Kwanini viongozi wengi toka Mara ni waadilifu hawapo kazini?

Kokolo

JF-Expert Member
Mar 20, 2008
1,768
2,767
Mwl Nyerere vs - Mwinyi/Mkapa/Kikwete
J. Warioba vs Msuya/Lowasa/
Prof. Sospeter (Nishati na madini) vs Karamagi/Ngereja
Maswi Katibu (Nishati na Madini) vs Jairo etc
the list goes on
 
Bangi na gongo zinawafanya wawe wazalendo, shime shime serikali tuhalalishie matumizi ya gongo na bangi.
Tuna stress za waume zetu, stress za mafisadi na stress za chama tawala
 
Bangi na gongo zinawafanya wawe wazalendo, shime shime serikali tuhalalishie matumizi ya gongo na bangi.
Tuna stress za waume zetu, stress za mafisadi na stress za chama tawala

hata Nimrod Mkono ni mwadilifu au huyu sio kutoka Mara?
 
Mwl Nyerere vs - Mwinyi/Mkapa/Kikwete
J. Warioba vs Msuya/Lowasa/
Prof. Sospeter (Nishati na madini) vs Karamagi/Ngereja
Maswi Katibu (Nishati na Madini) vs Jairo etc
the list goes on

vp jaji mkuu Fredrick Werema ana uadilifu gani nipe japo moja!
 
Kusema kweli mi nawakubali sn watu wa mbeya kwa uadilifu uliotukuka.
 
hata Nimrod Mkono ni mwadilifu au huyu sio kutoka Mara?
unamjua Nimrod Mkono au umamsikia na kumsifia wewe subiri sakata la Tanesco lifumuke vizuri ndani ya wiki hili utamjua alivyokuwa wakili wa kuitetea mafisadi atakapokuwemo kwenye list ya mabilioni 93 ya kuwalipa Dowans
 
Zanzibaris are believed to be the least corrupt people in Tanzania. Sijawahi kusikia mzanzibari katuhumiwa kwa rushwa.
 
wazazi wa mara wanafundisha watoto wao uadilifu wazazi wa mikoa mingine wanafundisha watoto wao magumashi.
 
Mara inaweza kujivunia viongozi wengi waadilifu lakini sidhani kama ni issue ya kuweka jamvini. Swala si Mkoa wao bali malezi ya baadhi ya wazazi wao na principles binafsi. Inawezekana hata Mh. Jaji alikuwa muadilifu kipindi fulani lakini kwa sasa siamini kama ile mipasho yote anayotetea Bungeni ni ya kiadilifu.
 
Back
Top Bottom