Kwanini vyuo vya Tumaini vinatengwa?

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Muundo wa TCU hauwapi nafasi Vyuo Vikuu vya Tumaini. embu angalia hapo chini

The Commission is made up of 13 members, all appointed by the Minister for Higher Education. They are:

1. Prof. T. S. A. Mbwette, Chairman and Vice Chancellor of the Open University of Tanzania
2. Prof. R. Mukandala Member, Vice Chancellor of the University of Dar es Salaam
3. Prof. A. S. Mshimba Member, Vice Chancellor of the State University of Zanzibar
4. Rev. Dr. C. Kitima Member, Vice Chancellor of the St. Augustine University of Tanzania
5. Prof. W. S. Abeli Member, Director of Higher Education
6. Hon Dr. Mwita Haji Mwita (MP) Member, from the Union Parliament
7. Hon Ali Mzee Ali (MHR) Member, from the House of Representatives, Zanzibar
8. Dr. N. Sekwao Member, from the Ministry of Education and Vocational training
9. Mrs. E. Mkwizu Member, from the Private Sector
10. Mr. Vuai Mwinyi Mohamed Member, from the Ministry of Education, Zanzibar
11. Mr. Joffer Maggila Member, from NACTE
12. Ms Tumu Mussa Ali Member, Student representative, Zanzibar
13. Mr. Walter Ngonyani Member, student representative from the Mainland
 
Mtizamo wako ni wa uchoyo! Sidhani ilikuwa ni dhamira kujumuisha kila chuo. Sioni kile Chuo Cha Kiislamu Morogoro, wala Chuo Kikuu Ardhi au Sokoine. Ni vizuri ukakubali kuwa na imani na amani Tumaini watatendewa haki licha ya kutowakilishwa kwenye ngazi hii. Au kuna kilichokwisha tokea? Maana tusianze na mitizamo ya namna hii, watakuwa na kina mama watasema mbona wanawake wawili tu, mwisho hatutafanya kazi! au waje wakristu, mara waislamu, mara wahindu! ACHA!
 
Kwa nini unaongelea Tumaini University tu, Mbona Mzumbe University hakipo, Sokoine University hakipo, Dodoma University Hakipo au una agenda gani ingine tuijadili hapa!!.

Nielewavyo hao ni members waliochaguliwa kuwakilisha wengine na haina maana ambaye hayupo hapo haki yake haitawakilishwa.
 
Lutala, try to think hollystically not blindly as you have done. those elected will be operating by laws and not wishes as you think.
 
Mbona hata ifm hawapo?...........inawezekana una maslahi fulani kwa kutaja tumaini tu wkt vyuo vingine vikuu kibao havina uwakilishi
 
cbe, tia, dar tech, nk mbona havipo, kanuni ndio zinatawala zaidi kuliko wishes za mtu binafsi!
 
Nadhani mleta mada hakuwa makini wakati anaanzisha hii thread au alikuwa na ajenda yake binafsi ambayo ilifunika uwezo wake wa kufikiri sawasawa kwa upeo mpana. Kama watu wengi walivyomuelewesha, sio tu tumaini haikuwakilishwa lakini pia hata vyuo vingine vingi tu, sitaki kuvirudia kwani vimekwisha tajwa. Hii mada ifungwe maana hakuna hoja ya msingi ya kuendelea kujadili hapa, lakini namkumbusha LUTALA, JF "is a home of great thinkers" usifikiri unaweza kuchota akili za watu kwa hoja nyepesi zisizo na mashiko.
 
Msameheni bure mtoa hoja! Uhafifu wa hoja yake umesababisha fumanizi, hana la kujitetea hapo!
 
Kwa nini unaongelea Tumaini University tu, Mbona Mzumbe University hakipo, Sokoine University hakipo, Dodoma University Hakipo au una agenda gani ingine tuijadili hapa!!.

Nielewavyo hao ni members waliochaguliwa kuwakilisha wengine na haina maana ambaye hayupo hapo haki yake haitawakilishwa.

Vingine vinayoitwa vyuo vikuu ni vyuo vikuu majina tu. Ukiangalia wave upgrade majina tu kutoka institute na kuwa university. Faculty level bado ni ya chini ikilinganishwa na really universities. Kuna siku moja nilikuwa naongea na jamaa mmoja wa ubalozi wa UK alisema vyuo vingi hapa TAnzania havitambuliki kimataifa, leave alone Afrika Mashariki. Lakini hata hivyo sidhani kama hiyi ndio ilikuwa criterion ya selection. Ungeweka thread yako vizuri unepewa jibu zuri zaidi.
 
Mchochezi mkubwa wewe mbona hata kariuki
mara nyingine fikiria kabla ya kukurupuka kutuandikia vitu kwa maslahi yako ebo!
 
usiwe na wasiwasi rafiki nina uhakika uteuzi huo umefanyika ili kufanya kazi za tcu na sio kutenga chuo chako.
 
Back
Top Bottom