Kwanini UMNYANYASE mkeo kwa sababu Hajakwenda Shule - WHY???

Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,921
6,007
Kwaniini wasomi wengi wanaume particularly Tanzania are too boast-ful kwa wake zao ambao hawakubahatika kufuta ujinga??
Why too braggy about your Masters/Ph.D. e.t.c. ? Na ikumbukwe kuwa ni wao wenyewe (wanaume) waliowatongoza na hatimaye
kufunga ndoa bila kulazimishwa! Baada ya muda wanawake hawa uonekana mbumbumbu, maimuna si lolote si chochote ila raw-materials
tu kwa wanaume zao, why?
Hata gwiji la kufikiri sana kama Albert Einstein [E=Mc[SUP]2[/SUP]] hadi mauti yalipomkuta, bado tu alijiona falla tu asiyejua chochote! Kwanini
uonyeshe academic arrogance kwa mkeo; kama ukutaka kuoa maimuna si ungeamuaga zamani hivyo??? Unabaki kulalamika tuu,
ooh :" ningejua ningeli............"

Mwana-JF naomba uzoefu wako ktk suala hili.
 
Na mwakamke akikuzidi elimu na pesa anakunyanyasa vilevile tena wao ndo mara nyingi zaidi kwenye kumi 9 wanawapelekapeleka waume zao kisa kielimu chake kidogo plus pesa then ngoma doroo hyoo
 
labda kama umempata zoba,kuna wanawake wengine shule hawajaenda na kuwanyanyasa huwanyanyasi.....kama mimi lol
 
Kweli hili ni tatizo,na hili nadhani linasababishwa na Wanaume ambao hawajiamini,na wale ambao wanapenda kuishi maisha ya kifalme au kutukuzwa.
Na hata Background ya mtu nayo inachangia. Kama alibahatika kukulia familia ambayo Mwanamke anaonekana hana thamani mf. Mama yake au Bibi lazima naye ataendeleza hayo anayoona.
Ila sasa wanaume tunapaswa kubadilika. Mke sio adui ila ni rafiki.
 
minaona wanawake ambao hawajaenda shule au wameishia madarasa ya chini alafu kama anajielewa huwa wako bomba sana ila wenye hata degree moja huwa wanamambo ya ajabu sana yani ndani ya nyumba hata siku 1 hawajishushagi hata kidogo na ndio maana hata wengi wao huwa hawaolewag hasa hawa wasomi. Kwa hyo wanzandiki wakubwa na wanyanyasaji ni wanawake waliopata angalau dgre 1
 
labda kama umempata zoba,kuna wanawake wengine shule hawajaenda na kuwanyanyasa huwanyanyasi.....kama mimi lol

unazungumziaje mwanamke mwenye pesa ama msomi kuliko mumewe kumnyasinyasi mumewe? Nyie mko na tabia hii yaani mpaka unaogopa kuoa wasomi wakati wingine agrrrrrr!!!
 
wewe bwana hiyo masters na phd prepares u for ur porfessional career ...it does little in preparing you for marriage/family life.
inakuwa assumed kuwa kwa sababu umepata masters na phd basi analytical skills zako zimepigwa msasa ila maisha yana kila mfano ya watu waliosoma wakifanya maamuzi mabaya......sasa hii mijamaa inakuwa imeshindwa kuselect the right partner.
ukweli ni kwamba kama wewe msomi ukichukuwa ambaye elimu iekaa kushot chances are mnaitazamo tofauti kuhusu maisha...ndio hapo mnapoanza kuboana na mwishio kuanza kumuona mke ambaye elimi chini hafai.
 
Kwa hyo wanzandiki wakubwa na wanyanyasaji ni wanawake waliopata angalau dgre 1

Tatizo lenu nyie mwanamke akishachapa buku, basi mshamuwekea doubt! Kwakuwa ameelimika na hataki kunyanyaswa, inakuwa tabu kiasi kwamba akiuliza hata kitu kidogo tu, mnakimbilia ubeijing badala ya kutoa hoja/kumuelewesha.......mmechemsha!!! Wafateni hao hao mliozoea wakiuliza swali tu, mnawapa kisago! Btw, unyanyasaji ni tabia binafsi!
 
unazungumziaje mwanamke mwenye pesa ama msomi kuliko mumewe kumnyasinyasi mumewe? Nyie mko na tabia hii yaani mpaka unaogopa kuoa wasomi wakati wingine agrrrrrr!!!

kwa hiyo kuogopa kuoa wasomi ndo guarantee ya kuwanyanyasa wanawake ambao hawajasoma??
 
Back
Top Bottom