Kwanini tusibadili Katiba iruhusu rais Kikwete agombee tena 2015?

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Wapendwa WanaJF,
Natoa wazo tu jamani. Hivi kwa nini Katiba yetu isibadilishwe ili angalau rais wetu kipenzi cha watanzania agombee tena ifikapo 2015. Ni pendekezo tu jamani.
 
Napiga misele nami nitarudi later, manake naona huyu jamaa ucngiz bado umemkamata. Jamaa yangu we unaelekea kona gani? Let us reserve our comments
 
...wazo zuri sana! ila nahisi cobra wewe,bwabwa! je, wajua kwamba hata wanyama wana mabwabwa? then i suggest ujiite queencobra au auntcobra.
 
Wapendwa WanaJF,
Natoa wazo tu jamani. Hivi kwa nini Katiba yetu isibadilishwe ili angalau rais wetu kipenzi cha watanzania agombee tena ifikapo 2015. Ni pendekezo tu jamani.

Kingcobra una sumu kali kama ya anaconda, andaa draft ya hicho kipengele uwahi bungeni dodoma kesho mapema, wingi wa wabunge wa ccm utasaidia kufanikisha, ila ni kweli uliwacliana na RA kabla hujapenyeza hii thread hapa JF? Aslam aleykum sheikh, tuko pamoja ila katika hili majuto ni mjukuu!
 
Du matusi hayajaanza na mimi ntarudi sasa hivi kwanza pateni hiyo hata watoto ilcha ya UVCCM Wanamkubali

 

Attachments

  • mwanaccm mpya.jpg
    mwanaccm mpya.jpg
    16.7 KB · Views: 147
Kingcobra,
Unapendekza tuingize kipengele cha rais wa maisha? au vipindi vingapi vya urais ndio ukomo?
Jee Mkapa, Mwinyi wanaweza na wao kurudia tena urais au tuibadilishe kwa ajili ya mtu mmoja tu?
Unaonaje si tufute tu urais tueke ufalme au usultani?

Kweli jamaa walisema tutakula nyasi tukawaona wanatania,, sasa tunayaona... na huyu nae anataka tuke dongo, mchanga au..??

Sijakuelewa mkuu.... hebu tufafanulie hapa...huyu rais kipenzi cha watanzania ndiye yupi?
Maana yake nimesikia kuna kila aina ya marais Tanzania, rais wa tume, rais wa watanzania, Rais kipenzi, rais mchakachuo, rais........!!!??
 
mimi ningeshangilia sana kama kikwete akiongezewa muda ili chadema washinde kama wamesukuma mlevi
 
KWELI BWANA NDUGU YETU KIPENZI RAISI ABADILI KATIBA NA AJIONGEZEE MUDA MPAKA 2020 ANAWEZA NA INGEPENDEZA ZAIDI KAMA ANGEONGEZA KIPENGELE KWENYE KATIBA KUWA AKIMALIZA YEYE ATAINGIA MTOTO WAKE CHAGUO LABABA RIZIWANI

yap itapendeza WAZO ZURI NAUNGA MKONO;;
 
KWANZA BADO KIJANA HODARI,
MCHANGAMFU
HAANGUKI JUKWAANI TENA
HAPENDI MADEMU
HAOGOPI MARAFIKI ZAKE KAMA ROSTAN NA WENGINE
ATALIPA DOWANS ILI KULINDA HADHI YA NCHI KIMATAIFA
HANA MARAFIKI WENGI SERIKALINI
HAMPENDI TENA MAKAMBA
AMEACHA KUCHEZA KIDUKU
HANA TENA MAJUNGU
AMESHASAFIRI SANA AMECHOKA HASAFIRI TENA
AMESHAUZA MADINI YOTE SASA ANALETA WAWEKEZAJI WAJE KUNUNUA UDONGO

anafaa jamani wacheni atawale maisha
 
"Kwa dhati kabisa napinga ukomo wa uongozi eti kuwa miaka 10. Kwa kiongozi kama JK ambaye ni hazina kubwa ya Taifa, nadhani bado anastahili kupewa nafasi nyingine ya kugombea. After all, bado kijana, bado CCM na Taifa linamhitaji kiongozi huyu mahiri. Hata EA tunamhitaji sana. Mbona Kagame aliongeza muda, Museveni nk, mbona uingereza mama wa demokrasia hawana ukomo, sioni kama ni dhambi katiba mpya ikampa kiongozi huyu mpendwa nafasi ya kugombea ili aweze kutimiza yale ambayo hawezi kuyatimiza. Muhimu zaidi, itawanyongonyesha akina Lowassa na kuwazuia kabisa kuingia kwenye power." CCM itanusurika na will return to winning ways if this brilliant leader is allowed to stand again. Tunamwomba Rais Kikwete afikirie kuhusu maombi yetu hatya sisi watanzania tunaompenda sana.
 
Nahisi utakuwa unatoka usingizini na umelala na komoni kichwani. Una uhakika ukomo wa uongozi ni miaka 2015???!!!!!!!
 
"Kwa dhati kabisa napinga ukomo wa uongozi eti kuwa miaka 2015. Kwa kiongozi kama JK ambaye ni hazina kubwa ya Taifa, nadhani bado anastahili kupewa nafasi nyingine ya kugombea. After all, bado kijana, bado CCM na Taifa linamhitaji kiongozi huyu mahiri. Hata EA tunamhitaji sana. Mbona Kagame aliongeza muda, Museveni nk, mbona uingereza mama wa demokrasia hawana ukomo, sioni kama ni dhambi katiba mpya ikampa kiongozi huyu mpendwa nafasi ya kugombea ili aweze kutimiza yale ambayo hawezi kuyatimiza. Muhimu zaidi, itawanyongonyesha akina Lowassa na kuwazuia kabisa kuingia kwenye power." CCM itanusurika na will return to winning ways if this brilliant leader is allowed to stand again. Tunamwomba Rais Kikwete afikirie kuhusu maombi yetu hatya sisi watanzania tunaompenda sana.
Nakubaliana na wewe lakini nadhani agombee nafasi ya
uwaziri wa mambo ya nje ili amalizie kutembelea nchi
ambazo hajawahi kufika. Bravo...
 
Back
Top Bottom