Kwanini Tz hakuna watu kama BasketMouth, Klint the drunk, Trevor Noah, Standup Comedians

Asterisk

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
214
50
Hi All
Kwa nin tanzania tumekua na mfumo mmoja wa comedians, i.e all comedians wanatumia mfumo wa taarifa ya habari, ( Yaani kwenye comedy kunakua na mtu anatangaza taarifa ya habari theni ndo wanachekesha)

kungekuwa na comedians like basket mouth, klint the drunk na wakina trevor noah.... i.e standup comedy
kunakua na matamasha watu wanahudhuri halafu kunakua na comedian anachekesha kwa kuzungumza tuu...

RAI KWA COMEDIANS, BE CREATIVE AND EXPAND THE SCOPE
 
Asante sana kaka nashukuru umeliona hili mimi huna nakeleka sana futuhi ( comedian) wa tanzania sio wabunifu kabisa, wale Original komedi wakati wanaanza mwanzo kabisa kabla ya kujiunga EATV walikuwa wakifanya hivi sijui nini kiliwasibu! lakini pia je ni watanzania wenyewe wako tayari? Nimesikia kuna jamaa anaitwa Bukuku huwa anafanya hivi pale kwa Lady Jay Dee ( Nyumbani Lounge)! wabadilike waone jamaa wale wa Nigeria kina AY wanavyopiga pesa mbaya!
 
Mmmh standup comedy, I think we need little time for this. It needs some inteligence......and could be tricky to the comedians themselves.
 
Hi All
Kwa nin tanzania tumekua na mfumo mmoja wa comedians, i.e all comedians wanatumia mfumo wa taarifa ya habari, ( Yaani kwenye comedy kunakua na mtu anatangaza taarifa ya habari theni ndo wanachekesha)

kungekuwa na comedians like basket mouth, klint the drunk na wakina trevor noah.... i.e standup comedy
kunakua na matamasha watu wanahudhuri halafu kunakua na comedian anachekesha kwa kuzungumza tuu...

RAI KWA COMEDIANS, BE CREATIVE AND EXPAND THE SCOPE

Mawazo yako ni mazuri. Je ulishawahi kuwatafuta wasanii hawa (kama kweli uko serious) na kutoa ushauri huu? sina hakika kama hawa walengwa ni members wa JF!
 
JF ni mtandao mkubwa, habari zitawafikia tuu.
But they real need to pull up their socks, and they should real be talented coz standup comedy is not an easy task.
 
Hi All
Kwa nin tanzania tumekua na mfumo mmoja wa comedians, i.e all comedians wanatumia mfumo wa taarifa ya habari, ( Yaani kwenye comedy kunakua na mtu anatangaza taarifa ya habari theni ndo wanachekesha)

kungekuwa na comedians like basket mouth, klint the drunk na wakina trevor noah.... i.e standup comedy
kunakua na matamasha watu wanahudhuri halafu kunakua na comedian anachekesha kwa kuzungumza tuu...

RAI KWA COMEDIANS, BE CREATIVE AND EXPAND THE SCOPE

stand up comedy Seki ameshawai kuandaaa na ilifanya vizuri kiasi,na ndipo alipolipata kundi la ze komedy....

tatizo sio vipaji tatizo ni uwekezaji kwenye hii game watu bado ahwajaistukia kama ni dili...
 
Mmhh mi naona na kipaji pia kinachangia,
Comedians wengi wa Tz wanaforce game, ukiangalia futuhi, vituko show, ze comedy na origino comedy.....
Utaona wanatumia nguvu nyingi sasa kuchekesha..

TALENT KWANZA, VINGINE VINAFUATA.
 
Bukuku anafosi tu game...ana eksiposure ya ivi vitu ila talent ya kumchekesha mtu ajajaaliwa kabisa...............

nimeshaudhulia baadhi ya show zake,anatia huruma jinsi anavyolazimisha watu wacheke....

Bukuku huwa namwona Kama mzushi fulani tu hivi, hana talent ila basi tu anategemea huruma za Michuzi kumpa shavu la kumtangaza!
 
Wapo kimtindo mfano Stive Nyerere ,King Majuto ,sema hii ya taarifaya habari imepewa nafasi kubwa na hao wanaotengeneza vipindi kwenye tv.
 
Mmhh mi naona na kipaji pia kinachangia,
Comedians wengi wa Tz wanaforce game, ukiangalia futuhi, vituko show, ze comedy na origino comedy.....
Utaona wanatumia nguvu nyingi sasa kuchekesha..

TALENT KWANZA, VINGINE VINAFUATA.

Nakuunga mkono ,wangejaribu kutafuta vipaji kama wanavyofanya Bongo star search wangegundua hilo.Hii fani ya uigizaji inatumiwa vibaya na hawa wamiliki/wanaofanya kazi kwenye hizi media zetu kwa kufanya kama ni sehemu ya kuwapachika ndugu ama jamaa zao wasio na ajira.
 
Asante sana kaka nashukuru umeliona hili mimi huna nakeleka sana futuhi ( comedian) wa tanzania sio wabunifu kabisa, wale Original komedi wakati wanaanza mwanzo kabisa kabla ya kujiunga EATV walikuwa wakifanya hivi sijui nini kiliwasibu! lakini pia je ni watanzania wenyewe wako tayari? Nimesikia kuna jamaa anaitwa Bukuku huwa anafanya hivi pale kwa Lady Jay Dee ( Nyumbani Lounge)! wabadilike waone jamaa wale wa Nigeria kina AY wanavyopiga pesa mbaya!
arifu bukuku sio creative kabisa.....mfano kakopi kubamba ambayo ipo kenya kama ilivyo....hamna kitu pale ni ***** mtupu....
 
Hizo ndo sanaa za bongo, Kuigana kwingi..
wakina masanja walianza comedy kama wanatangaza taarifa ya habari, basi futuhi na wengine wakaiga....

real creativity is needed..
 
Back
Top Bottom