Kwanini waarabu weupe wanawabagua waarabu weusi?

Status
Not open for further replies.
Kwanza jithamini mwenyewe, halafu wegine watakuthamini. Km unakimbia kwenu na kwenda kuishi kwa mwenzio halafu unaonekana mzigo lzm watakubagua tuu. Tujenge uchumi wetu halafu wengine watatuheshimu!!
 
Uarabu si Rangi? Itakuwaje uwe Mwarabu halafu uwe Mweusi?

ndugu mtoa MADA inaonyesha kabla hajatoa mada hajafanya utafiti wa kina huko Europe ndio wakwanza na magwiji wa ubaguzi utakuta wale A/cast Au wanawaita NIGER..ule ni ubaguzi mpaka leo nado upo asubui ukikutana na vibibi wa kizungu utakuta ANAJITEMEA MATE KIFUANI anamaanisha asubui hii amekutana na Nukhusi je huo sio Ubaguzi??? fanya utafiti kabla ya kutoa Mada
 
asikudanganye mtu, THE WORLD IS RUN BY MONEY REGARDLESS OF YOUR RACE. fanya kazi, tunza pesa, wekeza pesa watakuheshimu tuu hao maracist?
 
Kwa sababu hao ni materorists alafu kuna mamtu yanajifanya yao yanaishi ustaarabu wa mwarabu yakifikili ndo maisha ya Mungu.MAJINI YANAHUSIKA HAPO.
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
 
Hebu jaribu pia kutembelea na israel ujue ubaguzi umefikia kiwango gani pale,halafu pima ubaguzi wa warabu na wazungu upi zaidi?

oale ISRAEL kuna wa ETHIOPIA ambao wana asili ya esrael wengi ni vibarua na wafanyazi wa ndani awapati Elim ya juu ajila ya kudumu hawapati ukisema ubaguzi hivi KARIBUNI TU MADONA ALITAMKA YAKUA KURA YANGU NITAMPA MTU MWEUSI JE ALIKUA ANAMAANISHA NINI ??MARTN LUTHAKING NDIO ALIKUA CHIMBUKO LA KUPINGA UBAGUZI NA BADO HAUJAISHA UBAGUZI
 
Bro, at least get your shi.t right first.

Kwani Waingereza Weupe hawawabagui Waingereza Weusi?

Au Wamarekani Weupe hawawabagaui Wamarekani Weusi?

Hata Waswidi Weupe na Wafaransa Weupe wanawabagua wale kati yao walio weusi.

Kwa hiyo what's the big deal about Waarabu Weupe kuwabagua Waarabu Weusi?

Upo right japo umenitukana.. Inakurudishia tusi lako.
Hapo sikugeneralise.. So anzisha thread nyingine ya kuwaongelea.. Najua wazungu ni wabaguzi sana na hilo hakuna anayelipinga ..look south afika tu hapo kwa makaburu. So hakuna haja ya kunitukana hapa
 
Nenda zako kakojoe ukalale.Huna hoja Saint.Kumbe masaint ndivyo mlivyo.Waongo na hamfikiri kabla kusema.
Umeambiwa Salala nchini Oman utadhani uko Mtwara na wao ndio mabosi wa kila kitu kule.Hata mfalme wao anatoka huko.Sasa tena unaanza kurusha mawe eti Ooh! jamaa wana roho mbaya.

Sasa Ami matusi ya nini tena? Ok jamaa hawana roho mbaya nenda kaishi iran ama palestina ama saudia. Hapa nimewaongelea waarabu tu lakini ukija kwa waisraeli nao wana ubaguzi wa hali ya juu sana mwaka huu tu waisrael waliandamana wakidai waafrika warudishwe kwao.
Naona umekasirika bila kunielewa but mimi nasimamia ukweli kuwa "the best place for africans to live is africa" .... Kama unaona nakosea basi nenda uarabuni kama hurarudi mwenyewe kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
ndugu mtoa MADA inaonyesha kabla hajatoa mada hajafanya utafiti wa kina huko Europe ndio wakwanza na magwiji wa ubaguzi utakuta wale A/cast Au wanawaita NIGER..ule ni ubaguzi mpaka leo nado upo asubui ukikutana na vibibi wa kizungu utakuta ANAJITEMEA MATE KIFUANI anamaanisha asubui hii amekutana na Nukhusi je huo sio Ubaguzi??? fanya utafiti kabla ya kutoa Mada

You are very right. Siwezi kuwatetea wazungu ni wabaguzi sana tena sana. Ial mada yangu inazungumzia ubaguzi wa waarabu weupe kwa weusi ili hali wote ni watu wa dini moja
 
You are very right. Siwezi kuwatetea wazungu ni wabaguzi sana tena sana. Ial mada yangu inazungumzia ubaguzi wa waarabu weupe kwa weusi ili hali wote ni watu wa dini moja
Hii thread naona imekushinda mwenyewe.Hiyo hapo juu ndilo lililokuwa lengo lako kuupaka matope uislamu.
Sasa Ami matusi ya nini tena? Ok jamaa hawana roho mbaya nenda kaishi iran ama palestina ama saudia. Hapa nimewaongelea waarabu tu lakini ukija kwa waisraeli nao wana ubaguzi wa hali ya juu sana mwaka huu tu waisrael waliandamana wakidai waafrika warudishwe kwao.
Naona umekasirika bila kunielewa but mimi nasimamia ukweli kuwa "the best place for africans to live is africa" .... Kama unaona nakosea basi nenda uarabuni kama hurarudi mwenyewe kimya kimya
Nimekuwa mkali sana kwa sababu mwenyewe nimetembelea Oman na sijaona huo ubaguzi unaosema.Walinzi weusi kama ndio unaokusudia ni waafrika utawakuta ikulu ya Oman lakini hapo Magogoni ukimuona muafrika aliyevaa kofia au kanzu nyeupe basi kameara zote zitamuelekea yeye.
Baada ya kuona huna hoja unajaribu kunyamazisha wachangiaji,eti waanzishe nyuzi maalum kuzungumzia wazungu.Mbona wewe hukuanzisha huo uzi kuwazungumzia makaburu uliowataja.
 
Hii thread naona imekushinda mwenyewe.Hiyo hapo juu ndilo lililokuwa lengo lako kuupaka matope uislamu.

Nimekuwa mkali sana kwa sababu mwenyewe nimetembelea Oman na sijaona huo ubaguzi unaosema.Walinzi weusi kama ndio unaokusudia ni waafrika utawakuta ikulu ya Oman lakini hapo Magogoni ukimuona muafrika aliyevaa kofia au kanzu nyeupe basi kameara zote zitamuelekea yeye.

Umeambiwa waarabu weusi wapo oman tu? Nenda saudia uone jinsi wafanyakazi wa ndani (weusi) wanavyonyanyaswa. Sina nia ya kuikashifu dini yako. dini zenyewe hivi tumeletewa ...
 
Umeambiwa waarabu weusi wapo oman tu? Nenda saudia uone jinsi wafanyakazi wa ndani (weusi) wanavyonyanyaswa. Sina nia ya kuikashifu dini yako. dini zenyewe hivi tumeletewa ...

Bado nakukatalia kabisa kama weusi wanabaguliwa laa,wanaobaguliwa ni raia kutoka nchi zingine lakini sio wao kwa wao,hilo ni tatizo la dunia nzima,nimeishi oman sijaona hilo,nimekaa Bahrain weusi ni wengi sana na sijaona huo ubaguzi,nimefika Kuwait sijaona,na hata sasa nipo Emirate sijaona huo ubaguzi unaosema wewe,licha ya mimi pia kuwa nimechanganya rangi lakini hata mimi sijaona sehem nliyobaguliwa,

Tunaona kila siku kuanzia ligi ya EPL nini kina terry wanafanya,tuliona kule Spain mpaka Eto'o na Gaucho walikuwa wanafanyiwa kitu gani,ubaguzi kwa wazungu uko juu saana kuliko sehem yeyote duniani,na hili swala la ubaguzi sio mataifa linaweza kuwa la mtu m1 m1 yaani ni kama tabia,hata tz tunayo sana'mmewasema waarab je warabu wangapi hapo tz wameowa waswahili au kuolewa na weusi? Je umezungumzia wahindi au umesahau hawa ndio wakwanza duniani kwa ubaguzi?kuna muhindi kaowa mweusi unaemjua wewe hapo tz?
 
Uarabu si Rangi? Itakuwaje uwe Mwarabu halafu uwe Mweusi?
Mkuu,
Wapo waarabu weusi, nathibitisha. Bara Arab limegawanyika. Nchi za kiarabu mfano Yemen, Saudia, sehemu fulani ya Oman waarabu wake wapo mchanganyiko. Uendapo mashariki ya kati utakuta waarabu ambao ni weupe sana katika nchi za Iran, Jordan, Syria, Lebanon, Palestine etc.
Mchanganyiko huo ni mithili wa bara hindi ambapo nchi ya india (licha ya ukubwa wake) lakini ukienda India ya kusini utakutana na wahindi weusi kabisa kabisa. Ukienda Sri lanka utakutana na wahindi weusi wengi sana.
Juu ya yote, ni Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye siri iliyopo. Nae hakumuumba mwanadam kwa tabaka fulani ni bora mbele yake kuliko tabaka jingine, ni sisi wanaadam ndio wenye chokochoko zisizoisha hata kama tupewe mito ya asali, maziwa yakitiririka lazima tutazua 'kwa nini'. Ndivyo tulivyo wanaadam.
 
Someni the last sermon of prophet Muhammad mjue, na kisha kupata jibu la swali la muulizaji. Tusiingize fikra.
Nanukuu
"After praising, and thanking God, he said:
"O People, listen well to my words, for I do not know whether, after this year, I shall ever be amongst you again. Therefore listen to what I am saying to you very carefully and TAKE THESE WORDS TO THOSE WHO COULD NOT BE PRESENT HERE TODAY.

O People, just as you regard this month, this day, this city as Sacred, so regard the life and property of every Muslim as a sacred trust. Return the goods entrusted to you to their rightful owners. Treat others justly so that no one would be unjust to you. Remember that you will indeed meet your LORD, and that HE will indeed reckon your deeds. God has forbidden you to take usury (riba), therefore all riba obligation shall henceforth be waived. Your capital , however, is yours to keep. You will neither inflict nor suffer inequity. God has judged that there shall be no riba and that all the riba due to `Abbas ibn `Abd al Muttalib shall henceforth be waived.

Every right arising out of homicide in pre-Islamic days is henceforth waived and the first such right that I waive is that arising from the murder of Rabi`ah ibn al Harith ibn `Abd al Muttalib.

O Men, the Unbelievers indulge in tampering with the calendar in order to make permissible that which God forbade, and to forbid that which God has made permissible. With God the months are twelve in number. Four of them are sacred, three of these are successive and one occurs singly between the months of Jumada and Sha`ban. Beware of the devil, for the safety of your religion. He has lost all hope that he will ever be able to lead you astray in big things, so beware of following him in small things.

O People, it is true that you have certain rights over your women, but they also have rights over you. Remember that you have taken them as your wives only under God's trust and with His permission. If they abide by your right then to them belongs the right to be fed and clothed in kindness. Treat your women well and be kind to them, for they are your partners and committed helpers. It is your right and they do not make friends with anyone of whom you do not approve, as well as never to be unchaste...

O People, listen to me in earnest, worship God (The One Creator of the Universe), perform your five daily prayers (Salah), fast during the month of Ramadan, and give your financial obligation (zakah) of your wealth. Perform Hajj if you can afford to.

All mankind is from Adam and Eve, an Arab has no superiority over a non-Arab nor a non-Arab has any superiority over an Arab; also a white has no superiority over a black nor a black has any superiority over white except by piety and good action. Learn that every Muslim is a brother to every Muslim and that the Muslims constitute one brotherhood. Nothing shall be legitimate to a Muslim which belongs to a fellow Muslim unless it was given freely and willingly. Do not, therefore, do injustice to yourselves.

Remember, one day you will appear before God (The Creator) and you will answer for your deeds. So beware, do not stray from the path of righteousness after I am gone.

O People, NO PROPHET OR MESSENGER WILL COME AFTER ME AND NO NEW FAITH WILL BE BORN. Reason well, therefore, O People, and understand words which I convey to you. I am leaving you with the Book of God (the QUR'AN*) and my SUNNAH (the life style and the behavioral mode of the Prophet), if you follow them you will never go astray.

All those who listen to me shall pass on my words to others and those to others again; and may the last ones understand my words better than those who listen to me directly. Be my witness O God, that I have conveyed your message to your people.
 
Hebu jaribu pia kutembelea na israel ujue ubaguzi umefikia kiwango gani pale,halafu pima ubaguzi wa warabu na wazungu upi zaidi?

Umeshasema myahudi hivyo sina haja ya kwenda Ulaya kuona hali halisi. Myahudi si mzungu na Israe si Ulaya.
 
Vipi wayahudi weupekwa wayahudi weusi? Hata kuitwa 'dogs' kuna ubaguzi zaidi ya huo?
 
Waarabu weusi wanabaguliwa sana na waarabu weupe achilia mbali wewe muafrika, wewe muafrika ni issue nyingine kabisa, nchi za kiarabu sijui kwa nini zina ubaguzi sana kwa watu weusi .
Ukienda europe utabaguliwa sana lakini ubaguzi wake sio kama wa waarabu.
The safe place for african ni Afrika.
Tulilinde bara letu..... Kila sehemu muafrika anabaguliwa akienda except Africa tu
Wewe waitakia nini nchi yetu yakhe? tuache tupumuwee utuache tena utuache ati tushasema hatutaki hatutaki mutuache tupumuwee
Misaada yaja mwaila sie tushachoka ati mutuache tupumuwee nimesema hatutaki hatukaki mutuache tupumuwee
 
Mwambie bilal aondoke huku Tanganyika.. Tuacheni na sie tupumue mmejazana huku Tanganyika kila wizara mpo tuachieni nchi yetu kazi nyingi mnachukua nyie udom mmejazana tuacheni tupumue
 
Waarabu weusi wanabaguliwa sana na waarabu weupe achilia mbali wewe muafrika, wewe muafrika ni issue nyingine kabisa, nchi za kiarabu sijui kwa nini zina ubaguzi sana kwa watu weusi .
Ukienda europe utabaguliwa sana lakini ubaguzi wake sio kama wa waarabu.
The safe place for african ni Afrika.
Tulilinde bara letu..... Kila sehemu muafrika anabaguliwa akienda except Africa tu
Niliwahi kufanya jazi Dubai kwa miaka mitatu hv siku za nyuma.
Wakati cc waafrica kuingia UAE ilikuwa rahisi kama kwenda tkariakoo, waarabu toka nchi maskini zilizo nje ya Gulf kupata viza za kuingia UAE au Gulf Countries kwa ujumla ilikuwa sawa na cc waafrica tunavyohangaika kupata visa ya UK kwa sasa.
Kwa maelezo haya nataka nikuambie kitu kimoja, ubaguzi uliopo Arabuni c kwa ngozi nyeusi tu hata kwa waarabu maskini wanabaguliwa pia hata kama ni weupe.
Kuna ubaguzi wa ndani ya nchi zao ambao ndo wa waarabu weusi bt pia kati ya waarabu matajiri na maskini ni mkuubwa mno.
Waarabu hawapendi kbs kuuchaua rangi zao so kumuoa mwarabu hata huyo wav rangi nyeusi haiwezekani kbs labda mwanamke ajivue uraia.
Waarabu watakupenda hata kama unangozi nyeusi iwapo ttu unaujuzi ambao watakutumiakwa manufaa na unafata sheria zao, hasa kukaa mbali na mabinti zao
 
ubaguzi is there to stay unaanzia ngazi ya familia mpaka kimataifa,that is life
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom