Kwanini ukose uaminifu kwa mpenzi wako?

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,480
944
Kama kuna kosa ambalo siwezi kumsamehe mpenzi wangu ni USALITI", yaani nikigundua hata kama nimechelewa kujua ila hukumu yangu ni hapohapo.

NI KITUGANI KIPELEKEACHO MTU KUVUNJA UAMINIFU KWA MWENZI WAKO?
ETI "oooh! shetani alinipitia" siipendi hiyo kauli kama nini, kwanini huyo shetani akikupitia usije kwangu mbiombio uchojoe haraka nikwangue mzigo huo? hakuna siku umenipa nikakata kula, badala yake mi ndo nataka kila siku mpaka unakimbia uwanja ila bado unaenda kumpa mwingine.
ETI " oooh! utakulaje kila siku mchicha, lazima ubadili mboga". au "mchele uleule mapishi tofauti".

MI NAONA KWA WANAUME NI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA, KWAMBA YEYE NI DUME LA MBEGU AMETEMBEA NA MADEMU WENGI, HIVYO ANATEMBEA KIFUA MBELE KWA MARINGO.

JE KWA MADEMU NINI HASA MNATAFUTA UKIACHILIAMBALI SUALA LA PESA?
 
tulia kwanza, hebu vuta pumzi basi.

Unaonekana bado una hasira, pole ndio makuzi ya kimapenzi hayo.
 
Pole sana mkuuu! Ila unatakiwa umuulize amekosa nini kwako huwezi jua una kosea wapi!
 
Huenda na mwanamke anataka record kuwa naye katembea na Mr. Able.

About "Shetani kanipitia" l use to share your view until recently baada ya kuona jinsi gani shetani anafanya kazi kwenye mahusiano ya watu. Kwa kuona l mean, kusikia watu walipandwa na mapepo wakisema ni jinsi gani wamecause cheating na mifarakano kwenye ndoa.

Kifupi, shetani ni author wa matatizo yote hapa duniani. Utaniuliza role ya binadamu ni nini? Ni kumkataa shetani na fahari zake na kufuata maelekezo ya M'Mungu na kuomba msaada wake. Ukiwa na Roho wa Mungu, si kwamba vishawishi havitakuja, but Mungu will see u through!
 
Kama kuna kosa ambalo siwezi kumsamehe mpenzi wangu ni USALITI", yaani nikigundua hata kama nimechelewa kujua ila hukumu yangu ni hapohapo.

NI KITUGANI KIPELEKEACHO MTU KUVUNJA UAMINIFU KWA MWENZI WAKO?
ETI "oooh! shetani alinipitia" siipendi hiyo kauli kama nini, kwanini huyo shetani akikupitia usije kwangu mbiombio uchojoe haraka nikwangue mzigo huo? hakuna siku umenipa nikakata kula, badala yake mi ndo nataka kila siku mpaka unakimbia uwanja ila bado unaenda kumpa mwingine.
ETI " oooh! utakulaje kila siku mchicha, lazima ubadili mboga". au "mchele uleule mapishi tofauti".

MI NAONA KWA WANAUME NI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA, KWAMBA YEYE NI DUME LA MBEGU AMETEMBEA NA MADEMU WENGI, HIVYO ANATEMBEA KIFUA MBELE KWA MARINGO.

JE KWA MADEMU NINI HASA MNATAFUTA UKIACHILIAMBALI SUALA LA PESA?

"Sisi wanawake huwa tunatoka nje ya ndoa kwa ajili ya kisasi tu cha mambo mnayotufanyia nyie wanaume so siku mkitulizana nyie wanaume hamtasikia mwanamke ameenda kupigisha nje" mke wangu ndo kanijibu hivyo.
 
Yaani mnamsingizia shetani kua anahusika kwa mwanadamu kua na vimeo vya pembeni...
 
Mie wife Anajua kabisa na shamwambia sijawahi tumia bastola yangu, Siku nitakapogundua Ujinga pengine Ndo itakuwa Mara ya kwanza kuitumia.

QUOTE=MR. ABLE;4373923]Kama kuna kosa ambalo siwezi kumsamehe mpenzi wangu ni USALITI", yaani nikigundua hata kama nimechelewa kujua ila hukumu yangu ni hapohapo.

NI KITUGANI KIPELEKEACHO MTU KUVUNJA UAMINIFU KWA MWENZI WAKO?
ETI "oooh! shetani alinipitia" siipendi hiyo kauli kama nini, kwanini huyo shetani akikupitia usije kwangu mbiombio uchojoe haraka nikwangue mzigo huo? hakuna siku umenipa nikakata kula, badala yake mi ndo nataka kila siku mpaka unakimbia uwanja ila bado unaenda kumpa mwingine.
ETI " oooh! utakulaje kila siku mchicha, lazima ubadili mboga". au "mchele uleule mapishi tofauti".

MI NAONA KWA WANAUME NI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA, KWAMBA YEYE NI DUME LA MBEGU AMETEMBEA NA MADEMU WENGI, HIVYO ANATEMBEA KIFUA MBELE KWA MARINGO.

JE KWA MADEMU NINI HASA MNATAFUTA UKIACHILIAMBALI SUALA LA PESA?[/QUOTE]
 
Sio kama mademu wote vicheche mkuu ,wapo Tele waliotulia na waliotendwa na wanaume pia ,pesa s kitu mapenz ya ukweli,ndio muhimu
 
Kama kuna kosa ambalo siwezi kumsamehe mpenzi wangu ni USALITI", yaani nikigundua hata kama nimechelewa kujua ila hukumu yangu ni hapohapo.

NI KITUGANI KIPELEKEACHO MTU KUVUNJA UAMINIFU KWA MWENZI WAKO?
ETI "oooh! shetani alinipitia" siipendi hiyo kauli kama nini, kwanini huyo shetani akikupitia usije kwangu mbiombio uchojoe haraka nikwangue mzigo huo? hakuna siku umenipa nikakata kula, badala yake mi ndo nataka kila siku mpaka unakimbia uwanja ila bado unaenda kumpa mwingine.
ETI " oooh! utakulaje kila siku mchicha, lazima ubadili mboga". au "mchele uleule mapishi tofauti".

MI NAONA KWA WANAUME NI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA, KWAMBA YEYE NI DUME LA MBEGU AMETEMBEA NA MADEMU WENGI, HIVYO ANATEMBEA KIFUA MBELE KWA MARINGO.

JE KWA MADEMU NINI HASA MNATAFUTA UKIACHILIAMBALI SUALA LA PESA?

Um-mistreat, dont care kwenye intimacy, au unakuwa mbali nae kwa muda mrefu bila kufanya bidii muwe pamoja, unataka asubiri hadi kiama na maisha yenyewe haya mafupi?
 
Wengine wanataka kuvunja record ya dunia nao waingie kwenye kitabu cha 'ginesi'!
 
Tena wewe unaetoroka wajibu, jiandae kulia aisee! RIP coming soon!
"Sisi wanawake huwa tunatoka nje ya ndoa kwa ajili ya kisasi tu cha mambo mnayotufanyia nyie wanaume so siku mkitulizana nyie wanaume hamtasikia mwanamke ameenda kupigisha nje" mke wangu ndo kanijibu hivyo.
 
Uwiii! Na mkewe alivyo na kiu ya maji ya uzima! Kashweshwe! Jinsia amebadili mwenyewe ama amebadilishwa?
kasamehewa kurestishwa in peace.

Kabadilishwa jinsia, si unaona sasa hivi anaanza na 'sisis wanawake. . . '
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom