Kwanini waarabu weupe wanawabagua waarabu weusi?

Status
Not open for further replies.
Waarabu weusi wanabaguliwa sana na waarabu weupe achilia mbali wewe muafrika, wewe muafrika ni issue nyingine kabisa, nchi za kiarabu sijui kwa nini zina ubaguzi sana kwa watu weusi .
Ukienda europe utabaguliwa sana lakini ubaguzi wake sio kama wa waarabu.
The safe place for african ni Afrika.
Tulilinde bara letu..... Kila sehemu muafrika anabaguliwa akienda except Africa tu

Mkuu Saint Ivuga, Please show supporting details:
- examples,
- facts,
- statistics etc.
Nadhani ukifanya hivyo utaeleweka zaidi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
For this very reason I ask black people, not to be tempted to convert to Islam, and to seek Truth through our Lord Jesus Christ. Sometimes Muslims, by camouflager tactics, will-try to lure you, for example by saying that Muhammad was actually black skinned, or that Islam is the religion of peace, where there is no slavery (we have see at the contrary that slavery is endorsed by Allah, in opposition to Christianity that makes everyone free). Black people believe that they were exploited by white Christians and that now there is time to let them pay. Actually, the only civilization that erased slavery from inside through a (christian) movement for same rights has been raised by the western society (that has Judeo-christian roots).

Pumba.com
 
Mwarabu na dini yake ni mbaguzi tu.Si unajua na neno lao la kaffir. Ubaya sisi Waafrika tunadandia dini zisizo za kwetu.Muislamu leo akisali lazima aangalie uarabuni,moja kwa moja hii inaonyesha uarabuni ni superior ingawa kwao ni jangwa hawana hata maji.Ndio maana mimi naamini afrika ndio mbinguni.Tuna kila kitu hapa.No need for arabic nonsense.
 
Hebu jiulizeni Eve na Adam walikua kabila gani? Jee waliishi Africa
Jee Lut alikua kabila gani ? Alikua na mjoimba afrika?
Solomon nae ? Mussa ? Nae
Zakaria ? Ismael ? IshaK ? Jessus je alikua mwafrika ?
John the baptist ?
Kwa nn hakuna Mtume au pope au nabii Mwafrika ? Labda hawa wetu kina kakobe
Jee ni ubaguzi nao ? Na hawa wooote yaani Yesu Mussa Muhamad Ishak ismael solomon Nuh wate wanatoka eneo hili la mashariki yakati ya arabuni kuanzia Baghdad damascus Jerusalem salalah yemen Bethlem Macca Misri
Hata iran hakuna
Sasa jee kuna ubaguzi katika uteuzi huo ? Tafakari

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wewe na wenzako mtakuwa ni wachungaji waliokata tamaa kwa jinsi dini yenu inavyokimbiwa na wafuasi.Si Afrika tu bali hata Ulaya kwenyewe ambako ndiko ngome yenu.
Kumbuka wakati wa Mtume (S.A.W) kulikuwa na waarabu wenzake rangi moja na yeye ambao walitumia mbinu kama zenu za kukata tamaa na hawakuweza kuuzui Uislamu kukubalika na kuenea kote duniani mpaka Urusi na China.
Waafrika mnaoona wanaukubali uislamu si kutokana na rangi bali ni ukweli wa mafunzo ya uislamu ndio unaowajulisha kwamba hii ni dini ya kweli.Hivyo nyinyi endeleeni tu kula pesa za wazungu lakini hamtaweza kufua dafu.Mwishowe mnakuwa wauwaji tu.
 
Hata kama mtajaribu kupindisha thread ukweli uko wazi tu. Ubaguzi katika nchi za kiarabu unatisha mno. Kule hata mfumo wa sheria unawabagua weusi tofauti na ulaya na marekani. Mtoa mada amesema kweli tupu kwamba sehemu salama kwetu sisi wamakonde ni Afrika. Hayo mengine ya ukimwi n.k. si ubaguzi, ni unyanyapaa.

Kama chetu kiasi hivi, unamaanisha kubaguliwa na mzungu inaleta rahaaa, tatizo kubaguliwa na mwarabu inaleta karaha.
 
Hata tuweke maandishi ya rangi gani hapa ukweli utabakia kuwa Waarabu ni janga. Ndio maana walipoishi hakuna hata trace ya Kazahanati wala kashule ka elimu ya maana zaidi ya ile ya kuwakong'ota watoto wakariri maandishi ya lugha yao
 
Waafrika tunasahau waarabu ndio walianzisha utumwa afrika na koran inaruhusu makafiri i.e africans kuchukuliwa watumwa.nenda bagamoyo au malindi uone

Mwarabu ni distroyer na parasite wa civilisation.Kuanzia misri mpaka nubia hawa watu waliharibu himaya hizi za Waafrika wakaiba maandishi yao, (unajua arabic script inatoka kwenye ancient egypt alphabet?) wakaslamisha kila mtu, sasa mweusi nchi hizi anajiita Mwarabu wakati kabla hata Mwarabu kuexist hawa wasudan walikuwa na lugha na maandishi yao. soma wakina candace, meroe, cush n.k.

Kwahiyo mnaotetea waarabu nendeni shule kwanza. Bob marley alisema,'emancipate yourselves from mental slavery'.
 
Lugha yao yenyewe haieleweki so wanakuwa brain washed tu na kuamini kuwa kila kitu wanaonewa. Gadamn!!!!
 
Well said kaka, wengi wamekosa hii wanayoiita elimu dunia.
 
T
here are specific narrations which claim that Allah deliberately created black skinned people for hell!

Abu Darda' reported God's messenger as saying, "God created Adam when He created him and struck his right shoulder and brought forth his offspring white like small ants.
And he struck his left shoulder and brought forth his offspring BLACK as though they were charcoal. Then He said to the party on his right said, 'To paradise, and I do not care', and He said to the party in his left shoulder ‘To hell, and I do not care’." Ahmad transmitted it. (Mishkat Al Masabih, English translation with explanatory notes by Dr. James Robson [Sh. Muhammad Ahsraf Publishers, Booksellers & Exporters, Lahore-Pakistan, Reprint 1990], Volume I, Chapter IV, Book I.- Faith, pp. 31-32)

And: Narrated AbudDarda': Allah's Messenger (peace be upon him) said: Allah created Adam when He had to create him and He struck his right shoulder and there emitted from it white offspring as if they were white ants. He struck his left shoulder and there emitted from it THE BLACK OFFSPRINGS as if they were charcoal. He then said (to those who had been emitted) from the right (shoulder): For Paradise and I do not mind. Then He said to those (who had been emitted) from his left shoulder: They are for Hell and I do not mind. Transmitted by Ahmad. (Al-Tirmidhi Hadith, Number 38; ALIM CD ROM Version)

(Al-Tirmidhi ahadith are one of the six canonical hadith compilations used in Sunni Islam)
Hence, black people are condemned to hell for having the very skin color that Allah predetermined for them even before their creation! Is this just to condemn people on the basis of their skin color when they didn’t have a choice in the matter? These people weren’t asked beforehand whether they wanted to be black, white, Arabian, American etc., but this was something already decided beforehand by Allah.
mdau hii quotation imetoka kwenye quran tukufu?.. Ama suni muslims wanatumia kitabu gani?
 
Hebu jiulizeni Eve na Adam walikua kabila gani? Jee waliishi Africa
Jee Lut alikua kabila gani ? Alikua na mjoimba afrika?
Solomon nae ? Mussa ? Nae
Zakaria ? Ismael ? IshaK ? Jessus je alikua mwafrika ?
John the baptist ?
Kwa nn hakuna Mtume au pope au nabii Mwafrika ? Labda hawa wetu kina kakobe
Jee ni ubaguzi nao ? Na hawa wooote yaani Yesu Mussa Muhamad Ishak ismael solomon Nuh wate wanatoka eneo hili la mashariki yakati ya arabuni kuanzia Baghdad damascus Jerusalem salalah yemen Bethlem Macca Misri
Hata iran hakuna
Sasa jee kuna ubaguzi katika uteuzi huo ? Tafakari

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Which means unakubaliana na hizo quotation zilizowekwa na M Mkwawa kuwa God created African to hell?
 
Last edited by a moderator:
Bro, at least get your shi.t right first.

Kwani Waingereza Weupe hawawabagui Waingereza Weusi?

Au Wamarekani Weupe hawawabagaui Wamarekani Weusi?

Hata Waswidi Weupe na Wafaransa Weupe wanawabagua wale kati yao walio weusi.

Kwa hiyo what's the big deal about Waarabu Weupe kuwabagua Waarabu Weusi?
Tuliza munkari bro
 
Lugha yao yenyewe haieleweki so wanakuwa brain washed tu na kuamini kuwa kila kitu wanaonewa. Gadamn!!!!
Mbona umetoa hoja ya kijinga kiasi hicho?.Kumbe wewe usipoelewa kitu unachukulia kuwa watu wote hawaelewi.Ikiwa wachina na waarabu huwaelewi basi angalia maendeleo yao ili ujue kwamba wao wenyewe wanaelewana.
Nakushauri ujifunze ujue ukweli wa mambo badala kurusha matusi.
 
Pamoja na kubaguliwa waarabu weusi wanajipendekeza kwa waarabu weupe, ndiyo maana wanadharaulika.
 
Mbona umetoa hoja ya kijinga kiasi hicho?.Kumbe wewe usipoelewa kitu unachukulia kuwa watu wote hawaelewi.Ikiwa wachina na waarabu huwaelewi basi angalia maendeleo yao ili ujue kwamba wao wenyewe wanaelewana.
Nakushauri ujifunze ujue ukweli wa mambo badala kurusha matusi.

Maendeleo ya Arab Spring! Hakuna cha kujifunza hapo zaidi ya shari ya sharia. Wanalipuana kule Syria kama wehu, hayo ni maendeleo. Wanamalizana kule Libya, hayo ni maendeleo. Wataoana roho kula Palestine, hayo ni maendeleo. Wanatoana roho kule Afghanistan kama vichaa, hayo ni maendeleo.

Kuna maendelo makubwa sana pale Somalia, au sio....

Kumbe ukweli ni kurusha matusi....
 
Hata sisi watanzania tunao huo ubaguzi jiulize kwanini serikali na mashirika mengi yanakemea juu ya kuwanyanyapaa albino,wagonjwa wa ukimwi,tena kuna baadhi ya makabila hayaruhusu hata kuoleana na kabila jingine,wazo langu tujiangalie kwanza sisi kisha tuwaangalie hao waarabu, mada hii ukiisoma na kui pigia picha ya jinsi itakavyoishia inaonyesha huko mbele italeta u-dini ,furugu ambazo zilikuwepo jana huko dar,na mwisho inaweza kuwa kwakuwa waarabu wanachukiana wao kwa wao sembuse hawa waislam ambao wapo tanzania ambao ndo weusi na nywele ngumu zaidi ya hao warabu wanaoishi nao huko,

Bakia kwenye mada. Mambo ya bongo hayahusiki kwenye hii mada.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom