Ukitaka kujua umarekani umekuingia angalio mwitikio wako kwa huyo nyani. Kama wazo la mwanza lilikuwa "how cute" basi umeshauvaa umarekani. Kama ulisema "wazungu bana" basi umarekani umekataa kukuingia.
by design or by natural selection...? mambo mengine magumu !!!
Kiranga hapa atakwambia kuwa ni natural selection!
This thread has been beshited.
Mkuu Megaman fuatilia hizi threads; is there life.... na proof of God... utaona kwamba thread ikifika baada ya page chache huwa inabadilika na kuwa muendelezo wa hii thred ambayo iko jukwaa la dini. Kwa hiyo kuwa muangalifu inabidi uwe adapted kwani H1N1, Kosher, Companero (na iron lady? ) ni kama hawaoni tofauti ya hizo threads. Ni kama umepanda basi la Tegeta-MbagalaR3 halafu kuna mtu anakuhubiria njia zima kwa sauti ya juu Neno la Bwana bila kujali kama upo tayari au unataka kusikiliza na kusababisha kero kwa baadhi ya abiria.
The human eye works by some 40 different parts functioning together. If just one of these is not present, the eye will serve no purpose. Each of these 40 parts has its own individual complex structure. For instance, the retina, at the back of the eye, is made up of 11 strata (above right), each of which has a different function. The theory of evolution is unable to account for the development of such a complex organ. |
Mungu yupi huyu unayezungumzia kumhusu? There are thousands of existing gods, the Judeo-christian or Islamic (Abrahamic) is just one of these, I'm very interested to know how you came to the conclusion that it was specifically the one who you follow that created the universe ............ or light in this case.
Mkuu Megaman fuatilia hizi threads; is there life.... na proof of God... utaona kwamba thread ikifika baada ya page chache huwa inabadilika na kuwa muendelezo wa hii thred ambayo iko jukwaa la dini. Kwa hiyo kuwa muangalifu inabidi uwe adapted kwani H1N1, Kosher, Companero (na iron lady? ) ni kama hawaoni tofauti ya hizo threads. Ni kama umepanda basi la Tegeta-MbagalaR3 halafu kuna mtu anakuhubiria njia zima kwa sauti ya juu Neno la Bwana bila kujali kama upo tayari au unataka kusikiliza na kusababisha kero kwa baadhi ya abiria.
Pendo lililobarikiwa MM,
Natambua ni usadikifu wa wengi kuwa kuna Mungu japo uwengi wao haufanyi hilo kuwa ni hivyo hasa...
Nimezipenda mno hizo picha ulizochagua na kuambatanishia swali--kama kawaida, zimeikiwa kwenye kasha langu la picha mbalimbali... Kwangu huwa zinaamsha mambo mengine hata ya mbali na sayari ya dunia; japo nikikaza mawazo yangu kwa mambo ya hapa kwenye dunia yetu ninafurahia sana uzuri na urembo ajabu wa viumbe anuai katika sayari moja...
Mwanzo na mfanyiko wa viumbe vyote ni utukufu na sifa ya ua ndani ya ua... Ninazungumza kiushairi lakini kiufundi ukweli wa mambo ndivyo ulivyo; katika ulimwengu wote mzima na katika sura ya yaliyodhahiri na yasiyodhahiri, uzuri na urembo ni ishara ya uakili usiokifani na ishara ya nekta, mguso laini na hata manukato ya uhalisia unafutika mwingine--na yote kuwa basi mfano moja kuwa ndani ya mwenzake pasipo nukta ya kiini wala mzingo wa mapana... Ulimwengu uliodhahiri hauna mwanzo wala mwisho, na kama ilivyo ndani ndivyo ilivyo nje. Ilivyochini ndivyo ilivyo juu...
Viumbe hai vyote hufanyika kuwa na halafu humong'onyoka kwa kanuni zenye kufuatisha sifa ya utukufu wa hata kile tusichokiona kwa macho... Hicho chaweza kuwa ni 'Yabisi' kabisa katika ulimwengu wa namna yake lakini usioingiliana na miguso ya fahamu zetu za kawaida. Basi japo wengi katika hali ya kawaida hupenda kutazama sura ya mambo kwa kule kusema kitu 'kiliumbwa'--katika huu ulimwengu hakuna kitu kama kuumbwa hasa... Kuna 'uumbajikaji'--na huu upo wakati wote; daima umekuwa--milele unakuwa. Kila kifanyikacho kuwa dhahiri kwa muktadha, hali na picha fulani kwa namna ingine chaweza kuwa ni sehemu ya sifa yenye mapana marefu kuliko tuwezavyokumaizi kwa wakati. Ni kwa jinsi hii kidogo tu, watu wa visomo vya historia vya viumbe na masalia huleta zile nosha za ukuwakujia--evolution. hawa hupatia patia ukweli wa mambo wanavyozungumzia nasibu ya viumbe kubadilika katika vipindi virefu vya nyakati ili kupatia sura iliyobora kwa uzima na ustawi wa kiumbe lakini mengi wanayozungumza mpaka sasa ni nusu ya simulizi kwa kuwa nusu yake haijapata kusimuliwa...
Ulimwengu wote ni maua, haya huja kwa kanuni za uzima, kheri na utangamano uliofichika wa maumbo na uweza wa nguvu usiokoma nguvu. Nifupishe simulizi la kutanua mashauri ya msuko wa miili hai na ile isiyo hai ndani na muktadha usioonekana wa uhai kwa kudodosea jambo... Kadiri ya kufanyika kwa yote ni fumbo na hapo hapo ufunguo kwa siri za uzima. Wewe umevutiwa na macho, basi nitakuambia jambo... Macho mawili ya viumbe hufanyika hivi kwa kuwa kila mwili wa kiumbe ufanyikao kwa mapana ya sehemu ya 'uyabisi' usiodhahirika wa ua letu la uzima na tena wenye kutia uzima na maana ya maumbo na mienendo ya uzima huhifadhi neno kwa simetria ya unusu na unusu wa jinsi ya kiume na kike katika kila mwili wenye kuhaika... Lakini unusu huu pia hufungamana na siri za (1)damu za hisia ilivyo ni muktadha tiririvu na (2)miundo tuli ilivyo ni sura ya usimamivu na uyabisi wa maumbo hata yale yenye uhai.
Kuna siri katika hisia kwa maana ya kile ambacho mashauri ya kiingereza hutajwa ni 'Emotions' na ni dhumuni kuja kutafutia neno muafaka kwa hisia kwa muktadha kama hatua maandalizi ya kisomo rasmi cha ufunuo wa siri za maumbo yenye kunyambulika kiuhai. Hisia kwa namna ya neno hili 'emotions' ni kipitisho cha usumaku wa maumbo hata kwa mapana ya kweli tusizozielewa vizuri kwa sayansi yetu ya leo... Azma yangu sehemu ya kweli hizi tutazichimbua na zitatuleta uwezo hata wa ajabu katika ujuzi na maarifa juu ya siri za viumbe hai na uzima uliohifadhika--hii pia itakuwa ni kufunguo kwa tiba na uponyaji... Macho yanahusiana sana na akili, utambuzi na kujitambua kukidhi sifa maalum za kiumbe chenye hayo; tofauti ya kiumbe chenye macho na kile kisicho na macho ni kuwa mapana ya jaala ya kiumbe hata katika sura pana ya ukuwakujia yatakidhi sifa na hadhi tofauti katika ustawi wa kimazingira na kujitosheleza. Katika mapana ya hata mfumo wetu mkusanyiko wa majua--katika mpangilio wa falaki; nasibu ya viumbe hai vingi vinakadirisha hadhi ya fahamu tano za kimsingi--na ndivyo achitipu, kudra na hadhi za kiakili huchachuka katika kunasibu uzuri wa maumbo ya uzima kwa kujitahidi kutangamana na mawimbi ya hisia na kheri ya maumbo mapana zaidi ya falaki zilizodhahiri na kusema basi katika muktadha usiodhahiri wa ulimwengu tuutambuao...
Kadri unawezavyo kutambua siri za majimaji ya uzima wote umejua 1/3 ya mpango mzima... Ulimwengu kwa sifa na utukufu kamili ni 3/3 kote na mote.
Katika umajimaji huu vyote vyafanyika na milele yote... Usipotoke kamwe na vina vya tafsiri kwa udhanifu na nosha za mafikara ya kuendesha fikra ulizozizoea kwa mapelekeo ya uwezo na mazoea yake. Kuna upande mwingine wa mambo utaokubidi wewe kurudi kuwa kama mtoto mdogo na kukana unachofikiri unajua... Naam hata mafikara, usadikifu na imani isiyochujwa ili kuwa safi kuelekea kwenye hakika na kweli ya yote. Kwa kuwa kabla ya hapo, maombi yote kwa miujiza ya maisha ni kimvuli cha ujinga, laana ya tabu na kifungo cha hiyari katika uwanda wa kiza.
Kuelekea miujiza kamili na kuachana na jicho la mwili lenye kutenda kwa mafikara ya makusudio ya miili kwa neema isiyobayana kwake. Kufanya macho mawili kuwa moja kunaweza kukuingiza katika utambuzi wa kweli kuu kupita tafsiri za uzima wa maumbo kwa jinsi na kadri udhaniavyo... Kuyashinda macho ya mwili hadi kuelekea moja unakuwa katika 2/3 ya mpango mzima...
Itoshe kwa leo
Nakubaliana sana na wewe mkuu. Kwa mfano kwenye sound system kadiri waya wa kutoka kwenye amplifire kwenda kwenye speaker unavyokuwa mrefu ndivyo na sauti inavyochelewa kufika. hebu fikiria kama ubongo ungekuwa miguuni na macho kichwani ingekuwa ukimuita mtu anaitika utadhani unavyoongea kwa simu na mtu aliyeko marekani lazima usubiri sekunde mbili ndio aitike.Ni Kweli kua viubme hutofautiana ila pia twahitaji connection kati ya jicho na ubongo kwa ku-process hiyo information. The shorter that connection the better.
Mkuu JONGOO hana macho:
Ndio maana ukimgusa tu! Huwa anajificha, hivyo ndio kusema anaongozwa na bodysense.
How does evolution reason that way...? Halafu kila kiumbe kina physiological make up yake ya kutengeneza macho, chemicals zake za kwenye brain (sijui kama Crabs na wenyewe wana seratonin na dopamine na vinginevyo).
si ni wa jina mwenzioHuyo Nyani kanichekesha na hata sijui kwa nini nimecheka!
Jongoo hana macho mkuuJongoo wanayo macho...