Kwanini Ujerumani iliichagua Tanganyika tu?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Wadau hili swali linaumiza sana.
Naombeni mwenye kujua,wakati waakoloni wanaligawa bara la afrika ujerumani ndiyo lilikuwa taifa kubwa na mkutano wa kugawa ulifanyika kwao na wao ndio walikuwa na sauti kubwa kuliko yeyote.
Sasa ni kwaa nini hawakuhitaji mataifa mengi na badala ya ke wakaichukua tanganyika tu?kwa nini isiwe somalia,jibout,kenya wala msumbiji?
 
Kwani majibu huyajui wakati yapo mitaani! Madini yaliwazuzua, wanasema tgnk ni the mineral richest nation!
 
ni tajiri ndio maana hata ukimwi uliletwa tgnk na nchi za kaliba hiyo kama, botsn, zam, ango, moza! Maksud ili mfe waje!
 
Tanganyika, Rwanda,Burundi,Namibia,Cameroon na Togo ilikuwa ardhi ya Mjerumani.Nani alikuambia ni Tanganyika tu ndio ilitawaliwa na Ujeruman?
 
rwanda na burundi were party of tanganyika whch formed German east africa.wakat wa utawala wa mjeruman hakukuwa na kitu kinaitwa tanganyika.
 
ni tajiri ndio maana hata ukimwi uliletwa tgnk na nchi za kaliba hiyo kama, botsn, zam, ango, moza! Maksud ili mfe waje!

kwa hiyo wanasubiri tudanje ndio waje?
mbona wametumia nia ndefu sana?si wangewanunulia ccm wote suti tu mbona wangepewa kila kitu?
 
Wadau hili swali linaumiza sana.
Naombeni mwenye kujua,wakati waakoloni wanaligawa bara la afrika ujerumani ndiyo lilikuwa taifa kubwa na mkutano wa kugawa ulifanyika kwao na wao ndio walikuwa na sauti kubwa kuliko yeyote.
Sasa ni kwaa nini hawakuhitaji mataifa mengi na badala ya ke wakaichukua tanganyika tu?kwa nini isiwe somalia,jibout,kenya wala msumbiji?
mzee hata kwa mtoto wa la saba hapo kwenye red atapinga tu!! japo histry sijui ila huwez nidanganya...
 
Back
Top Bottom