Kwanini uzinzi ni dhambi? Arggghh!

Nduguyangu, bujibuji. Swali lihili lina madapana mno kuielezea ila kiufupitu nikwamba.kama umeshajua kua uzinzi nidhambii.basi nausishindwe,kujua kwamba alietoa onyohilo ni Mugu. yule alietuumba sote.unavyovina nausivyo viona kwa u wezowake. Na akapiga marufuku kujamiiana,bila idhiniyake yaani ndoa. Nawala simm nawewe amayule mwenyehaki ya kumkataza mwingine, ilisha pigwamarufuku tangia tanguna tangu. Umenisoma ndg.yangu.

Muulize Mungu, au mpelekea malalamiko yako kama unaamini.
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!

BUJIBUJI!.. Kulala na mwanamke pasipo taratibu zinazokubalika ni dhambi bwanaaa.....! Huyo mwanamke unayelelenaye umemwumba mwenyewe? Binti yako ambaye hajaolewa, au tuseme hana mtu, akiwa analala ovyo ovyo na wanaume mitaani eti kwa sababu hana mwenyewe, wewe kama mzazi utapenda au utafurahia? Kutokupenda kwako au kutofurahia kitendo afanyacho binti yako, ndiyo dhambi yenyewe kwa huyo mume anayelala naye na pia kwa binti mwenyewe anayelala na huyo mume. Dhambi yao ni kwasababu wanakuudhi wewe kama mzazi pamoja na jamii inayowazunguka pia. Mume pia dhambi yake inakuwa ni kuwadhalilisha wazazi wake na jamii inayomzunguka kwa sababu anafanya hayo kinyume na taratibu zinazokubalika na jamii hiyo.

Hali kama hiyo, kwa sababu unawaudhi wazazi na jamii kwa ujumla mbele za Mungu pia ni dhambi.

Nakushauri kama unataka kufanya uchafu huo, iwapo unaweza umba mwanamke wa kwako mwenyewe kisha fanya naye huo uchafu, hapo nakuhakikishia utakuwa huna dhambi kabisa, kwa sababu utakuwa unafanya tendo hilo kwa mtu uliyemwumba mwenyewe, huna wa kumwudhi wala kumhuzunisha.

• Thanks
Reactions: SMU
Kulala na mwanamke pasipo taratibu zinazokubalika ni dhambi bwanaaa.....!
mkuu hebu tuambie taratibu za kulala na mwanamke, wengine hatujuiHuyo mwanamke unayelelenaye umemwumba mwenyewe?
Binti yako ambaye hajaolewa, au tuseme hana mtu, akiwa analala ovyo ovyo na wanaume mitaani eti kwa sababu hana mwenyewe, wewe kama mzazi utapenda au utafurahia?
i dont care as long as amepita miaka 18 na ni mtu mzima. ila anaweza kuwa miaka 18 lakini ni mwanafunzi, hapo nitamshauri
Mume pia dhambi yake inakuwa ni kuwadhalilisha wazazi wake na jamii inayomzunguka kwa sababu anafanya hayo kinyume na taratibu zinazokubalika na jamii hiyo.
kwani hilo bomba ninalilaza kwa mtaro wa jamii au ni kwa mtaro wa niliyekubaliana nae. kama kuna maelewano kati ya wawili na wanaridhia kufanya hivyo tatizo liko wapi? itakua dha,bi tu kama ni kubaka

Nakushauri kama unataka kufanya uchafu huo, iwapo unaweza umba mwanamke wa kwako mwenyewe kisha fanya naye huo uchafu, hapo nakuhakikishia utakuwa huna dhambi kabisa, kwa sababu utakuwa unafanya tendo hilo kwa mtu uliyemwumba mwenyewe, huna wa kumwudhi wala kumhuzunisha
wewe umekomaa kweli? au we ndo semenya wa pili nini? uchafu ndo nini tena?? wacha hizo beste, ingekua uchafu nani unadhani angeliwakimbiza wadada.

Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!

Kitabu Cha Zaburi
Sura ya 1:[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]
1 Heri mtu yule ambaye haendi
katika shauri la watu waovu,
Wala hafuati njia ya wenye dhambi
au kukaa katika baraza la wenye
mizaha.
[/FONT]
[/FONT]2
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Lakini huifurahia sheria ya BWANA,
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]nayo huitafakari mchana na usiku.
[/FONT]
[/FONT]3
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mtu huyo ni kama mti uliopandwa kando ya
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]vijito vya maji,
ambao huzaa matunda yake kwa majira na
majani yake hayanyauki.
Kila afanyalo hufanikiwa.
[/FONT]
[/FONT]

Katika Mithali 6:32 Biblia inasema “Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake”

1 Corinthians 6: 9 Au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi Utawala wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti,

10 wevi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyang`anyi, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu.

11 Baadhi yenu mlikuwa hivyo; lakini sasa mmeoshwa, mkafanywa watakatifu, na kupatanishwa na Mungu kwa jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu wetu.

Waongezee na hii: Ufunuo wa Yohana 21:8
"[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]8[/FONT][/FONT]Lakini waoga, wasioamini, wachafu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, pamoja na waongo wote, mahali pao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.’’

BUJIBUJI!.. Kulala na mwanamke pasipo taratibu zinazokubalika ni dhambi bwanaaa.....! Huyo mwanamke unayelelenaye umemwumba mwenyewe? Binti yako ambaye hajaolewa, au tuseme hana mtu, akiwa analala ovyo ovyo na wanaume mitaani eti kwa sababu hana mwenyewe, wewe kama mzazi utapenda au utafurahia? Kutokupenda kwako au kutofurahia kitendo afanyacho binti yako, ndiyo dhambi yenyewe kwa huyo mume anayelala naye na pia kwa binti mwenyewe anayelala na huyo mume. Dhambi yao ni kwasababu wanakuudhi wewe kama mzazi pamoja na jamii inayowazunguka pia. Mume pia dhambi yake inakuwa ni kuwadhalilisha wazazi wake na jamii inayomzunguka kwa sababu anafanya hayo kinyume na taratibu zinazokubalika na jamii hiyo.

Hali kama hiyo, kwa sababu unawaudhi wazazi na jamii kwa ujumla mbele za Mungu pia ni dhambi.

Nakushauri kama unataka kufanya uchafu huo, iwapo unaweza umba mwanamke wa kwako mwenyewe kisha fanya naye huo uchafu, hapo nakuhakikishia utakuwa huna dhambi kabisa, kwa sababu utakuwa unafanya tendo hilo kwa mtu uliyemwumba mwenyewe, huna wa kumwudhi wala kumhuzunisha.
Kabisa! Naona ume 'derive from the first principles'. Big up!

Tuchukulie mtazamo ulio usema wewe wa kukubalika ktk jamii inayohusika. Talking about Tz society tuna imani tofauti hivyo misimamo na mitazamo tofauti, hii haina shida lakini kama watanzania tunaserikali inayotuunganisha wote katika matendo yake likiwemo la kijana aliye timamu mwenye miaka 18+ kuwa na maamuzi yake na hiizi dini zote zinatuambia tuheshimu mamulaka za kiutawala na sheria zake. Tuambiane ukweli hapa sisi waumini wa hizi imani hatushiriki moja kwa moja na kile kinachoonekana kuwa sahihi kwa serikali ikiwemo ndoa za serikali, kuishi pamoja kama wameridhiana kama hawavunji sheria za nchi(sio za dini). Kwa mtazamo wangu kama serikali haina dini ni ya kipagani na wananchi wanaotii na kutekeleza amri zake ni wa pagani pia kwa sababu inawatumikia raia wake. Tz uasherati may be not a sin labda huko Vatican na Makha( religious states)

Back
Top Bottom