Kwanini ukudai haki yako unaambiwa wewe ni Chadema!?

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
Jamani, siku hizi kama wewe ni mfanyakazi au hata mwananchi wa kawaida kila unapojaribu kuhoji kitu hasa serikali au kwenye mashirika ya umma unaambiwa wewe ni Chadema.

Hivi hawa watu waliopo serikalini wanataka watu/wananchi wakae tu kimya? Wasidai hata haki zao za msingi?

Jana kuna Mbunge mmoja wa CCM alipotutembelea kama wapiga kura wake, watu walimuuliza sana maswali juu ya ahadi alizotoa wakati wa kampeni, baada ya kujibu hoja, yeye akawaka, eti hao wanaoulizauliza maswali ni watu wa Chadema, hivyo hawezi kuwajibu kwani yeye anatekeleza ilani ya CCM! Haki ipo wapi hapo??

Je wana-CCM hawana utamaduni wa kuwauliza maswali viongozi wao?

Nawakilisha!
Bored, help.
 
Du mbunge gani huyoo?maana hata mgomo wa madereva jana,taarifa za kiintelejensia zinasema umeshinikizwa na Cdm!
 
Jamani, siku hizi kama wewe ni mfanyakazi au hata mwananchi wa kawaida kila unapojaribu kuhoji kitu hasa serikali au kwenye mashirika ya umma unaambiwa wewe ni Chadema! Hivi hawa watu waliopo serikalini wanataka watu/wananchi wakae tu kimya? Wasidai hata haki zao za msingi? Jana kuna Mbunge mmoja wa CCM alipotutembelea kama wapiga kura wake, watu walimuuliza sana maswali juu ya ahadi alizotoa wakati wa kampeni, baada ya kujibu hoja, yeye akawaka, eti hao wanaoulizauliza maswali ni watu wa Chadema, hivyo hawezi kuwajibu kwani yeye anatekeleza ilani ya CCM! Haki ipo wapi hapo?? Je wana-CCM hawana utamaduni wa kuwauliza maswali viongozi wao? Nawakilisha!!!!!!!!!!!:bored::bored::bored::help::help::help:

Mbona unamficha huyu mbunge, si umtaje nasi tumjue??

CCM wanaogopa maswali maana wameahidi mambo mengi mno halafu serikali imefulia fuuuu:A S 39:
 
Jamani, siku hizi kama wewe ni mfanyakazi au hata mwananchi wa kawaida kila unapojaribu kuhoji kitu hasa serikali au kwenye mashirika ya umma unaambiwa wewe ni Chadema! Hivi hawa watu waliopo serikalini wanataka watu/wananchi wakae tu kimya? Wasidai hata haki zao za msingi? Jana kuna Mbunge mmoja wa CCM alipotutembelea kama wapiga kura wake, watu walimuuliza sana maswali juu ya ahadi alizotoa wakati wa kampeni, baada ya kujibu hoja, yeye akawaka, eti hao wanaoulizauliza maswali ni watu wa Chadema, hivyo hawezi kuwajibu kwani yeye anatekeleza ilani ya CCM! Haki ipo wapi hapo?? Je wana-CCM hawana utamaduni wa kuwauliza maswali viongozi wao? Nawakilisha!!!!!!!!!!!:bored::bored::bored::help::help::help:
Hizi ni ghiliba za CDM hamna kitu hapo
 
labda kimantiki upo sahihi, ila kushindwa kutaja jina la mbunge au jimbo lake ni dalili ya ushabiki na propaganda.
 
Sina hakika adha hii ya maisha ipo tu kwa wana Chadema!...ni imani yangu kua hata hawa waungwana wa Chama cha magamba wana wakwe,shangazi,dada kaka na wajomba ambao si wa chama chao!...waoneshe ukomavu wa fikra pale wanapoguswa pabaya badala ya kuropoka mambo yasiyo na mantiki!
 
Back
Top Bottom