Kwanini tusiwataje mafisadi walio tufikisha hali hii?

KAMANDA HANGA

Senior Member
Sep 22, 2011
158
58
Ndg wana Jf!
Kutokana na serikali yetu corrupt kuendelea kuwakumbatia na kuwalinda mafisadi papa walio firisi BOT kwa kukwapua mabilion kibao, walioanzisha makampuni feki na baada ya wizi wakayakimbia, mnaonaje wanajanvi tukianzisha mkakati wa kuwataja hadharani humu jamvini wale wote tunao wajua waliwahi kumiliki makampuni hayo na baada ya wizi wakayakana ili walipo wajue kwamba watanzania wanawajua na kutambua wizi wao hata kama serikali inawalinda.
Makampuni yenyewe ni kama:-
1. Kagoda - Rostm Aziz
2. Deeep green -
3. Meremeta -
karibu wana jamvi ongeza makampuni, taasisi na wamiliki wake.
Naomba kuwasilisha.
 
Hii Orodha ni zilipendwa!
Mafisadi hai ni wale wanaotumia vibaya fedha za walipa kodi kila budget,wakwepa kodi,wanaowanyonya wakulima kwenye bei za mazao,wanaokeketa fedha za halmashauri,kulipa mishahara hewa,wanaochia madini yaporwe,nk
Kilio cha deep green ni cha Kitoto!mihela inapotea maeneo niliotaja mimi mkweche
 
Unaweza ukaleta machafuko nchini. Yapo mengi ambayo yanajilikana na mengine hadi leo yanachota mali kutoka hazina kila mwezi kiulaiiiiini kabisa.
 
Ndg wana Jf!
Kutokana na serikali yetu corrupt kuendelea kuwakumbatia na kuwalinda mafisadi papa walio firisi BOT kwa kukwapua mabilion kibao, walioanzisha makampuni feki na baada ya wizi wakayakimbia, mnaonaje wanajanvi tukianzisha mkakati wa kuwataja hadharani humu jamvini wale wote tunao wajua waliwahi kumiliki makampuni hayo na baada ya wizi wakayakana ili walipo wajue kwamba watanzania wanawajua na kutambua wizi wao hata kama serikali inawalinda.
Makampuni yenyewe ni kama:-
1. Kagoda - Rostm Aziz
2. Deeep green -
3. Meremeta -
karibu wana jamvi ongeza makampuni, taasisi na wamiliki wake.
Naomba kuwasilisha.

Nilitaraji ya kwanza ungeweka ya richmond ya lowasa
 
Unaweza ukaleta machafuko nchini. Yapo mengi ambayo yanajilikana na mengine hadi leo yanachota mali kutoka hazina kila mwezi kiulaiiiiini kabisa.

Mwakyembe alificha aliyoyajua baada ya tume yake kuleta majibu kuogopa kuleta machafuko wakaona bora wamchafue yeye na sasa anajuta
 
Itasaidia nini kuwataja? Hakuna hatua yoyote itachukuliwa as long as magamba yakiendelea kutawala. Dawa ni kwa wakereketwa wa nchi hii kuchoshwa na mambo na kuamua kuipiga chini serikali ya magamba kwa gharama yoyote hata ikibidi damu ili vizazi vijavyo vifaidi
 
Kupoteza muda kuwataja tu!!!!
Ungependekeza nini kifanyike kwa walioshindwa kuwachukulia hatua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom