Kwanini viongozi wa cuf wanaogopa kujibu hoja ndani ya jamii forum?

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Nimeona jinsi julius mtatiro akiwasilisha mada hapo hapo anatimua mbio hangoji kujibu hoja na mambo ambayo wanajf wanakuwa na shaka nayo
 
Hapakuwa na hoja ya msingi ya kujibu, bali matusi na kejeli za chadema!
 
Nimeona jinsi julius mtatiro akiwasilisha mada hapo hapo anatimua mbio hangoji kujibu hoja na mambo ambayo wanajf wanakuwa na shaka nayo

kwa kuwa jf sio mahali pa kujibia masuala yanayokihusu chama chao
 
kazi kweli kweli kwani majibu niliyoyapata ni zaidi ya nilivyofikiri yatakuja
 
Back
Top Bottom