Kwanini viongozi wa CCM wanapenda kutishia kukimbilia CHADEMA?

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Hili tunaambiwa lilitishiwa kufanywa na JK kama asingepitishwa na CCM kugombea urais 2005, likaja kurudiwa tena na samuel sitta baada ya kukabiliwa na kitisho cha kung'olewa kwenye uspika kabla ya 2010 na sasa inaelezwa Lowassa pia anatumia kitisho hicho hicho.

Pia baadhi ya viongozi wa UVCCM nao wameungana na wakubwa zao hao kutishia hilo! Je CHADEMA ndio kichaka cha kujifichia watu wa CCM??

Kama sio, je kuna siri gani kati ya vyama hivi viwili ambayo wananchi tunafichwa tusiijue?
 
Hoja makini sana, nadhani tunapaswa kuwashurutisha CHADEMA kutoa kauli juu ya haya mambo
ya viongozi wa ccm kutishia kwenda uko sababu nimeona hapa hasa siku mbili hizi kitengo
cha mawasiliano kiko very active kutoa msimamo wa chama kwenye issu tofauti tofauti.

watueleze msimamo wao mapema, sababu hii inaleta picha kwamba hivyi vyama viwili vinafanana
sana na mtu anaweza akatoka CHADEMA akaenda CCM akafit au akatoka CCM akaenda CHADEMA
akafit pia.

Siamini katika dhana hii hata kidogo
 
CCM wanaboa sana, wanashindwa kusema kuwa wataenda CUF au TLP kwa sababu hivyo vyama ni jumuia za CCM. CUF ni mke wa CCM na TLP ni hausboy wa ccm

Kaka ungekuwa bado uko huku British Kingdom ningekutumia kaisiki na senene. Today You have made another point.
 
Cdm ndicho chama pekee cha upinzani ambacho kina msimamo wa kweli, ambacho ccm wanakiogopa sana, hivo magamba wanaona wakitishia kwenda CDM, ccm wanashtuka maana wanajua siri zao za utapeli zitabumburuka!
Hawawezi kutishia kwenda CUFna TLP maana wanajua ni wachumba!! UDP na the like sio tishio kwa magamba maana ki-sera havijakomaa!!
Pia kama ulivouliza "wanatishia" tu maana CDM ni full vichwa sidhani kama kuna sehemu ya kuwaweka hao magamba!! "wanatisha tu" hata wao wanajua CDM no chance!!
 
Huna maana wewe mpuuzi yaani umeuliza umepewa majibu unazidi kukokamaa kwa kubisha sasa uliuliza nini kama ulikuwa na jibu ? Chadema ni chama dume hata CCM mnajua hilo .Yaani pipoz Pawaa

Nilitaka kujua chadema ni nini maana ulitaja cuf na nccr wakati mimi niliuliza chadema!nashukuru sasa umejibu kwamba chadema ni chama dume tu lakini hakina ndoa yeyote!ila punguza jazba kwenye mijadala!huo ni uoga
 
Vidume vya Haja sorry vya Hoja ndio vinapatikana huko ndio maana hata PM alisema anakosa usungizi akiwakumbuka hawa jamaa! Yaani anaisoma CDM kumoyo!!!!
 
CCM wanaboa sana, wanashindwa kusema kuwa wataenda CUF au TLP kwa sababu hivyo vyama ni jumuia za CCM. CUF ni mke wa CCM na TLP ni hausboy wa ccm

Hah ha ha ha ha ha hah, umenichekesha sana, kwa maana hiyo mzee Augustino Mrema ni houseboy.
 
Hoja makini sana, nadhani tunapaswa kuwashurutisha CHADEMA kutoa kauli juu ya haya mambo
ya viongozi wa ccm kutishia kwenda uko sababu nimeona hapa hasa siku mbili hizi kitengo
cha mawasiliano kiko very active kutoa msimamo wa chama kwenye issu tofauti tofauti.

watueleze msimamo wao mapema, sababu hii inaleta picha kwamba hivyi vyama viwili vinafanana
sana na mtu anaweza akatoka CHADEMA akaenda CCM akafit au akatoka CCM akaenda CHADEMA
akafit pia.

Siamini katika dhana hii hata kidogo

Ngoja niulize hii,chadema mko tayari kumpokea lowassa baada ya kusema "ukweli" wa richmond?
 
sio tu wanatishia kwenda CHADEMA na wanatanguliza pesa huko CHADEMA
mwaka 2005 mtandao wa JK ulitanguliza CHADEMA bilioni TATU za maandalizi
lakini humu kuna wana CHADEMA wakisikia hivyo wanakasirika na kupinga
na hata huyo Lowassa asingeitaja CHADEMA hivi hivi bila kuwa na mawasiliano na watu huko CHADEMA...

halafu wanadanganya watu kuwa wanapinga ufisadi...

tazama hoja ya kuongeza posho za wabunge.walivyoiunga mkono..
kumbuka viti maalumu vilivyosababisha baraza la wanawake wa CHADEMA lisambaratike
na mwenyekiti wake akaenda NCCR..
na mambo meengi tu....
 
Hili tunaambiwa lilitishiwa kufanywa na JK kama asingepitishwa na CCM kugombea urais 2005, likaja kurudiwa tena na samuel sitta baada ya kukabiliwa na kitisho cha kung'olewa kwenye uspika kabla ya 2010 na sasa inaelezwa Lowassa pia anatumia kitisho hicho hicho.

Pia baadhi ya viongozi wa UVCCM nao wameungana na wakubwa zao hao kutishia hilo! Je CHADEMA ndio kichaka cha kujifichia watu wa CCM??

Kama sio, je kuna siri gani kati ya vyama hivi viwili ambayo wananchi tunafichwa tusiijue?

Majibu yote hapa chini ni sahihi - chagua ulipendalo:
  1. Mkono mtupu haulambwi - (CDM ndicho chama chenye watu hivyo ukitaka ushindi ...)
  2. Penye mzoga ndipo wakusanyikapo tai - (kama juu)
  3. Chema chajiuza, ... - (CDM ni chama chema, kina mvuto)
Ngoja niulize hii,chadema mko tayari kumpokea lowassa baada ya kusema "ukweli" wa richmond?

Hii ni hoja mpya! Hata hivyo swali linakuwa - Je CDM wako tayari kumsafisha Lowasa? Jibu, ajisafishe kwanza. Kama hakuhusika na Richmond, awaambie wananchi kwa uwazi Richmond ni nani. Asisemee huko uani (kwenye vikao vya ndani vya magama). Nani ajuaye kwamba anazuga tu, si alishasema kuwa yeye na JK hawakukutana barabarani? Je, aliyoyasema huku NEC sio mbinu yao ya kusafishana (yeye na JK) halafu warithishane urais?
 
sio tu wanatishia kwenda CHADEMA na wanatanguliza pesa huko CHADEMA
mwaka 2005 mtandao wa JK ulitanguliza CHADEMA bilioni TATU za maandalizi
lakini humu kuna wana CHADEMA wakisikia hivyo wanakasirika na kupinga
na hata huyo Lowassa asingeitaja CHADEMA hivi hivi bila kuwa na mawasiliano na watu huko CHADEMA...

halafu wanadanganya watu kuwa wanapinga ufisadi...

tazama hoja ya kuongeza posho za wabunge.walivyoiunga mkono..
kumbuka viti maalumu vilivyosababisha baraza la wanawake wa CHADEMA lisambaratike
na mwenyekiti wake akaenda NCCR..
na mambo meengi tu....

Inauma hii mkuu..CDM wengi hawataki kusikia hili, japo lipo, lilikuwa na halitaisha mpaka viongozi wote waliosaliti wananchi kwa kujipambanua wao wapinga ufisadi waondoke!

Slaa ana bahati hakuwemo kwenye top posts....ila Mbowe na wenzake wana mengi ya kujibu kuhusiana na uhusiano wao na JK na EL..usanii wao umepitiliza viwango vyote vya TBS ya ulaghai na uroho wa kulisha matumbo yao.

Wengi huwa hawatuelewi....taratibu mambo yanazidi kuwa wazi kabisa nashukuru jana Kibanda kasema bila kuuma maneno..CDM iko kimya.....kesho utasikia Mbowe na EL huwa wanapata lunch pamoja Hazina!! God forbid

CDM ni wasanii wengine bora ya Mrema ambaye ni muwazi
 
Back
Top Bottom