Kwanini uteuzi wa chief tanroad umechelewa?

Mr King 11 umekurupuka...bila kuzunguka naona personal interest kwenye wazo lako...tujenge utamaduni wa kufuatilia mambo kabla hatujaonesha weupe wetu wa fikra!
 
hatuwezi kusubiri huku taifa letu likipoteza pesa nyingi kwenye mikataba ya wakandarasi huku rais hakiwa kimya katika kufanya mahamuzi
 
Back
Top Bottom