Kwanini tunakuwa na mapenzi na watu wasiotupenda?

ni kweli ila kuna mwenye kasoro zinazovumilika (depending on individuals)
wengine ni mizigo kuwa nao.

Mfano kwangu mwanaume kuwa mkorofi kiasili si tatizo kiiivyoo ILA MVUTA SIGARA +LAGER siwezi kabisaaaaaaaaaa
Kapiga Lager zake na masigara yake hukoooo ,kaja akalalla zake fofofo...Au katoka kwa mwanamke mwingine hukooo kaja asubuhi anataka umchemshie maji ya kuoga,yupi nafuu dear..!!!??Ipo kama Marytina umeongea kwa upeo wa karibu....Anaweza akawa ananuka mdomo kwa maradhi mengine sio sigara na unanuka kuliko mavi,au anaweza akawa analewa vitu vingine na sio LAGER,maana we unadhani lager tu ndio ulevi,wanawake wengi ni ulevi pia,madawa ya kulevia ni ilevi pia,ugovi na hasira ni ulevi pia...nkUJAWAHI KUPATA DOZI ZA MENGINEYO UKAJISKIA....NADHANI UMEKUTANA NA KAMLEVI CHA LAGER NA SIGARA KAKAKUWEKA KA MEMORY CHA KITOTO...Kuwa uyaone dada yangu..!!
 
Tatizo hawa mabad boys wana maflavor sana kuliko hawa perfect ones, ndio maana hata wakitutenda tunaachana nao ila akija kubembeleza unajikuta ushamsamehe. Na kwa vile ni wahuni huwa wanajua sana kuongea kwa kumdanganya mwanamke bila kujua kama anadanganywa, hii inakufanya usiboreke ukiwa nae.mwisho wa siku unakubali kupangwa foleni tu liwalo na liwe.
Mungu tu asaidie kizazi hiki maana kupata mwanaume ambae unamuota ni ndoto za mchana inahitaji maombi ya kufunga usiku na mchana.

Ukweli kabisaaa Gaga,nilikuwa nasubiri experience yako...always ziko honest...
 
Tatizo hawa mabad boys wana maflavor sana kuliko hawa perfect ones, ndio maana hata wakitutenda tunaachana nao ila akija kubembeleza unajikuta ushamsamehe. Na kwa vile ni wahuni huwa wanajua sana kuongea kwa kumdanganya mwanamke bila kujua kama anadanganywa, hii inakufanya usiboreke ukiwa nae.mwisho wa siku unakubali kupangwa foleni tu liwalo na liwe.
Mungu tu asaidie kizazi hiki maana kupata mwanaume ambae unamuota ni ndoto za mchana inahitaji maombi ya kufunga usiku na mchana.

Duh! Gaga?
 
Kuna mwingine anaambulia vichapo, mkiingilia kufuata sheria ana wachenjia yeye na mwanaume wake tu. hapo nadhani michelle akina dada/mama husika wengi wanaona zaidi ya tunavyoona, au kuna vizuri vingi zaidi ya vilio/maumivu
 
First you cannot not change someone many people wanaendelea kuumia expecting kwamba may be someday this person will change lakini wapi as days goes by hakuna mabadiliko, pia kuna woga wa kutopenda/kupendwa unakuwa unategemea mazuri mwisho wa siku unaangukia kwenye mabaya next time mtu unakuwa cautious na hapo ile hali ya woga na kuona wanaume/wanawake wote ni sawa ndipo pale inapoaanza kukuingia
 
Hapo sasa,hata tuliozaliwa nao tunaweza kuishi bila wao....sasa huyo wa barabarani sijui inakuwaje ushindwe? :decision:

Mungu wangu, mara paah! paah! waifu anaisoma hii thread ita athiri sana maisha tuliyo yazoea,
 
Michelle nimeipenda hii topic,kudos hun!!!!

Let me share my views a bit.Honestly,80% of chicks especially due to economic and social reasons Go into a life time Relationship with LEGS WIDE OPEN and EYES WIDE SHUT .I guess the situation on this thread is what u get from not being wise

Many women actually come into a committed guy's life knowing he has a shaky relationship he was trying to work out. They come trying to replace the former babe with their new tricks, not realising what they had both gone thru together in the past.

My advice? Never believe you are any guys comforter when u were the reason he broke up his former relationship and Its better to go for a guy who loves you neutrally more than u love him. But i assure u he is not likely to be the cutest or richest choice u will have. But at least u will be happy 4ever.

But when your real woman/man comes, not only will God reveal her to you, but you will already be in love before you know that u're in love. To me Love just HAPPENS! Love is a risk but with God on our side, love is possible. It might take time though.

When I start thinking and analyzing about a particular person I know its NOT love. The analyzing should come after as we work together towards a perfect union not before.

Guys there is life after breakup/relationships.
 
Huu uzi umenifungua macho kwa kiasi kikubwa na nimejifunza mengi mno ...Shukraan sana Michelle

Binafsi nishapitia kwenye mahusiano ambapo nilikuwa najipa matumaini mtu atabadillika na kustahamili lkn it came a point i said ENOUGH IS ENOUGH ila ni kitu kigumu kulet go!
  • Power of letting go is enormous...Ijapokuwa kwenye akili unajua huyu mtu si sahihi kwangu mfano kutokana na matendo/mienendo yake lkn moyo unakuwa mzito kulet go!So unaendelea kujipa matumaini tu kwamba nikisali au nikiwa mwema huyu mtu atabadilika lkn baadhi ya watu hawabadiliki kwasababu hizo ni tabia zao ni inaendana na hulka au maisha waliyokulia au waliyopitia!!
  • Kutambua THAMANI yako.Ukitambua thamani yako na kujua you deserve better utaishi maisha ya furaha mno.Kwani utatambua nini unataka katika maisha na kuwa na malengo yako tegemezi.Kuna wale watu ambao wanaona wakiwa single au pekee hawajakamilika au wana mapungufu.Tuijifunze kusimama pekee na kujitegemea hasa kifikra na kimisimamo.Mwenza wako hawezi kutambua thamani yako kama wewe mwenyewe huijui!!!
 
Last edited by a moderator:
Mada yako sio mbaya ila wewe mwenyewe ni selfish kwasababu umezungumzia upande Mmoja tu wa jinsia yako!Kwa style hiyo tu huwezi kupata majibu ya maswali unayojiuliza, ukisharekebisha hilo tunaweza Kuchangia.
 
Please, take not that;

  1. No one is perfect..... every one is a cheater, and every one can be cheated on.... but the differences are styles, extents, aims, reasons, durations, and the ways you deal with it...
  2. You are not created to trust a human being....! It is even very possible to trust a dog along the gate, but not a human being along her/his body.....! So, only God is the one to be trusted, and hence never trust any person, even yourself....!
  3. Any challenge to happen on you should be taken as a lesson.....
  4. Nobody is exactly perfect to be someone to anyone.... so, never expect to find a such person to you.... You must sort, tune, and prepare her/him to be the way you want....
yeah nobody is perfect lkn mtu hata hajivuti kubadilika, ni ushenzi watu wanatumia hii sentensi kuhalalisha mambo yao mabaya wasioyotaka kuacha.
 
Huu uzi umenifungua macho kwa kiasi kikubwa na nimejifunza mengi mno ...Shukraan sana Michelle

Binafsi nishapitia kwenye mahusiano ambapo nilikuwa najipa matumaini mtu atabadillika na kustahamili lkn it came a point i said ENOUGH IS ENOUGH ila ni kitu kigumu kulet go!
  • Power of letting go is enormous...Ijapokuwa kwenye akili unajua huyu mtu si sahihi kwangu mfano kutokana na matendo/mienendo yake lkn moyo unakuwa mzito kulet go!So unaendelea kujipa matumaini tu kwamba nikisali au nikiwa mwema huyu mtu atabadilika lkn baadhi ya watu hawabadiliki kwasababu hizo ni tabia zao ni inaendana na hulka au maisha waliyokulia au waliyopitia!!
  • Kutambua THAMANI yako.Ukitambua thamani yako na kujua you deserve better utaishi maisha ya furaha mno.Kwani utatambua nini unataka katika maisha na kuwa na malengo yako tegemezi.Kuna wale watu ambao wanaona wakiwa single au pekee hawajakamilika au wana mapungufu.Tuijifunze kusimama pekee na kujitegemea hasa kifikra na kimisimamo.Mwenza wako hawezi kutambua thamani yako kama wewe mwenyewe huijui!!!

Umesema yote Gorgeous, kufika hiyo hatua ya kuweza kujithamini na kuona unastahili kilicho bora na unaweza kukipata ndiyo waga ngumu. Ila ukifika unajishangaa na kujiuliza maswali mengi, lakini kama ulivyosema kwa signature yako everything happens for a reason, Mungu huwa anatuandaa kwa mitihani na makosa tunayopitia tujifunza na kumuamini na kusonga mbele.

Huu uzi wa muda sikumbuki hata ninapitia nini exactly but nashukuru Mungu umekufungua macho.
 
Me nafikir swala ni kuwa wanawake wengi huwa na maamuzi yakukurupuka,leo ataachana na jamaa huyu bila hata kujipa muda wakutafakar kwa nn wameachana na wap alikosea,wao humpa lawama zote jamaa na ndan ya muda mfupi sana huanzisha mahusiano na mtu mwingine ambaye hamjui vzr na hakupata hata muda mchache wakumchunguza..hapo ndipo tatizo la msingi lilipo...
 
Mada yako sio mbaya ila wewe mwenyewe ni selfish kwasababu umezungumzia upande Mmoja tu wa jinsia yako!Kwa style hiyo tu huwezi kupata majibu ya maswali unayojiuliza, ukisharekebisha hilo tunaweza Kuchangia.

Nafurahi kujua upande mwingine mimi ni mbinafsi. Sirekebishi lolote ni miaka mingi tangu niandike huu uzi na hayo ni maoni yangu kama kuna la kuongeza nitaheshimu ukiliongeza au mwambie mod aliongeze. Nashukuru waliochangia kipindi hicho,nilijifunza na maisha yakaendelea.
 
Me nafikir swala ni kuwa wanawake wengi huwa na maamuzi yakukurupuka,leo ataachana na jamaa huyu bila hata kujipa muda wakutafakar kwa nn wameachana na wap alikosea,wao humpa lawama zote jamaa na ndan ya muda mfupi sana huanzisha mahusiano na mtu mwingine ambaye hamjui vzr na hakupata hata muda mchache wakumchunguza..hapo ndipo tatizo la msingi lilipo...

Ni kosa ambalo wengi tumefanya,kumchunguza mtu ni kitu muhimu sana kama anachunguzika na yuko tayari ufahamu kuhusu yeye.
 
Michelle nimeipenda hii topic,kudos hun!!!!

Let me share my views a bit.Honestly,80% of chicks especially due to economic and social reasons Go into a life time Relationship with LEGS WIDE OPEN and EYES WIDE SHUT .I guess the situation on this thread is what u get from not being wise

Many women actually come into a committed guy's life knowing he has a shaky relationship he was trying to work out. They come trying to replace the former babe with their new tricks, not realising what they had both gone thru together in the past.

My advice? Never believe you are any guys comforter when u were the reason he broke up his former relationship and Its better to go for a guy who loves you neutrally more than u love him. But i assure u he is not likely to be the cutest or richest choice u will have. But at least u will be happy 4ever.

But when your real woman/man comes, not only will God reveal her to you, but you will already be in love before you know that u're in love. To me Love just HAPPENS! Love is a risk but with God on our side, love is possible. It might take time though.

When I start thinking and analyzing about a particular person I know its NOT love. The analyzing should come after as we work together towards a perfect union not before.

Guys there is life after breakup/relationships.

Appreciated Ben, Well said "But when your real woman/man comes, not only will God reveal her to you, but you will already be in love before you know that u're in love. To me Love just HAPPENS! Love is a risk but with God on our side, love is possible. It might take time though". I believe!
 
Back
Top Bottom