Kwanini ujiunge na CHADEMA na kuachana na CCM...

Mkuu mambo ya mods ya nini? Jikite kwenye kujibu swali ile kigoma kuwa Dubai mbona sijaona hata barabara moja ya juu ikijegwa?

Lipo kwenye mipango ya maendeleo ya serikali si Lazima lifanyike wakati wa Kikwete; Kwani Dr. Slaa aliposema atauza cement 5000/ alimaanisha kuwa akiapishwa tu cement itashuka bei? Hiyo ni mipango tu hata mh. Kikwete aliposema hakuamaanisha tu watu Kigoma wakiamka tu itakuwa kama Dubai

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Lipo kwenye mipango ya maendeleo ya serikali si Lazima lifanyike wakati wa Kikwete; Kwani Dr. Slaa aliposema atauza cement 5000/ alimaanisha kuwa akiapishwa tu cement itashuka bei? Hiyo ni mipango tu hata mh. Kikwete aliposema hakuamaanisha tu watu Kigoma wakiamka tu itakuwa kama Dubai

Chama
Gongo la mboto DSM
Miaka 50 mingine?
 
Lipo kwenye mipango ya maendeleo ya serikali si Lazima lifanyike wakati wa Kikwete; Kwani Dr. Slaa aliposema atauza cement 5000/ alimaanisha kuwa akiapishwa tu cement itashuka bei? Hiyo ni mipango tu hata mh. Kikwete aliposema hakuamaanisha tu watu Kigoma wakiamka tu itakuwa kama Dubai

Chama
Gongo la mboto DSM
Au padre aliposema ataweka train ya umeme kwenda mwanza angeiweka kwa miaka mitano !?
 
Nadhani unakurupuka au huelewi nini unachosema; kimsingi unataka serikali itumie michezo kama njia ya kurudisha umoja wetu; mimi nakuonyesha ni jinsi gani serikali inathamini michezo kama njia mojowapo ya kuleta umoja wetu; tatizo wanachadema mpo zaidi kwenye kulaumu .

Chama
Gongo la mboto DSM

Kwasababu hukumbuki na dhana yako ni kubishana, nitakukumbusha kisha nitaenda kulala.

Umeuliza mara tatu au zaidi ni kipi chema serikali iliyomadarakani imekifanya pale zambia? ukarudia na kurudia ndipo nikaja ni hilo dogo tu nikimanisha yapo mengi kimsingi lakini nikajuwa nikupe dogo hili na kwa kuwa ww ni mwelewa ungefahamu na mengine yaliyo makubwa zaidi.

Nimekupa hilo dogo tu nikakupa na sababu kwanini, umoja amani na mshikamano wa wazambia ulivyo unganishwa kupitia michezo. Kumbuka ulisema serikali hiyo haina la msingi ililofanya ndipo ukapewa jibu hilo.


Sisi hatuna tunaloweza hata uwanja uloutaja bado magumashi mengi yalifanyika kiasi kwamba mhandisi aliehusika katika ujenzi wa uwanja huo chamoto amekiona baada ya kurudi huko kwao china.


Wewe kwa ufahamu wako unaonaserikali inafanya vizuri, jiulize mzee wetu Ally H Mwinyi kwanini alituletea msemo wa kichwa cha mwendawazimu. Wazimu alotuapiza mzee mwinyi ndio huo huo unaendelea ndani ya vichwa na macho yetu kwa kutoona kushindwa kwa serikali na kugeuza utendaji mbovu wa watawala wetu na kuwasifia wanafanya vizuri na kubadilika kama vinyonga ilmradi tuwasifie.

Huwezi kupata maendeleo ya aina yoyote kama huwezi kuthubutu. Na kuhofia kuingia chama kingine madarakani kwa visingizo vya hivi na vile ni kubakia kule kule ujimani sasa usitake niamin ww pia pamoja na maneno mengi bado unaamini mfumo huo.

- Afya mbovu hakuna mfano, kule kwetu tabora vijijin (Uyuwi) ni aibu wanatembea maili 9 kama 18km kufuata matibabu tena ya hovyo yasio na vipo. Madaktari ndo hao hawathaminiwi nk. ww unafaidi vijisenti kidogo ulivyonavyo waonee huruma wanzania wenzio wanaotaabika huko vijijin badala ya kupiga debe nduzo watanzania wanataabika.

-Elimu halikadharika watoto kumaliza darasa la saba na kufauru kwa significant percent wakiwa hawajui kusoma wala kuandika ni aibu kubwa. walimu ndo hao wanatakiwa kuishi kwa tsh 300,000/= kwa mwezi, posho ya waheshimiwa wetu kwa siku moja na akili zetu tukitegemea tutapiga hatua na kuendelea kwa taifa lenye msingi mbovu wa elimu namna hii wapi na wapi? Utafundishaji ww na familia yako mna njaa jana hamjala, kodi ya nyumba, umeme, usafiri, payee, nk zote zinatoka hapo kwenye 300,000 fanya mahesabu. halafu unasimama eti ccm ni bora, raisi ni bora are we serious?

-Serikali ilofilisi mashirika ya umma akina mkapa wanajigawia wanavotaka na watoto wao bila hatuwa yoyote?.

Makamba - January

Kigoma - Malima

Mwinyi - Huseni

Kawawa - vita

Mnauye - Nape

Huu ni mfano tu wa wa utawala wa kifalume achilia mbali mashemeji kama mwema, mkwe zakia megji na wengi ambao nikiendelea kuwataja nitajaza A4. Dhana yangu hapa ni kwamba je watoto wetu wanaohanikizwa kusoma shule za akina st Kayumba watabahatikaje kuingia madarakani kama hao waheshimewa hapo juu? shule hazina walimu, hazina vifaa vya kufundishia, waalimu kulipwa mishahara duni tubakie tukiimba ccm, ccm ..tunaendeleeeaa! is crazy it can't be at all.

Tunaimba ufisadi kucha kuchwa, ningeiunga mkono serikali kama ingepambana na akina mkapa wanaiba na kugawana mali zetu waziwazi lakini hakuna lolote nijivunie nini? Mimi sio limbukeni kuwatetea wezi wasio na huruma kwa watanzania wengi waliomaskini. Nitapigia debe chama kingine kikiingia madarakani kikashindwa nitahama nakupigia kingine lengo ni kupata serikali ya watanzania inayotawala kwa mujibu maendeleo na heshima kwa matakwa ya watanzia wote bila uchochezi, kubaguana wala ufisadi.

Chenge - anatamba, fedha za rushwa rada wamepokea kushughulika na wezi hawataki do we need this regime any more?

Mramba, yona na Mgonja - majembe ya kale hayahalibiki makali this needs incompetent brain to keep on carrying such a government

Rostam - anafanya atakavyo na utata wake huko tanesco na makampuni tata tukiteseka na migao, bado naitaka ccm?

EPA, Kagoda, Dep green IPTL nk nani wa maana zaidi ya kuwaonea akinamaranda aloshughulikiwa? bado ccm?


Wewe nakundi lako ni kikundi kisichokuwa na weledi wa uelewa na kazi yenu kupiga debe kwa nguvu hatakama ni tupu ndani yake.

Kashifa za afya duni na elimu ni sababu tosha ya kuiweka pembeni serikali na kuwapa wengine tuwapime tuone kama kunamabadiliko. Kama nao watashindwa tunachagua mwingine nayeye akishindwa tutaendelea mpaka tuweze kumpata aliebora kutuongoza kwa maana ya keki ya inchi yetu inawafikia watanzania wote bila kujali wanatoka wapi na wanimani gani. Lakini kwa watu kama wewe wenye akili kama Pi = 22/7 ni kukariri, kubishana kutukana, na kukashifu mkiota usiku na mchana ccm kubakia madarakani milele ndo maana ya Pi is a constant that never change.

Naenda kulala endelea na utetezi wa viongozi wanaoteketeza taifa kwa tuhuma chungu mbovu, nakwasabab huwa mnakosa hoja ndipo manakuja na dhana za hovyo hovyo, mfumo katoriki, mou, wachaga, wakabila, ukanda, padri, necta nk tutaendelea vipi kama tunatukuza na kuwatetea mafisadi waziwazi bila aibu? Kama cuf watashinda bora, kama chadema atashinda bora kama nccr atashinda vema lakini baada ya miaka 5 tunareview kwa alieshinda kama kafanya fyongo tunamtoa tunaweka mwingine lakini sio kutukaririsha ccm, ccm, ccm wakati wanatuharibia taifa na utanzania wetu waziwazi n.

Goodnight.
 
Walijaribu wakina nape ikawashinda wakarudi lumumba kukodisha mafuso sio mchezo

Wazururaji tu! okay; naenda kucheza golf baadaye pata usingizi mwanana ila usiote ndoto za mchana; Lukosi amekimbia yupo pub la wa Kenya anakula kinywaji mkiwa kwenye mikutano yenu mkumbushe awe mstaarabu asiwashe na kukimbia bila kuaga hata kama kaishiwa na hoja!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wazururaji tu! okay; naenda kucheza golf baadaye pata usingizi mwanana ila usiote ndoto za mchana; Lukosi amekimbia yupo pub la wa Kenya anakula kinywaji mkiwa kwenye mikutano yenu mkumbushe awe mstaarabu asiwashe na kukimbia bila kuaga hata kama kaishiwa na hoja!

Chama
Gongo la mboto DSM
Cheza golf kwani 2015 utapewa fekeo kuna nyasi nyingi sana Huku
 
Adolay;
Usigeuke kama machizi wengine shairi lote la nini? umeshindwa kujieleza kwa paragraph moja sasa naelewa kwa nini unajichanganya.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom