Kwanini Tz hakuna watu kama BasketMouth, Klint the drunk, Trevor Noah, Standup Comedians

Komedi ya bongo kichefuchefu,huwa namfil sana mzee majuto tu wengine kwishney
 
Weeeee Hakuna kazi kama Kuchekesha 'Kizungu'...mi labda niwe. Nshatupia. Vitu vyangu ...au Kama ulishawah kuota ndoto kwa ”KigrezaakK“« sawaaa'.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mmhh mi naona na kipaji pia kinachangia,
Comedians wengi wa Tz wanaforce game, ukiangalia futuhi, vituko show, ze comedy na origino comedy.....
Utaona wanatumia nguvu nyingi sasa kuchekesha..

TALENT KWANZA, VINGINE VINAFUATA.

mkuu sio kwamba wanafosi game,vipaji wanavyo sema hawana usimamizi wa kitaalam..........ndio maaana unakuta hii michezo wanayofanya wao ndio kila kitu,wanatunga wanadirect wanashoot wanatafuta location hadi kudizain make up ni wenyewe.....tofauti na wenzetu wanakuwa na usimamizi na mitaji mikubwa ya kuwekeza.....

ona watu kama marc regan kipara hakuwa mchekeshaji ila kakutana na mtaalam(japo wa kuungaunga)Seki kamtengeneza mpaka watu wakampenda na iyo ze komedi iliyowavutia watu inachangiwa sana na usimamizi mzuri wa Seki........nadhani umenipata point yangu mkuu.
 
Wapo kimtindo mfano Stive Nyerere ,King Majuto ,sema hii ya taarifaya habari imepewa nafasi kubwa na hao wanaotengeneza vipindi kwenye tv.

mkuu labda Steve Nyerere kidogo ila Majuto hawezi kufanya stand up komedi........kusimama mele za watu kuchekesha bila matendo mengi ni ishu........

ila Mpoki alijaribu kwenye tuzo za kili na haikuwa bahatisha ndulute ila alipangwa na akajipanga.
 
Nakuunga mkono ,wangejaribu kutafuta vipaji kama wanavyofanya Bongo star search wangegundua hilo.Hii fani ya uigizaji inatumiwa vibaya na hawa wamiliki/wanaofanya kazi kwenye hizi media zetu kwa kufanya kama ni sehemu ya kuwapachika ndugu ama jamaa zao wasio na ajira.

media hazina wajuvi wa mambo ya komedi.......zimejaa wahandishi wa makala za siasa na footbol.
 
mkuu sio kwamba wanafosi game,vipaji wanavyo sema hawana usimamizi wa kitaalam..........ndio maaana unakuta hii michezo wanayofanya wao ndio kila kitu,wanatunga wanadirect wanashoot wanatafuta location hadi kudizain make up ni wenyewe.....tofauti na wenzetu wanakuwa na usimamizi na mitaji mikubwa ya kuwekeza.....

ona watu kama marc regan kipara hakuwa mchekeshaji ila kakutana na mtaalam(japo wa kuungaunga)Seki kamtengeneza mpaka watu wakampenda na iyo ze komedi iliyowavutia watu inachangiwa sana na usimamizi mzuri wa Seki........nadhani umenipata point yangu mkuu.

Nimekusoma mkuu..
 
Shida ni elimu,Bongo tumechelewa sana kuchangamkia elimu.Stand up comedians wengi wa Kenya na Afrika Magharibi wamesoma,wengi wana degrees zao kwa hio wanakuwa more exposed.

Sasa ukirudi Bongo msanii mwenye form 6 anaonekana msomi kwa wenzake na anaona amefika kabisa.Stand up comedy inahitaji high intelligence na exposure ya hali ya juu ili uweze kusoma audience haraka haraka na kupresent issues articulately but in a funny way.

Mcheki Chris Rock,ingawa ni drop out lakini yupo very exposed...msomaji mzuri na mfuatiliaji wa issues karibu zote kiasi anaweza kuchekesha kila mtu.

Stand up comedy inataka umakini wa kuelezea vitu jambo kwa wabongo ni ngumu kwa kuwa tunashida ya kujielezea.Badala ya kuelezea kitu huwa tunaishia kusema 'kinamna...juu kwa juu...jiongeze...juzi kati...'misemo ambayo inaficha ujinga wetu wa mambo mengi.
 
Nakubaliana na wewe...
But elimu plus TALENTS ,,

Mutu anapokua talented plus educated, itamfanya aweze kuwa international comedians...
 
arifu usiwe na akili kama Eng easter manyanya.....ushafuatilia comedy za mtoni au naija?

nimezifatilia...............so unataka wabongo wachekeshe kizungu???..umuoni rafiki yako bukuku na uzungu wake????ujui kuchekesha ni mazingira pia???

tatizo sio wabongo hawawezi kuchekesha.....ishu ni uwekezaji,stand up comedy inataka uwekezaji wa hali ya juu.
kumuandaa mtu mpaka unamuona stejini anakuchekesha sio ishu ndogo,inataka matayarisho mengi.
 
watu kama nyie siongei nao mara mbili mbili.....hujui tunachokiandika arifu.....
 
Back
Top Bottom