Mkimbizi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2008
- 222
- 34
Lakini hawa wandugu hawaangalia mbali,, hawaangalii miaka 1000 ijayo na zaidi. Duniani kitu kikubwa chenye thamani ni Ardhi. Tunakoenda na mambo ya pollution tunafahamu fika kuwa temperature inaongezeka na sea level vile vile. Kwa mantiki hiyo basi ardhi ya Zanzibar inapungua taratibu.
Wangekuwa na akili(siwatukani) za kuona huko mbali, wangetulia na kuja kujichanganya bara ili wawe na security. Hivi tukitengana na tukawatimulia mbali itakuwaje?
Nawashauri mambo mengine yatatuliwe tu kwa namna yoyote, lakini hili la kujitenga wasilifikirie kwa faida ya ZANZIBAR IJAYO.
Wasiwe wabinafsi hawa wanaoishi sasa kwa kujiona wanastahili kila kitu, sisi tunawapa security ya ARDHI.
Ila kama hawataki, basi tuwaache waende zao. Naamini umoja wetu wa bara ni very strong maana tuko wengi, tunataniana, tumeoana, na tunakaa pamoja(Dini tofauti). Watakuja kuelewa baadae watakapo kuwa wakimbizi wa Ardhi, Tanganyika. Na tutakuwa tumewatia sumu vizazi hivyo viwachukie sababu ya UBINAFSI WAO.
Shauri ZAO!