Kwanini tunakuwa na mapenzi na watu wasiotupenda?

I will be there my love no doubt, humbly waiting to love and spoil you. Karibu, any time my queen

jamani....am blushing.....this is to good to be true.....can't wait to be spoiled.....will be there soon my king!!
 
Don't i know it lol! Michelle hope your ok,very sad tumefungwa na refa last nite.

nina ondoa maumivu kwa kujiweka busy na thread hii.....sitaki kumkumbuka yule refa naweza kwenda bagamoyo awe chizi....l.o.l

am ok dear one....how is you?
 
Michelle, tatizo langu ni kwamba ni wangapi wanamwomba Mungu?

Na hata kama tukimwomba Mungu yeye ndiye mwenye final answer kwamba akupe nini

Muhimu tumepewa uwezo/utashi wa kujua mema na mabaya na hata jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha, zikiwemo za mahusiano.

Kaizer mimi kweli humuomba Mungu,na ninaamini kwa kiasi najua mema na mabaya.....iweje unakutana na the worst as the list goes up??

it hurts and sometimes i question his love and power of my prayers......honestly!!!!

Ila kama ulivyosema yeye ndo mwenye jibu la mwisho....we have to keep up the faith....!!
 
thats what am saying

ukifika kuhoji uwezo wake, unakuwa unafanania Ayubu sasa...LOL

namtafuta Keren....umemuona mpenzi?
 
Poleni sana Wewe na Michelle
Ila pamoja na yote hamna beki kwa kweli
Na kama wangekuwa makin mngepigwa hata 8

:focus:

Hebu elezea kidogo mada ya Michelle unaionaje?

CPU BARCA hawana jipya walibebwa tu na uzee wao....am proud of my boys....!!!
 
thats what am saying

ukifika kuhoji uwezo wake, unakuwa unafanania Ayubu sasa...LOL

namtafuta Keren....umemuona mpenzi?

Keren will be here soon....yule mida yake ndo hii....nimemuona but hajatulia.....!!!nikimuona nimuambieje dear?:wink2:
 
Maisha yaendelee, utamliliaje mtu ambaye hana muda na wewe?
Wanadai eti ooh siwezi kuishi bila wewe.. Khaa! Kwani tumezaliwa wote.
 
Hapo sasa,hata tuliozaliwa nao tunaweza kuishi bila wao....sasa huyo wa barabarani sijui inakuwaje ushindwe? :decision:
 
Keren will be here soon....yule mida yake ndo hii....nimemuona but hajatulia.....!!!nikimuona nimuambieje dear?:wink2:

aww..I see....hajatulia kwa nini jamani...tell her that I love her...I need her....I want to ask her what it takes to have her on my side....LOL
 
anaandaa chakula cha jioni,familia ikishakula atakuja hapa....nitamwambia....she is an angel please handle her with care!!!
 
ooh thats much better....se you see eeh.....she knows her duties...si u know I can handle with lots of care and love...
 
I know...i was just insisting that you do that every now and then!!!
 
Kaizer mimi kweli humuomba Mungu,na ninaamini kwa kiasi najua mema na mabaya.....iweje unakutana na the worst as the list goes up??

it hurts and sometimes i question his love and power of my prayers......honestly!!!!

Ila kama ulivyosema yeye ndo mwenye jibu la mwisho....we have to keep up the faith....!!

ooh yes,,love this!keep up the faith he will not dissapoint u,for wat so ever u ask he will faithful intervene,,,though we need to stick on what we need regardless of the prayer,,our happyness is wat we should value mostly, hence kupigwa will have no room for tolerance!funga macho tuombe michelle yasije kutukuta
 
I
ni kweli ila kuna mwenye kasoro zinazovumilika (depending on individuals)
wengine ni mizigo kuwa nao.

Mfano kwangu mwanaume kuwa mkorofi kiasili si tatizo kiiivyoo ILA MVUTA SIGARA +LAGER siwezi kabisaaaaaaaaaa
Mamaa, hivi ukorofi ni nini na kutumia laga na kachaso ni ukorofi?
 
Back
Top Bottom