapa kwetu Tanzania, warabu wamejichanganya na waafrika, na wanaishi kwa umoja na ushirikiano na upendo.
Hizo fikra potofu za wachache kutokana na kutochunguza na kufatilia mambo kwa kina.
Muhimu ni kudumisha upendo na amani na kuelemishana.
Shukrani.:peace:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom